REPIN ROCK CITY

REPIN ROCK CITY

TUMA TRACK YAKO

HUYU NDIYE MCHUNGAJI MBAKAJI- AMEMBAKA BINTI WA MIAKA 13 JIKONI

2:59:00 AM Add Comment

KUDADADEKI ….Mbwadidi la Wachungaji kutafuna Kondoo wao katika makanisa yao, limeibuka Upya, baada ya kuzima kwa Muda Kadhaa.

This Time Kitengo Chimbua Chimbua, kimenyaka info kuwa Mchungaji TYRONE BANKS mwenye Umri wa Miaka 58, amewekwa Chini ya Ulinzi na kutupwa nyuma ya Nondo, baada ya Kupatikana na hatia ya Kumbaka Binti wa Miaka 13 (Jina tumelihifadhi), ambaye anatokea katika familia Rafiki.

Ripoti imezidi kumiminika kuwa, Pastor Huyo kutoka Huko ALABAMA, alikuwa ameshajijengea Uaminifu kwa Binti huyo, lakini alikuja kuharibu baada ya kutekeleza kitendo hicho kibaya kilichosababisha madhara kwa binti huyo.

Aidha Story kamili ni Kwamba, Pastor Tayrone, alimchukua Binti huyo katika gari lake, na kuenda naye katika kanisa Linalofahamika kwa jina la HUEYTOWN. Baada ya kufika huko, Mchungaji huyo alimshawishi  Binti huyo waingie Ndani, na Baada ya Kuingia tu, Alifunga Mlango kwa Funguo, na Kutekeleza tukio hilo Kinyume na Kazi yake, Heshima yake, Hadhi yake, pamoja na Sheria.

Baada tu ya Binti huyo kurudishwa Nyumbani, Moja kwa Moja alimuambia mama ake kilichotokea, huku akithibitisha kuwa alifanyiwa kitendo hicho cha Kinyama Katika Maeneo ya jikoni , ndani ya kanisa hilo.


Mpaka hivi sasa, Mchungaji Tyrone amefunguliwa mashitaka ya UBAKAJI, na yuko Mikononi mwa Polisi. 

PICHA: MAANDALIZI YA MWISHO YA MIXTAPE YA OXY-GEN KUTOKA KWA RAPA OXS OKELEKY, ITAKAYOACHIWA RASMI MAY 13, 2014

2:51:00 AM Add Comment








HUYU NDIYE MWANAMKE KATILI KULIKO KAWAIDA:

2:47:00 AM Add Comment

WATU WENGU HUWA TUNASEMA “UCHUNGU WA MAMA AUJUAYE MZAZI”, lakini Hii imekuwa Tofauti kwa namna yake:
KITENGO CHIMBUA CHIMBUA kilizama Kunako maisha na michakato mbali mbali huko Nchini NIGERIA, na kubaini kuwa Mama Mmoja ambaye anaishi katika Chumba kimoja na watoto wake Wanne huko Ncjhini Nigeria, amekuwa akifanya kitendo cha Kikatili ambacho hakuna Mzazi yeyote ambaye anaweza kukubaliana na hali halisi inayoendeleahasa kwa maisha ya Mtoto.
Mama huyo ambaye anafahamika kwa Jina la MRS TOYIN ABIODUN Mkazi wa Mtaa wa ADENKULE, huko OGUN, amekuwa akiwapiga watoto wake kwa kutumia KISU, JAMBIA, MIKANDA pamoja na PASS.

Kwa Mujibu wa Picha ambazo Kitengo hiki Aminifu kimezinyaka, Kinamuonesha Mtoto wake wa Kiume wa Kwanza, akiwa na majeraha Kichwani, ambayo si majeraha ya Fimbo, bali ni Majeraha ya kitu cha Ncha kali kama Hivyo Vilivyotajwa hapo Awali.
Tofauti na Kichwani, Mtoto huyo pamoja na wadogo zake, Wote wana alama za Kipigo katika Maeneo ya Uso na mikononi, Ukatili na ujinga ambao hufanywa na Mtu wanayemuita mama.
Tofauti na hayo, mama huyo pia Huwafungia Ndani na Kugawa kifinyo hicho cha Kikatili kwa watoto.
Aidha jambo la kushangaza, imebainika Kuwa, Watoto hao hawakuwa wakigundulika hasa makovu makubwa ya kichwani, kwani walikuwa wakivalishwa KOFUIA na mama Huyo, huku akitoa Onyo kali kuwa, Endapo watavia kofia zao, basi MBWADIDI litawaangukia pindi watakapogundulika.

Kwa mujibu wa Shule wanazosoma watoto hao, Mwalimu ambaye anawafundisha Katika masomo ya kila Siku, amedai kuwa, Kiujumla Perfomance darasani kwa upande wa Wanafunzi wake hao, hakika Sio mzuri, hasa Yule kijana Mkubwa, kwani amwekuwa ni Muoga Kupita maelezo, Hafanyi vizuri darasani, jambo ambalo linawafanya kuamini kuwa huenda wameathirika KISAIKOLOJIA.

Pia ameongeza kuwa, inapofika Muda wa Kurudi Nyumbani baada ya masomo, basi watoto hao Huogopa sana kurudi Nyumbani, ukizingatia Wanajua kitakachotokea.

MNADA BANNER