REPIN ROCK CITY

REPIN ROCK CITY

TUMA TRACK YAKO

BYE-BYE CHRIS BROWN : HATIMAYE KARRUECHE TRAN KAWEKA WAZI MAHUSIANO YAKE MAPYA

1:15:00 AM Add Comment

Na Hezron Munisi   
WAKATI Chris Brown akiendelea kupuyanga na kusaka furaha mpya ya mpenzi mpya huku akikumbana na stress za hapa na pale katika maisha ya kawaida, waliokuwa wapenzi wake bado wanazidi kujinyakulia furaha zao

Awali ilikuja kubainika kuwa hatimaye Rihanna hivi sasa anayo mahusiano yake mapya na Kijana wa Kiarabu ambaye anamiliki mkwanja mzito na mahaba hivi sasa ni Mazito Kweli kweli, na safari hii imekuwa ni zamu ya Ex mwingine wa Chris Brown, Karrueche Tran

Bibie huyo ambaye alikuwa ni mguu nje mguu ndani kwa Hitmaker huyo wa PILLS & AUTOMOBILES, hivi sasa yuko katika mahusiano ya kimapenzi na mcheza kikapu maarufu nchini Marekani VICTOR CRUZ

Awali kulikuwa na fununu kuwa wawili hao wapo katika mahusiano ya kimapenzi lakini ilikuwa haijawekwa wazi hata kidogo, ila safari hii, kila kitu kiko open kuwa waili hao wapo pamoja kihisia

Ingawa Karrueche bado anaficha ficha, lakini ilifikia hatua akamsifia na kusema ni moja kati ya vijana wacheshi wachapa kazi, smart na watamu katika maisha yake

Tunamnukuu
" Yah, tumekuwa tukionekana pamoja ikiwemo kufahamiana vizuri. Kipaumbele changu kikubwa huwa ni Kazi, ila ni kijana mtanashati, kijana mtamu na ni mwema. Tunaenda taratiibu, lakini ...ni kweli tunamahusiano ya kimapenzi"


MAHABA KATIKA UTHIBITISHO : BIRDMAN AMESEMA ANAMPENDA TONI BRAXTON MPAKA KIFO

1:01:00 AM Add Comment

Na Rich Sam    
Hivi sasa tunaanza kuamini kabisa ule mstari wa ROMA unaosema "Hata Gangstar Hulegeza Macho ukimpatia Cotton Buds" mana hili lilotamkwa ni haki liwekwe katika kumbu kumbu ya maisha msanii huyu wa kiume ambaye wengi walikuwa hawajui nani atamlainisha mpaka kiasi Hicho

Bryan Williams a.k.a BIRDMAN ni moja kati ya Rappers ambao wamekuwa na Lawama nyingi kutoka kwa akina dada mbali mbali kuwa sio mwanaume wa kutulia na mwanamke hata siku moja, kitu ambacho kilidhirishwa pia na sekeseke lake na Keyshia Cole baada ya kufumaniwa na moja ya wasaidizi wake wa ndani

Lakini baada ya muda kadhaa kukawa na taarifa mbali mbali kuwa Hivi sasa Birdman kaamua kupumzika kwa Msanii TONI BRAXTON, kila jicho lilikuwa kwa wawili hao kujua muafaka wao, lakini mambo inaonekana yako supa safari hii

Baada ya kuwepo kwa uvumi wa Ndoa za kisiri siri na hata Toni Braxton kukiri kuwa hivi sasa yeye ni sehemu ya Birdman ikiwa ni baada ya kuvalishwa pete ya uchumba, hatimaye Birdman mwenyewe kathibitisha kuwa Piga ua, atakufa na Toni Braxton na yuko tayari.

Akithibitisha hilo kupitia moja ya Interview aliyoifanya hapo jana, Birdman ambaye jana pia ilikuwa ni Birthday yake, amesema kuwa Toni Braxton ni Maisha yake kwa hivi sasa.

Tunamnukuu
"T, huyu ni Msichana wangu, Rafiki yangu, familia yangu...yaani huyo ni Pendo langu, Mwanajeshi wangu, Maisha yangu..ndiyo ni maisha yangu na ninapenda mpaka kifo"


21ST FEBRUARY: INTERNATIONAL MOTHER LANGUAGE DAY

12:09:00 AM Add Comment

DAYS OF THE YEAR  
Announced by UNESCO in 1999, International Mother Language Day celebrates cultural diversity and commemorates the “language martyr” students of 1952 Bangladesh. These students are honored by the encouragement of multiculturalism and the promotion of protective measures for endangered languages. 

It’s hard to imagine the challenges faced by students who have been ordered to learn in a foreign language, as without linguistic inclusion, there is no equal access to education. Current International Mother Language Day events include multicultural festivals which promote the hearing of all voices, and display social cohesion, cultural awareness, and tolerance. The unique nuances and subtleties of linguistic communication which connect individuals to culture and personal identity are valued and encouraged.

In the words of Nelson Mandela, “If you talk to a man in a language he understands, that goes to his head. If you talk to him in his language, that goes to his heart.”

MNADA BANNER