REPIN ROCK CITY

REPIN ROCK CITY

TUMA TRACK YAKO

BSS ya Jana...Hapana !!!!!!!!!!!

11:40:00 AM Add Comment

Jana Nimefuatilia Kwa Umakini Sana Mashindanio ya Uimbaji Nchini Tanzania EPIC BONGO STAR SEARCH 2012 (EBSS)

Walitoka Washiriki 9 na Kubakia Washiriki 12 ambao nao naamini watapungua katika Muendelezo wa Mashindano Hayo

Kwa Upande wangu japo na Uelewa Wangu Mdogo sana Katika Music Industry nikiwa Kama Mdau..frankly ninamshaka sana Na Jopo La Majaji...yaani Madame Ritha Kam Chief Judge, Master Jay na Salama Jabir Kama Majaji wasaidizi.

Sikuvutiwa sana na Kutolewa kwa Mwanadada Mpangala...na Yule Mwenye asili ya Kihindi (Sijalikamata Jina Lake Vizuri coz ndo Kwanza inaanza) ambaye alifanya kile kile kama alichokifanya Mpangala, huku mpangala akionesha Uwezo kuliko Huyo Dada mwenye asili ya Kihindi

Kama Mpangala alifanya Modification ya Wimbo aliouimba kama huyo dada alivyofanya katika Wimbo wa SHOGA wa Shaa !!!

So...kuweni makini..We are Watching too !!!!!!!!
 

AVRIL HAWEZI MDUALA...SO NO COLLABLE"- AT

11:12:00 AM Add Comment



Zilisikika Saaana kuwa Mkali wa "Bao La Kete" AT all the way from U.R of Tanzania "Area 255, atagonga Kollabo na Sexy lady wa Area 254 Kenya, Avril....lakini Ni NO COLLABLE TENA!!!!!

Kwa Mujibu wa AT kupitia MPEKUZI, ni kwamba alifunga safari kwenda Nairobee Kenya, ambako alikutana na Mrembo huyo katika Studio za OGOPA DJ, lakini Avril alishindwa kabisa kumatch vile ambavyo AT alitaka katika Mashairi na Melody......


MNADA BANNER