REPIN ROCK CITY

REPIN ROCK CITY

TUMA TRACK YAKO

KENYA: WABUNGE WATISHIA HIVI...

8:34:00 AM

Wabunge wametishia kuibandua Tume ya Kuratibu Mishahara ya watumishi wa umma kutokana na hatua yake ya kupunguza mishahara yao.

Tayari mbunge wa Igembe Kusini Mithika Linturi ametangaza kuwasilisha ombi kwa spika wa bunge la taifa, kutoa nafasi kwa hoja ya kuitaka tume hiyo ivunjwe huku akidai kuwa Tume imekwenda kinyume na katiba. Hata hivyo, Wakili Bobby Mukangi ambaye alihusika katika kuandika katiba anasema kwamba bunge halina Mamlaka anayodai Linthuri.

Anasema tume ya kuratibu mishara ya watumishi wa umma ni huru na haiwezi kushinikizwa na yeyote inapotekeleza majukumu yake.

Kwa mujibu wa Katiba tume hiyo ndiyo yenya mamlaka ya kuratibu mishahara ya watumishi wa umma wakiwemo wabunge.

Share this

Related Posts

Previous
Next Post »

MNADA BANNER