REPIN ROCK CITY

REPIN ROCK CITY

TUMA TRACK YAKO

HAKIKA HII NI KALI KUTOKA KWA NYOTA NDOGO

10:16:00 PM Add Comment

NIMEAMKA ASUBUHI, Nikapita kunako account mbali mbali za Twitter, nikakukatana na Hii
Duh….

EAST AFRICA: THE MAID CLAIMS SHE WAS BEATEN TOO

6:15:00 AM Add Comment

BLACK TOUCHEZ & Uganda Online
The maid who tortured Arnella could have gotten a worse off beating and we could be reporting something different here had Eric watched the bit when the maid was doing cruel things to Arnella.

It's a long video and actually the parents had not watched it in it's entirety. All Eric saw was that part when the maid was slapping Arnella for not eating.

×Ads by OffersWizardIt was then that Eric Kamanzi came home and beat up the maid for having slapped his daughter. Of course, the nanny was not aware she was being recorded, so she wondered why Eric was acting that way. This forced Jolly who had only worked for 26 days in that home to seek help from authorities.

Eric was later arrested and ordered to pay Jolly her monthly salary of 60,000/- and get rid of her. However, Eric and Angella Mbabazi got to watch the full recording of about 10 hours, they were shocked with what they discovered. In some scenes, the maid could be seen lifting Arnella by the hair, stomping on the back and kicking her in the process.

Eric showed them the clip, they were equally shocked leading to his release and the subsquent arrest of Jolly. On being arrested, Jolly said that she had also been beaten but was quick to add that Arnella was lucky, she did not bleed, but I bled. Jolly was even showing off a blood soaked T-shirt she was wearing at the time of the beating, she even showed off marks sustained from the caning on her back.


The police boss, Gen. Kale Kayihura has now ordered that an additional statement be got from Jolly Tumuhiirwe on the events leading up to the time of the video footage.

BBA HOT SHOTS: WATANZANIA TUNA NAFASI KUBWA KUMUOKOA IDRIS TENA. UGANDA NA KENYA TUNAOMBA MTUUNGE MKONO

6:05:00 AM Add Comment

Na Frank M. Joachim/BBA HOTS HOTS
WATANZANIA hivi sasa bado tunalo jukumu kubwa sana la kuweza kuhakikisha tunambakiza Mshiriki wetu Idr5is Kunako jumba la Big Brother, ikiwa ni baada ya Kurudishwa kwa mara ya Pili katika Kitu kinachofahamika “KIKAANGO” ama HALI YA HATARI.

IDRIS aliweza kupigiwa Kura Tatu za kumpeleka kunako Kikaango, kutoka kwa washiriki Wenzake, na hivi sasa ni moja kati ya watu saba waliochaguliwa na wanatakiwa kubaki wachache huku wengine wakiondoka bila ubishi.

Nchi ya Uganda safari hii imepona baada ya Mshiriki wake ELLAH kukosa kikaangoni, hali ambayo inatoa nafasi kubwa sana kwa Nchi za Afrika Mashariki kupigia Kura IDRIS Ili asitoke.

LIST YA WASHIRIKI walioingia katika Kikaango ni kama ifuatavyo:
Trezagah 
Tayo
Macky2
Idris
Sheillah
Goitse

Sipe 

BOBY MAPESA KUTOKA NCHINI KENYA KUACHIA VIDEO YENYE GHALAMA BALAA

6:02:00 AM Add Comment

BLACK TOUCHEZ HQ/BOBY MAPESA
OOH NO LADIES AND GENTLEMEN…This Time Kila mtu jicho na kitete kipo katika kauli ya Bobi Mapesa kuhusu Video kali inayosadikiwa hivyo, huku ikithibitika kutumia Mkwanja Mrefu haswa…

TTM tumepata Data kuwa, Rapper Bobby mapesa amedai kuwa , Jumatatu Ijayo, anatarajia kushusha Video kali ambayo amemshirikisha VIVIAN, na amewekeza kiwango kikubwa Cha Mkwanja Mazee.

VIDEO Hiyo ambayo itakwenda kwa jina la OVER AND OVER, imemgharimu BOBY MAPESA Kiasi cha KSH MILLION 3, sawa na Takribani TSHS MILIONI 58

Hapa tunamnukuu:

 “Video inadrop this coming Monday and it’s directed by Kevin Bosco. I apologize to my fans for taking quite a while, but complications to do with equipment getting lost and so on, led to the delay. The same complications, zimefanya video budget to shoot from the initial Ksh. 1.5 million to 3 million, but si mind sababu I take my music as an investment”


BOBY MAPESA amewahi kufanya Poa na Vibao kama Vile KAMOJA, NASKIA UTAMU (THE BUGZ) TUKO MBELE, WEZERE, na nyinginezo kadhaa

WEEKLY TOUCHEZ BONGO: LADY JAY DEE, QUICK ROCKER, NAVY KENZO NA DIAMOND, WAMEFANYA HIVI JUMA HILI

5:57:00 AM Add Comment

Na Frank M Joachim/Mkito.com
KAMA Utakuwa ni Mfuatiliaji Mzuroi sana wa Muziki wa Kizazi kipya utakuwa unafahamu Vizuri kabissa kuwa, kuna nyimbo ambazo tangia ziachiwe zinafanya Vizuri kadri siku zinavyozidi kwenda 

Diamond Platnumz aliweza kuingiza mkwaju wake Mpya Sokoni tangia Wiki iliyopita na bado imekuwa ni sehemu ya Mafanikio Makubwa si katika Video na Audio

KUPITIA Mtandao wa Mkito.com, ambao unauza kazi za wasanii wa Muziki wa Kizazi Kipya maarufu kama Bongo Fleva, Kazi zifuatazo, ndizo ambazo zimeweza kutizamwa/kusikilizwa zaidi ikiwa ni Ndani ya Wiki ya Kwanza na Yapili tangia Iachiwe

QUICK ROCKA (SWITCHER) FEAT. YOUNG DEE- BISHOO
IMESIKILIZWA MARA 1890 (IKIWA NI WIKI YA KWANZA)

NAVY KENZO (AIKA & NAHREEL)- MOYONI
IMESIKILIZWA MARA : 2100 (IKIWA NI WIKI YA KWANZA)

DIAMOND PLATNUMZ- NITAMPATA WAPI
IMESIKILIZWA MARA 13,043 (IKIWA NI WIKI YA PILI)

JAY DEE FEAT DABO- FOREVER
IMESIKILIZWA MARA 2,621 (IKIWA NI WIKI YA KWANZA)

LAMECK DITTO- HERI YA CHRISTMAS
IMESIKILIZWA MARA 960 ( IKIWA NI WIKI YA KWANZA)

VANESSA MDEE FEAT. BARNABA- SIRI

IMESIKILIZWA MARA 7,908 (IKIWA NI WIKI YA PILI)

WEEKLY TOUCHEZ: MAUZO YA ALBAM YA EMINEM, RICK ROSS, IGGY AZALEA NA BEYONCE YAKO HIVI MPAKA KUFIKIA SASA

5:52:00 AM Add Comment

BLACK TOUCHEZ HQ/HNHH
NI muda kadhaa sasa tangia wasanii kadhaa nchini Marekani wameweza kushusha albam zao kunako soko la Muziki Ulimwenguni

Moja kati ya wasanii ambao waliweza kuteka soko la Muziki kwa Kushusha Albam zao, ni pamoja na RICK ROSS (HOOD BILLIONAIRE), EMINEM ( SHADY XV), BEYONCE ( BEYONCE-THE PLATNUM EDITION) na IGGY AZALEA (RE-CLASSIFIED)


Na Albam za wasanii hao zimeonesha kuchuana kuliko vile ambavyo wengi labda walitarajia:

RICK ROSS-HOOD BILLIONAIRE: Imeuza Nakala 65,000 mpaka 70,000 ndani ya Wiki ya kwanza

EMINEM-SHADY XV : Imeuza nakala 140,000 Mpaka 150,000 Ndani ya Juma la Kwanza mpaka sasa

BEYONCE- BEYONCE PLATNUM EDITION: Imeuza Nakala 50,000 mpaka 55,000 Mpaka hivi sasa


IGGY AZALE- RE-CLASSIFIED: Imeuza nakala 11,000 Mpaka 13,000 mpaka hivi sasa

TAARIFA KUTOKA TFF KUHUSU JEZI ZA TIMU YA TAIOFA, NA RAIS KWENDA NCHINI INDIA

9:33:00 AM Add Comment

BLACK TOUCHEZ Sports
Shirikisho la soka nchini TFF limetoa shukurani kwa wabunifu waliojitokeza katika zoezi la kubuni muonekano mpya wa jezi mpya za timu ya taifa za nyumbani na ugenini.

TFF imetoa shukrani hizo baada ya kupokea mifano ya muonekano wa jezi za timu za taifa kutoka kwa wabunifu zadi ya 80 ikiwa ni siku chache tangu zoezi hilo lilipotangazwa mwezi uliopita.

Mkurugenzi wa mashindano wa TFF Boniface Wambura hii leo wamekutana na waandishi wa habari kwa niaba ya katibu mkuu Celestine Mwesigwa na kueleza taratibu nyingine zinazofuata mara baada ya zoezi la kupokea mapendekezo ya muonekano mpya wa jezi za timu ya taifa kutoka kwa wabunifu.


 Wakati huo huo Boniface Wambura ameliweka sawa suala la raisi wa shirikisho als oka nchini TFF Jamal Malinzi kuelekea nchini India ambapo ilidaiwa amekwenda huko kuftai matatizo ya kiafya.

Wambura amesema suala la Malinzi kuelekea nchini India kwa ajili ya matibabu sio la kweli, bali kiongozi huyo wa soka nchini amekwenda nchini humo kwa ajili ya kuangalia afya yake ikiwa ni mpango aliojiwekea kila mwaka.

INSTAGRAM: INAWEZEKANA MDUDU "CHUKI BAINA YA WASANII"...UNAMTAFUNA SANA DIAMOND. TIZAMA ALICHOKIANDIKA

5:15:00 AM Add Comment

BLACK TOUCHEZ/ INSTAGRAM
KUTOKA KAMWAMBIE mpaka NTAMPATA WAPI, siku hizi Diamond hakamatiki Kirahisi kutokana na kufanya Poa katika kila mchakato ambao anakuwa anaufanya.

Baada ya kujibiwa swali la kwanza na mmoja wa Followers wake kunako account yake ya Instagram kuhusu Watanzania kama itatokea tukawa juu hasa kimuziki kama wasanii wengine ambao walianzisha Style zao za Muziki, finally ameshusha swali ambalo kiujumla linaweza kujibika, lakini utekelezaji wake ni noma

SASA, na siku ya leo kupitia account yake hiyo hiyo ya instagram, Diamond Platnumz ameuliza Swali kama lifuatalo na ninanukuu Swali hilo


"Ila kwa sasa nina swali moja tena naomba mmoja anijibu NI LINI WASANII WETU WA TANZANIA WAO KAMA WAO WATAUNGANA NA KUWA KITU KIMOJA NA ISIWE KINAFKI KAMA ILIVYO SASA NA HAPA SIMAANISHI MUUNGANO WA KIGOMA OLL STAZ AU MBEYA WALA MWANZA NINAMAANA wasanii wasiwe na wivu wa kijinga na badala yake wakubaliane na hari harisi na waitumie mianya waliotengenezewa pia wasiwe woga au na aibu kuomba connection mfano kama vile @fidq asihofu kumuomba chibu amkutanishe na @sarkodie1 kama ataamin chibu aweza mkutanisha. NI LINI WASANII WATA HUG NA KUGONGA GRASS ZAO PAMOJA HUKU WOTE WAKIWA NA UPENDO WA UKWELI MIOYONI MWAO NA HATA KAMA CHUKI IKIWEPO IWE YA SABABU ZA MSINGI BASIII,NI LINIIIIIIIII?"

AUDIO: SIKILZA INTERVIEW AMBAYO ADEBAYO ALISEMA KUWA MAMA YAKE AACHE KUMLOGA

12:41:00 PM Add Comment

MKALI WA “KABUMBUMBU” kunako klabu ya Totenham nchini Uingereza Emmanuel Adebayor amekosana na mamaake kwa madai kwamba anatumia uchawi kumharibia kazi yake.

Lakini mchezaji huyo wa zamani wa kilabu ya Arsenal anadai kwamba mamaake aliondoka mwenyewe na kwamba hawana mawasiliano yoyote kati yao kwa kuwa amekuwa akitumia uchawi kutaka kumuharibia kazi yake.

'' Ninawezaje kuzungumza na mama ambaye yeye na dadaangu wamekuwa wakijaribu kuniroga''


Mchezo wa Adebayor katika kilabu ya Tottenham umeathirika katika kipindi cha miezi kadhaa iliopita huku Tottenham ikidaiwa kujaribu kumuuza kwa mkopo mchezaji huyo katika dirisha la uhamisho mnamo mwezi January kufuatia kushuka kwa mchezo wake.

(AUDIO) DARK MASTER: NIMEBAKI MWENYEWE..NYOTA TATU KATIKA MAJINA YA NGWEAR NA GEEZ MABOV KATIKA MWILI WANGU YANAAMNISHA ZINAMAANISHA HIVI

7:15:00 AM Add Comment

Na Frank M. Joachim/HQ
KAMA Hujapata Taarifa, ni Kwamba, Mwanachemba aliyebakia Lonely, DARK MASTER, amechora Tatoo zenye Majina Mawili ambayo ni ya rafiki zake GEEZ MABOVU pamoja na ALBERT MANGWEA, Katika Kifua Chake

Katika Kufafanua, Dark Master amedai kuwa, Kiujumla Hivi sasa, anajiona kama amebaki  peke yake katika familia ya washkaji zake wa karibu, na ndio maana ameamu kuweka majina yao katika Mwili, ili kuonesha kuwa alikuwa nao Kimwili, lakini siku zote bado atazidi kuwa nao katika Mwili wake na Kiroho Pia.


Tofauti na Hilo, dark maesema kuwa, hivi sasa kuna kitu kizuri kinachokuja kwa ajili yao, na hata kwa Manufaa Mazuri ya familya Nzima Kiujumla.

Msikilize alichokisema wakati akipiga Story na TTM

NYOTA DOGO NA MAPROMOTA WANAFIKI..IKO HIVI

7:00:00 AM Add Comment

BLACK TOUCHEZ HQ/KENYA
NYOTA NDOGO amekuwa Kimya sana huku akionekana kustruggle sana kurudi katika Game ama Music Industry

Lakini kupitia account yake Twitter, Nyota ndogo ambaye alihit na Vibao kadha wa kadha ikiwemo WATU NA VIATU, ameonekana kukerwa sana na Promoters Feki pamoja na watu Wengine, wanaopenda kumtumia Bure hasa katika Kipindi hiki ambacho hana Mkwanja (Inavyoonekana)


Katika Tweet Hiyo, Nyota Ndogo ambaye hivi sasa ameonekana kushiriki katika Baadhi ya harakati hasa zinazowahusu akina mama Nchini Kenya, amedhihirisha kabisa kuwa hiyo imekuwa ni tabia ya watu wa aina hiyo ambao hupenda kukutumia pindi tu unapokuwa hauna Mkwanja, ili wao waingize Mkwanja, lakini kipindi ukiwa na Mpunga Hawafanyi Hivyo.



LADIES AND GENTLEMENT.....GUESS WHAAAT...COLLO IS BAAAAAAAAAAAAAAAAACK

6:26:00 AM Add Comment
COLLO-KING WA RAP

BLACK TOUCHEZ HQ
KENYA is totally being hot na itakuwa hivyo siku zote hasa ukizingatia Kitu rap na Ufalme wa rap umekuwa ukipiganiwa sana.

SASA, Yule anayeitwaga Mfalme wa Rap, Call Him COLLO- KING WA RAP, ameamua kurejesha ubabe wake kwa wale ambao wamekuwa wakimchukulia Po asana kiasi kwamba wakadhani hajui kinachoendelea Kutoka kwao.

Hivi sasa Collo ameachia Brand New Track ambayo Ni Video, na ameamua kuipa Jina la COLLO (Whats that Boys Name) ambayo kiujumla ina utamu wa Rap yake Mwenyewe
COLLO-KING WA RAP
Collo amekuwa Kimya kwa Muda kadhaa, huku ukimya wake ukishambuliwa na watu hasa wasanii ambao hawapendi jinsi anavyojiita King wa Rap Kutoka Nchini Kenya.


Maswali Mengi hivi sasa kuwa, nani ambaye atajitokeza kudhihirisha kuwa Collo Siye King Wa Rap Kenya…maana Collo kasema hakuna rapper atakaye Mgusa

RIPOTI: DIAMOND TUMUACHE TU....HUYU NAYE NUSURA WAMTOE ROHO KISA DIAMOND

6:06:00 AM Add Comment

Na Frank M. Joachim/Youtube
OKAY, siku ya jana, TTm tulikupa Mtonyo mzuri kuwa, Chibu Dangote, namzungumzia Diamonds Platnumz, ameachia Brand New Track ambayo inakwenda kwa jina la Nitampata wapi, amabyo imezua maswali Mengi.

Tofauti na Kuachia AUDIO, Platnumz ameachia na Video siku hiyo hiyo ya jana, ambayo imedhihirisha kuwa, yeye ni Platnumz na kamwe hawezi kukamatika

TAKWIMU MPAKA KUFIKIA MAPEMA LEO
Baada ya kupita leo kunako Channel yake ya YOUTUBE ambayo Video hiyo iliweza kuwekwa, Ikiwa ni Ndani ya Siku Moja, Video hiyo Imeweza kutizamwa na Mara 129,049, jambo ambalo linadhihirisha kuwa, ndani ya masaa 24, video hiyo inawezekana kuwa imeshatizamwa na watu zaidi ya Laki Moja

Tofauti na Kutizamwa mara nyingi Kiasi hicho, Video Hiyo imeweza kupata Likes, yaani kupendwa na watu 2,124 na kupata Dislikes 185 mpaka ninakamilisha mchakato


HUYU NA COMMENT YAKE..NUSURA WAMTOE ROHO KISA DIAMOND
Aidha kunako mchakato wa Comments, kulitokea kama Kijiubishi Kidogo hasa baada ya jamaa mmoja anayefahamika kwa jina la  NORMAN ERIC kucomment hivi :

“Hakuna lolote , diamond alishafika kwenye level za juu kabisa na ngoma yake ya my number one. Ni ukweli usiopingika kuwa hatakaa afikie pale tena. Kwa sasa kila wimbo wake mpya anazidi kuwa anashuka chini. Angalia kitorondo na huu uchafu mwingine hapa. Na anachokosea pia ni kuweka hao wazungu anaona dili. Keli kuzaliwa tandale bwana. Ni shida fukara wa fikra. Poor diamond.. Graph yazidi kushuka. My number one hutakaa fikia tena. Nani anabisha???

Sasa, Baada ya Norman kufanya hivyo, comment karibia zote zikahamia katika kumshabulia..moja wapo ni hii hapa 


“Diamond Anajaribu Kua Mbunifu Tatizo Wabongo bhado Tuko Nyuma Sana Yupo Mtu ana kwambia Mbona Video Haipo kama #ma no 1 Kwa hyo Alitaka Daimond Atoe video za Aina moja tu Music Unabadilika Au Ulitaka Diamond atoe Videos kama Za Jason Derulo  Wakati Uwezo wake Haujafikia kule Kila kitu kina enda kwa Wakati, Alipofikia Diamond Mpaka Sasa ni Hatua kubwa Sana kibongo bongo, Tujifunze kutoka kwa Wenzetu Tusikariri Check Video Ya Psquare  #chop ma money na Ejeajo graphic  na kila Kityu kipo Tofauti ila Kuna Watu  watasema Video ya EJeajo Mbaya Coz Washazoea Ma video ya Marangi Rangi Big up Diamond kazi Nzur #Wabongo tuna tabia za Kichawi na Wivu

(COMMENT NYINGINE HATUJAWEKA SABABU ZILIKUWA NA MANENO MAKALI. AHSANTE)

WHOA!..HAYAWI HAYAWI SASA YAMEKUWA….

6:07:00 AM Add Comment

Na Frank M. Joachim/Daily Mail
WALISEMA haolewi, sasa kakaolewa, Pongezi za Dhati zifike kwake SOLANGE KNOWLES ambaye ni Mdogo wake Beyonce, kwa kuweza kuingia katika Mchakato wa Kuwa kitu Kimoja na Mchumba wake ambaye This Time ni Mumewe, ALAN FERGUSON

SOLANGE alitamka Neno “Ndiyo” katika Mitaa ya NEW ORLEANS Nchini Marekani Siku ya Jana, JUMAPILI, ambapo Ilithibitika na Kuidhinishwa Kuwa tayari wawili hao ni Mwili Moja, Ila sina uhakika kama Moyo ni mmoja.

TTM iliweza kuzama kupitia Kitengo Chimbua Chimbua, na kupata Uhakika kuwa, Ndoa Hiyo ilikuwa ni Ya Kipekee na Tofauti sana, ambapo wawili hao walionekana kujawa na Nyuso za Furaha, huku wageni waalikwa wakiwa ni wachache lakini Muhimu sana

·        Wageni Muhimu :
Kulikuwa na wageni Muhimu ambao walikuwa ni tazamio kubwa sana kuweza kuhudhuria Ndoa Hiyo ambayo ilioneakana kumvutia. Familia ya CARTER, nam,zungumzia JAY Z (Shemeji ake Solange), Beyonce (Dada ake Solange) pamoja na Mtoto wao Blue Ivy

Tofauti na Hilo, mama Mzazi wa Solange pamoja na Beyonce, naye alitia Timu katika “Ubwabwa” huo ambao ulinukia balaa

·        Mavazi Kwa Shughuli Nzima
Shughuli Nzima iling’aa sana ukizingatia Dressing Code ya Ndoa na Hafla yote Kiujumla, ilikuwa ni Mavazi yenye rangi Nyeupe. Jay Z alinyonga SUTI ambayo hakika itabaki kuwa gumzo na Kumfanya aonekane tofauti kabisa hasa kimuonekano.


Maharus wote waligonga Kitu White, na kuifanya Ndoa hiyo kujawa na Weupe wenye Full happinesses

·        Usafiri Ulikuwa Balaa
Tofauti na Vile ambavyo Tumezoea Siku zote, tunaonaga Maharusi wakiwa wamejificha ndani ya magari yenye Thamani sana na hata yakiwa Tinted, huku wengine wakiwa Kunako magari ya wazi ili tuone walivyopendeza, lakini huku imekuwa ni Toooofauti.


SOLANGE na Mumewe ALAN FERGUSON, walipanda katika baiskeli ambazo pia zilipigwa Rangi Nyeupe

Kitu cha kushtua Kidogo, ni kwamba Mume alikuwa katika baiskeli iliyoonekana kuwa na Pancha, huku tukijiuliza kuwa what was That.
Pia baiskeli ya mamito SOLANGE, ilionekana kuwa na maua Fulani hivi ambayo yanaashiria huyu ndiye Mwali ati…


·        Tujikumbushe
Hii itakuwa ni Mara ya Pili kwa Solange kufunga Ndoa, ambapo awali alifunga ndoa na jombaa anayefahamika kwa jina la DANIEL SMITH, na Walifanikiwa kupata mtoto DANIEL JULEZ ambaye hivi sasa ana Umri wa Miaka 10




















MNADA BANNER