REPIN ROCK CITY

REPIN ROCK CITY

TUMA TRACK YAKO

EXCLUSIVE: ALIYEVUJISHA VIDEO YA SOLANGE AKIMPIGA JAY Z ATIMULIWA KAZI.

8:11:00 AM Add Comment

NEW YORK, Marekani
TTM tumenyaka Mchakato wa Fasta Kuwa Mlinzi aliyevujisha Video Clip ya Solange akimpiga Jay Z ndani ya Lift ya Hotel ya Standard, AMEFUKUZWA KAZI.

Kwa Mujibu wa Info zilizoshushwa na Kitengo Chimbua Chimbua, inasemekana Kuwa Mlinzi Huyo ambaye Jina lake halijawekwa Hadharani, alipewa Kiasi cha Cha USD 260,000 sawa na Shilingi za Kitanzania takriban Milioni 390, ili kutoa Video Hiyo kwa Mtandao wa Kidaku Nchi marekani.

Uongozi wa Hotel Hiyo ulilaani vikali Kitendo kwa kuvuja Video Footage ya Solange na Jay Z kunako Social Networks, kwani Ni Kinyume cha Maadili ya hotel hiyo hasa katika Siri za wateja wao.


Pia Uongozi Huo umesema kuwa taarifa zote za Kufukzwa Kwa Mfanyakazi huyo, zinapatikana katika Idara zinazoshughulikia Masuala ya Uharifu

HII NDIYO LIST YA NOMINEES WA BET AWARDS 2014

7:38:00 AM Add Comment

Best Female R&B/Pop Artist 
Beyoncé
Janelle Monáe
Jhené Aiko
K. Michelle
Rihanna
Tamar Braxton

Best Male R&B/Pop Artist 
August Alsina
Chris Brown
John Legend
Justin Timberlake
Pharrell Williams


Best Group
A$AP Mob
Daft Punk
Macklemore & Ryan Lewis
TGT
Young Money

Best Collaboration
August Alsina f/ Trinidad Jame$ – I Luv This
Beyonc̩ f/ JAY Z РDrunk In Love
Drake f/ Majid Jordan – Hold On (We’re Going Home)
JAY Z f/ Justin Timberlake – Holy Grail
Robin Thicke f/ T.I. & Pharrell Williams – Blurred Lines
YG f/ Jeezy & Rich Homie Quan – My Hitta

Best Male Hip Hop Artist 
Drake
Future
J. Cole
JAY Z
Kendrick Lamar

Best Female Hip Hop Artist 
Angel Haze
Charli Baltimore
Eve
Iggy Azalea
Nicki Minaj
Video of the Year
Beyonc̩ РPartition


Beyonc̩ f/ JAY Z РDrunk In Love

Chris Brown – Fine China
Drake – Worst Behavior
Pharrell Williams – Happy

Video Director of the Year 
Benny Boom
Chris Brown
Colin Tilley
Director X
Hype Williams

Best New Artist
Ariana Grande
August Alsina
Mack Wilds
Rich Homie Quan
ScHoolboy Q

Best Gospel Artist
Donnie McClurkin
Erica Campbell
Hezekiah Walker
Tamela Mann
Tye Tribbett


Best Actress
Angela Bassett
Gabrielle Union
Kerry Washington
Lupita Nyong’o
Oprah Winfrey

Best Actor
Chiwetel Ejiofor
Forest Whitaker
Idris Elba
Kevin Hart
Michael B. Jordan

YoungStars Award
Gabrielle Douglas
Jacob Latimore
Jaden Smith
KeKe Palmer
Zendaya

Best Movie
12 Years a Slave
The Best Man Holiday
Fruitvale Station
Kevin Hart: Let Me Explain
Lee Daniels’ The Butler

Subway Sportswoman of the Year
Brittney Griner
Lolo Jones
Serena Williams
Skylar Diggins
Venus Williams


Subway Sportsman of the Year
Blake Griffin
Carmelo Anthony
Floyd Mayweather Jr.
Kevin Durant
LeBron James

Centric Award
Aloe Blacc – The Man
Jennifer Hudson f/ T.I. – I Can’t Describe (The Way I Feel)
Jhen̩ Aiko РThe Worst
LiV Warfield – Why Do You Lie?
Wale f/ Sam Dew – LoveHate Thing


Best International Act: Africa
Davido (Nigeria)
Diamond Platnumz (Tanzania)
Mafikizolo (South Africa)
Sarkodie (Ghana)
Tiwa Savage (Nigeria)
Toofan (Togo)

Best International Act: UK 
Dizzee Rascal
Ghetts
Krept & Konan
Laura Mvula
Rita Ora
Tinie Tempah




DAYNA NYANGE AESEMA HAYA KUHUSU DIAMOND KUCHAGULIWA KATIKA TUZO ZA BET.

7:23:00 AM Add Comment

DAR ES SALAAM, Tanzania
Kipindi Cha Nyuma Kidogo Diamond na Dayner pamoja na Sheddy Clever, hawakuwa katika wakati mzuri kufuatia Ishu za kuibiana Wimbo hasa wa MY Number One ambao Dayner alithibitisha kuwa Ulikuwa Ni Wake, na hata kufikishana BASATA (yaani Baraza La Sanaa Tanzania).

Lakini baada ya Muda Kupita Kila kitu kilikuwa Kimya huku dayna akipiga Mishe zake, na Track ya My number One ikizidi Kufanya Vizuri.
Leo wakati akipiga Story na TTM, dayna Nyange ametoa Pongezi za Dhati kwa Diamond Kwa kufikia hatua Nzuri hasa Kufika katiiak Kinyang’anyiro cha BET.

Dayna Nyange ambaye hivi sasa Bado Ni Shida kunako Masikio ya wadau wa Muziki na Track yake ya Mimi Nawe, amesema Kuwa, hatua Aliyofikia Platnumz ni Nzuri kwa sababu anautangaza Muziki wa Kitanzania , Sanaa Ya Tanzania pamoja na Wasanii wa Tanzania.


Pia Dayna ambaye Leo Hii anasherekea Siku yake ya Kuzaliwa , amesema kuwa hivi sasa anajipanga kuachia Kwaju lake jipya ambalo litakuwa na mahadhi ya Kiafrika, na Ni Noma kwa Mujibu wa maelezo yake.

UPDATE: MSALA WA MICHAEL JACKSON: KUMBE ALIMUACHISHA SHULE MTU ANAYEMTUHUMU….YAANI JAMES SAFECHUCK

7:11:00 AM Add Comment

NEW YORK, Marekani
WACHA MAMBO IENDELEE ndio Msemo ambao anautumia Mwanasheria wa Kijana ambaye aanadai kulawitiwa na marehemu Michael Jackson Enzi za Utoto..sasa Nisikilizeni Kwa umakini.

Kitengo chimbua Chimbua kimezidi kufuatilia Kwa unmakini kabisa Mfululuizo wa Tuhuma ambayo inamuandama aliyekuwa Mfalme wa POP, marehemu Michael Jackson Maarufu kama WACKO JACKO, na 

Hivi leo, tumelipata Jipya jingine kutoka kwa Mchakato Huo.
Mwanasheria wa JAMES SAFECHUCK anayefahamika kwa Jina la MARYAN MARZANO, Michael alijitahidi Kuwa karibu na JAMES ili kuficha maovu aliyokuwa akimfanyia, kuanzia akiwa na Umri wa Miaka 10.

Aidha MARYANN amezidi kumiminika kuwa, Michael alikuwa akimzuia JAMES wakati yuko Mdogo , Kwenda Shule, ili aongozane naye katika safari zake mbali mbali, na kumfania Uchafu ambao alikuwa akiufanya kwa motto huyo.

Aidha Mwanasheria huyo amezidi kuishambulia familia ya Michael na kudai kuwa, kuna Uwezekano Walifahamu kila kilichokuwa kikiendelea, maana Wacko alikuwa ni Mtu aliyekuwa karibu sana na Watoto huku kesi za Ulawiti zikimuandama kabla umauti haujamkumba.


Kesi hiyo inatazamiwa kuamsha masuala mengine mbali mbali hasa kwa Sifa ya Michael Jackson pamoja na Familia yake, endapo atabainika kuwa na hatia ya Kumlawiti Kijana huyo tangia akiwa na Umri wa Miaka 10 mpaka 15.

• LIST VINYANG’ANYIRO KATIKA BET AWARDS-2014 IKO NJE, JAY Z BEYONCE NA DRAKE HAWAKAMATIKI..DIAMOND NA DAVIDO KUCHUANA TENA

7:05:00 AM Add Comment

HISTORIA imetengenezwa Nchini Tanzania Kwa mara ya Kwanza kabisa, kuingiza Msanii katika Tuzo maarufu ulimwenguni za BET, ambazo hufanyika Nchini marekani, Check This Out maze..

Diamond Platnumz amezidi kuipa Heshima Bendera ya Nchi ya Tanzania, Baada ya Kuchaguliwa kushiriki katika kinyang’anyiro cha BET kwa Mwaka Huu wa 2014, huku akionekana kukutana na Swahiba wake DAVIDO Kutoka Nchini Nigeria katika Kipengere cha INTERNATIONAL ACT-AFRICA.

Tofauti na Davido , Platnumz Pia atachuana Vikali na Kundi La Mafiki Zoro Kutoka Nchini South Africa, Tiwa Savage Kutoka Nigeria, Sarkodie  kutoka Ghana na Toofan kutoka Togo.

Kama Utakuwa umefuatilia Kwa Ukaribu, DIAMOND na DAVIDO wamefanya Kazi pamoja ambayo ni My Number One (Remix), lakini Pia Wako katika Kinyang’anyiro kimoja katika Tuzo za MTVAFRICA MUSIC AWARDS (MAMA). Tofauti na hayo, Pia na Davido na mafiki zolo hivi sasa wanafanya Poa na Kwaju la TCHELETE, huku wote wakiwa katika Tuzo za hizo za MAMA

Kwa Upande Mwingine, JAY Z na BEYONCE wanaonekana Kuongoza katika Categories za BET, huku wasanii kama Vile Drake, Chris Brown, Pharrell Williams wakifuatia kwa Kuteuliwa Kushiriki Categories Tofauti.

YO PLATNUMS..WAKUACHE ULALE

MPENZI WA CHRISTIANO RONALDO AMEKUTANA NA MAZITO.

7:00:00 AM Add Comment

MADRID, Hispania

Wengi tunafahamu kabisa Kuwa Nchi ya NIGERIA iko katika Wakati Mgumu baada Wasichana zaidi ya 200 kutekwa na Kundi la kigaidi la BOKO HARAM

Sasa Tangu wasichana hao walipotekwa nyara na kundi hilo, watu mbalimbali maarufu duniani wamepost picha kwenye mitandao ya kijamii wakiwa na mabango yaliyoandikwa ‘Bring back Our Girls’, ikimaanisha wanajiunga na kampeni ya raia wa Nigeria.

Mwana mitindo Irina Shayk ambaye ni mpenzi wa mchezaji wa mpira wa miguu Christian Ronaldo yeye amepost picha kwenye twitter na Instagram akiwa amepoz mtupu huku akiwa ameshikilia bango linaloonesha amejiunga na kampeni hiyo, na bango hilo ndilo lililofunika kifua chake.

Hata hivyo kitendo chake hakikuungwa mkono na baadhi ya followers wake ambao walionesha moja kwa moja hisia kwa kumshambulia kuwa ameenda kinyume na maadili.


Follower wake Mwingine aliona kama amefanya dharau kwa kuwa tatizo hilo sio la nchi kubwa kama Marekani na kuhoji kama angediriki kufanya hivyo siku ya tukio kubwa la shambulizi la kigaidi la September 11 nchini Marekani.

UPDATE: ALIYEMSHTAKI JUSTIN BIEBER, YAMEMGEUKIA:

6:39:00 AM Add Comment

LOS ANGELS, Marekani

UKiskia Mtu anakwambia Tit For Tat, basi Uje kuna Kitu kikubwa sana Kinachokuja..Sikia Hii, Baada ya TTM Jana kukupa Data kuwa JUSTIN BIEBER anashitakiwa kwa kosa la Unyang’anyi na Mwanamke Mmoja hivi, hatimaye Kibao kimegeuzwa hasa katika Suala Zima La Upelelezi.

Mbwadidi limekuja Sehemu Moja Tu, ambayo Ni Ushahidi wa Mfanyakazi mmoja kutoka katika Jumba hilo la Biashara la THE SHERMAN OAKS CASTLE PARK kudai kuwa aliona Tukio zima lililotokea baina ya Justin Bieber na Mwanamke huyo aliyekuwa akijaribu kumpiga Picha Bila Ridhaa yake.

Mfanyakazi huyo ambayye jina lake halikupatikana fasta, amedai kuwa, Mwanamke huyo aliyefungua mashtaka, Ndiye alikuwa Mkorofi, mtovu wa Nidhamu, na hata kutokusikiliza kile alichoambiwa na Walinzi, hasa kutokumpiga Picha Bwana Mdogo Bieber.

Pia Mfanyakazi huyo alizidi kusisitiza kuwa, Justin Bieber hakujaribu Kumuibia N’GWANIKE HUYO a.k.a Mwanamke Huyo Simu yake, na wala hakutaka kumjeruhi na hata Kumdhalilisha.

Tofauti na hayo, kwa Mujibu wa info za Rafiki wa karibu wa The Majanga Bwaaaay, inasemekana kuwa, Bieber alipata hasira baada ya Kuona Kila Mara Flash zinamuandama, hasa ikiwa Ni Camera ya Huyo mwanamke.


Hata Hivyo Mfanyakazi wa Jengo hilo, amedai kuwa, ili kuthibitisha Tukio Hilo, Uchunguzi ungefanyika katika kamera za Ulinzi wa Jengo Hilo, ingawa kuna Uwezekano ikawa ngumu kidogo.

MNADA BANNER