REPIN ROCK CITY

REPIN ROCK CITY

TUMA TRACK YAKO

JAMANI !!! : JANET JACKSON KILICHOMLIZA JUKWAANI NI HIKI !!!!

2:28:00 AM Add Comment
 
Na Baba Juti  
#WatuWaMungu Janet Jackson aliingia katika Headlines "Kibwena" baada ya kuolea na Bilionea Mwenye asili ya Kiarabu anayeitwa WISSAM AL MANA, na baada ya kupata mtoto mmoja, wawili hao walitangaza kuachana Rasmi

Janet alitoa Sababu zake kadha wa kadha za kuachana na mumewe huyo, huku kubhwa ikiwa ni kunyimwa Fursa katika Tasnia yake, Ndugu zake kutokupendwa na jamaa huyo na mengineyo mengi

Sasa kama mlikuwa hamfahamu, Jumamosi ya Wiki iliyokata, Janet Jackson alijikuta akishusha Machozi akiwa jukwaani wakati akiperform mkwaju wa ABOUT YOU katika Tamasha la STATE OF THE WORLD (Tour)

Mkwaju wa ABOUT you aliuandika na hata kuhiti kipindi cha Nyuma kidogo lakini haikufahamika kwa nini alitoa Machozi wakati akifanya Perfomance ya mkwaju huo

Kwa Mujibu wa Rafiki wa Karibu wa Janet Jackson since ameanza harakati zake, na hata kuwa naye katika Tour hiyo, anadai kuwa ni kweli ikifika eneo la Mkwaju huo, humpatia wakati Mgumu sana Janet kutokana na kile ambacho kimemtokea katika Ndoa yake

Akiongeza kuhusu hilo, Rafiki huyo anadai kuwa, asilimia kubwa ya Mashairi ambayo yanapatikana katika Wimbo huo, yanahusiana kwa asilimia kubwa ni kitu alichofanyiwa na Ex wake Wissam, na ndio maana liingiwa na hisia kali na hata kutoa Machozi wakati akifanya Perfomance Ya Wimbo huo.

TUESDAY CHICK : RIHANNA WITHOUT WEARING BRA.. DAMN !!!

12:45:00 AM Add Comment

By Rich Sam   
#Godspeople You Cant Believe This aisee !!!. Lots of  international Female Celebrities are well know for under going several SURGERIES in order to "pimp" their Look. Example, Boobs, Buts, and so many other body parties.

Well The, Today we Bring you the Hot Chick, and a Hit maker of Umbrella Song- RIHANNA with her Look.

Off Course many off you now are Calling her "Thick Rihanna" since her body started changing. But when you Look at her Chest...i mean ...Boobs, damn!! ..even without Bra, are still looking lovely and you cant even say that she has Fake Boobs

MNADA BANNER