REPIN ROCK CITY

REPIN ROCK CITY

TUMA TRACK YAKO

SIKILIZA ROCK CITY PROBLEM YA WIKI ILIYOPITA. ENDELEA KUSIKILIZA METRO FM 99.4-MWANZA

1:17:00 AM Add Comment

ROCK CITY Problem ni Mikwaju ambayo inafanya Vizuri katika Jiji la mwanza na hata maeneo mengine Nchini

Nyimbo hizi pia, mara nyingi huwa ni zao la Mwanza, kutoka kwa wasanii wa Mwanza, pamoja na Producers tofauti wa Mwanza.
WIKI iliyopita, TTM ya JAM SESSION, ilipata Mikwaju mipya  Mipya Miwili ambayo pia Inatabiriwa Kuwa Hot katika jiji la Mwanza..


SIKILIZA hapo Chini :


INSTACOP: UMESHAONA NAMNA AMBAVYO JIN KABULA AMEDATA KWA MR. FLAVOUR?

12:48:00 AM Add Comment

SIKU chache hivi karibuni maze, nilipita katika account ya  Mariam Jolwa, maarufu kama JINI KABULA.

Nilikuta tayari ameshabadilisha Hadi User Name kutokana tu na kuvutiwa na Mr. Flavour ambaye ni msanii wa Nigeria.

MR FLAVOUR ni Kipenzi cha watu wengi hasa kupitia kazi zake kama Vile, ASHAWO, I AM FOR REAL, CHINNY BABY na Nyinginezo.


Tofauti na hilo, Mwili wake wa mazoezi, ni noma kwa akina dada, kama ambavyo Kabula kaamua kuonesha kumkubali balaa




CHUKUA HII: HII NDIYO MIKWAJU INAYOPATIKANA KATIKA ALBAM YA CHRIS BROWN “X”

12:34:00 AM Add Comment

Ili Kudhihirisha kuwa this time Albam yake haitopigwa kalenda tena na 
Kuwaangusha mashabiki wake, Mkali wa LOYAL, CHRIS BROWN, finaly ameachia Track lists ama Mikwaju ambayo itapatikana katika Albam yake ya X.

ALBAM hiyo ambayo imesheheni Mizigo 21, imewahusisha masta wengine ambao wametoa Shavu la kutosha  katika Albam Hiyo ambayo itashuka rasmi Sokoni SEPTEMBA 16, Mwaka Huu.

Wasanii ambao wameshiriki katika Mzigo huo ni pamoja na LIL WAYNE, TYGA, USHER RYMOND, RICK ROSS, KENDRICK LAMAR, Marehem ALIYAH, TREY SONGZ, AKON, R.KELLY na wengineo Nyomi

MIKWAJU HIYO IKO KATIKA MTIRIRIKO UFUATAO

1. X
2. Add Me In
3. Loyal (Feat. Lil Wayne & Tyga)
4. New Flame (Feat. Usher & Rick Ross)
5. Songs On 12 Play (Feat. Trey Songz)
6. 101 (Interlude)
7. Drown In It (Feat. R. Kelly)
8. Came To Do (Feat. Akon)
9. Stereotype
10. Time For Love
11. Lady In a Glass Dress (Interlude)
12. Autumn Leaves (Feat. Kendrick Lamar)
13. Do Better
14. See You Around
15. Don’t Be Gone Too Long
16. Body Shots
17. Want You To Want Me
18. Lost In Ya Love
19. Love More (Feat. Nicki Minaj)
20. Don’t Think They Know (Feat. Aaliyah)
21. Fine China

MNADA BANNER