REPIN ROCK CITY

REPIN ROCK CITY

TUMA TRACK YAKO

MODEL OF THE WEEK: THE BEAUTIFUL AND CLASSIC BABE NONGWA

11:43:00 PM Add Comment



MODEL: Nongwa

PHOTOGRAPHY : Sylly Ngosha

ASSISTANT PHOTOGRAPHY & POST.P: Brown Best

Image shot for Hot in MWANZA









CANNIBAL ALISHTUSHWA NA USALITI WA PREZZO

11:35:00 PM Add Comment



Kama Utakuwa mfuatiliaji Mzuri wa Muziki hasa Afrika mashariki na hata Kimataifa zaidi, naamini Utakuwa unfahamu kuwa CANNIBAL na CMB PREZZO Wote wa Kenya walijumuika pamoja na Kuunda Music Unity kupitia Kundi la MAKINI MUSIC GROUP.

Baada ya kukubaliana Kufanya kazi pamoja, wawili hao waliweza Kiteka 254 na East Afrika Kiujumla kupitia Kwaju lao La MY CITY, MY TOWN

Lakini baada ya Muda kadhaa baada ya Kufanya Ukali wao Huo, uhusiano wao Ulionekana kwenda Kombo baada ya Kutokuasikia Collable Nyingine Tena kutoka Kwao, na hata Ushirikiano wa aina yeyote Kutoka kwao.

Aidha Inasemekana kuwa, Awali Macahalii hao wawili pia walionekana kuwa Pamoja Sehemu Tofauti kama Majembe yaliyoshibana, lakini baada Ya Muda Prezzo akaanza kuonekana Mwenyewe katika Sehemu tofauti, jambo ambalo lilizua Mjadala.


Kwa Mujibu wa Mtandao wa Daily Post Nchini Kenya, Canibal aliweza kuzungumzia Suala Hilo, huku akimdai kuwa alishtushwa na kitendo ambacho alikifinya PREZZO asichokitofautisha na Usaliti.

Canibal alielezea kuwa, kunakipindi alikumbana na Tatizo, ambapo alishikiliwa katika Moja ya Hotel Kunako Dunia Ya maraha, DUBAI,ambapo anadai alitelekezwa na na Promota ambaye alimpeleka huko kupiga kazi. Na baada ya Promota Huyo Kutokomea, cannibal alishikiliwa na uongozi wa Hotel Hiyo, ili aweze Kulipa Gharama kubwa alizokwishatumia.


Pia Cannibal aliongeza kuwa, Badala ya kupokea Support Kubwa kutoka kwa Prezzo, badala yake Mkali wa Marry Marry (PREZZO) alianza Kumkandia kupitia account yake ya Tweeter, jambo lililomfanya cannibal kumtema


KUTOKA KWA BOSS:

11:27:00 PM Add Comment



Nikiwa kama NEW CHIEF EXECUTIVE OFFICER, Ninapenda Kuwataki Ijumaa Njema, na hata Weekend Njema Mkiwa kama Sehemu kubwa ya wasomaji wetu, na hata marafiki Zetu wakubwa.

Wengine Mnaweza Kushtuka Kwamba FRANK MAGNUS JOACHIM Yuko wapi Kwa hivi sasa..

Wala Msiwe na Shida, Kwa Hivi sasa FRANK bado Yupo pamoja nasi akiwa kama Programme Manager wa BLACK TOUCHEZ (www.joachimjunior.blogspot.com) na BUSTANI TOTO (www.bustanitoto.blogspot.com).

Karibuni Sana.
Weekend Njema.

JULIUS “JULLY” JUTI

C.E.O

CHRIS BROWN AZUIWA KUINGIA REHABU NA BANGI

9:43:00 AM Add Comment



Vituko Kila Siku lazime Vitokee jamani na wala sisi hatuchoki kukuletea labda wewe

Mkali wa CHINA LOVE, CHRIS BROWN- Breezy The Nappy Boy, amejikuta akikosa Furaha kabisa baada ya Kupigwa Stop kuingia na Weed, a.k.a BANGI REHAB aliko hivi sasa

Kwa Mujibu wa Mkuda aliyetuvujishia Udaku huu, inasemekana kuwa, Breezy alipewa Muda wa Siku 90 kukka Rehabu ili kupata Tiba ya Hasira Zisizo na Msingi, Huku akijaribu Kujiweka sawa hasa kisaikolojia.

Aidha inaelezwa Kuwa, wakati akiingia Rehab, Breezy aliambiwa asalimishe Vitu kama vile Simu na Laptop kwani haruhusiwi kuingia navyo Katika Rehab Hiyo, lakini inasemekana kuwa eti alimsihi sana Mfanyakazi huyo aliyekuwa anachukua Vitu hivyo, asimnyang’anye Marijuana zake, yaani Bangi, jambo ambalo hata hivyo bado halikkubaliwa


Ingawa inasemekana kuwa Breezy alikuwa ameruhusiwa na daktari wake Kutumia Kilevi hicho ili kupunguza Msongo wa Mawazo, lakini haikuwezekana kuingia REHAB na Weed.

Chris Hivi sasa anaendelea na Rehab baada ya kupangiwa Kesi January Mwaka Ujao, na huenda akatulia sasa Hivi baada ya Kurudishwa tena ambapo inadaiwa kuwa kuna muda alifukuzwa baada  kukaa Siku 16, ambapo alidaiwa kuharibu Kioo cha gari la mama ake

PICHA: WASHIRIKI WA TPF 6

8:55:00 AM Add Comment



WASHIRIKI wa Shindano la TPF Seasson 6 Nchini Kenya, wamepata nafasi ya Kutembelea Ofuisi za Umoja wa mataifa (UN)Nchini Humo Katika Eneo la GIRI GIRI, jijini Nairobi.

Katika Ziara Hiyo, washiriki hao wamepata nafasi ya kufahamu na Kujifunza mambo Mengi hasa yanayohusu Shughuli Mbali mbali za Umoja Wa Mataifa (UN)








MNADA BANNER