REPIN ROCK CITY

REPIN ROCK CITY

TUMA TRACK YAKO

MLIMANI CITY PATACHIMBIKA TAREHE 07 DECEMBER, KATIKA KINYANG'ANYIRO CHA MISS EAST AFRICA 2012

9:00:00 AM Add Comment
 BURUNDI

 ELITREA

 ETHIOPIA

 KENYA

 RWANDA

 SOMALIA

 TANZANIA

UGANDA

JENGO LA JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI LAZINDULIWA RASMI LEO

8:16:00 AM Add Comment
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na viongozi wenzie wa nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki wakiangalia mfano wa jengo jipya la makao makuu ya Jumuiya hiyo pamoja na maelezo yake baada ya kulifungua rasmi  Novemba 28, 2012 jijini Arusha


Mfano wa  jengo la Makao makuu ya Jumuiya ya Afrika Mashariki


Rais Jakaya Mrisho Kikwete na viongozi wenzie wa nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki wakifunua pazia  kufungua rasmi jengo jipya la makao makuu ya Jumuiya  Novemba 28, 2012 jijini Arusha




Rais Jakaya Mrisho Kikwete na wakuu wenzie wa nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki wakiwa katika picha ya pamoja na wadau pamoja na wabunge wa Afrika Mashariki

PICHA TOKA IKULU

MWAI KIBAKI ASINDIKIZWA NA MAKAMU WA RAIS DK. GHALIB BILAL

7:57:00 AM Add Comment
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiagana na Rais wa Kenya, Mwai Kibaki, ambaye ni Mwenyekiti wa Jumuiya ya Afrika Mashariki, katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro, mara baada ya ufunguzi wa Jengo la ofisi za Jumuiya hiyo iliyofanyika Jijini Arusha jana, Nove 28, 2012.






Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akipunga mkono kuwaaga wananchi baada ya kumsindikiza Rais wa Kenya, Mwai Kibaki, ambaye ni Mwenyekiti wa Jumuiya ya Afrika Mashariki, katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro, mara baada ya ufunguzi wa Jengo la ofisi za Jumuiya hiyo iliyofanyika Jijini Arusha jana, Nove 28, 2012.
 

MNADA BANNER