REPIN ROCK CITY

REPIN ROCK CITY

TUMA TRACK YAKO

PICHA: THE BEST SHOW AMBAYO SIJAWAHI SHUHUDIA ...BIG UP PITBULL & J LO

11:45:00 PM Add Comment
































AY, PROF. JAY USO KWA USO NA RAIS KIKWETE

3:15:00 AM Add Comment

PROFFESOR JAY-JOSEPH HAULE

“Sisi kama mabalozi wa Ansaf tulikabidhi saini za wakulima, kuna kituo kimoja cha radio kinaitwa Farmers Radio, kilifanya research na wakawatembea wakulima kadhaa, sehemu tofauti tofauti na kuangalia wakulima wanamatatizo gani na nini kifanyike ili kuwasaidia wakulima wa Tanzania na Afrika nzima kwa umoja , so mimi kama balozi jana nilichokifanya nilikabidhi signature za wakulima wa Tanzania zaidi ya milioni 2 , kwa mweshimiwa Rais Kikwete ambao wengi waliweka matatizo yao ,wameweka hoja zao ambazo zinawakabili ili kwa upande wa serikali waweze kuzifanyia kazi na pia kumwagiza Rais wetu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania haende kuliongea hili katika mkutano mkuu wa Afrika , 2003 walikuwa wanadhamira ya kuwekeza kwenye kilimo, na mwaka huu 2014 umechaguliwa kama mwaka wa kilimo kwaiyo Rais atakuwa huko Maputo Msumbiji baadae ,wanamkutano wao , pia tumemwagiza Rais akaliongelee hili swala la changamoto za wakulima wadogo wa Tanzania na Afrika nzima’’


AY-AMBWENE YESAYA

“Cha msingi lazima tufanye juu chini kilimo kiwe juu, kwaiyo Tanzania ni mojawapo ya nchi ambazo hazichangiti asilimia kumi kwenye kila bajeti ya mwaka kuwekeza kwenye kilimo, kwaiyo ule ujumbe unatakiwa umshawishi Rais, kuanzia mwaka huu wawe wanatenga asilimia kumi au zaidi ya asilimia kumi kwajili ya kuwezesha sekta ya kilimo, kingine ni kwamba ku,motivate vijana kwenda kwenye kilimo kwa sababu kilimo kinakaa kama nicha watu masikini au kama cha wazee, wakati vijana tukiweza kujikita kwenye kilimo mpaka kufika 2030 tutakuwa tupo mbali sana, kwaiyo ujumbe wangu nilimkabidhi Rais akaupokea, na akatoa speech yake, akasema ujumbe umefika, Pia akasema kabla ata hajaenda, kwa sababu anamkutano huko Malawi na Equatorial Guinea juni 25 mpaka juni 27 ,atapeleka ujumbe kwa wahusika na litashughulikiwa” 


JUSTIN BIEBER, MAEPOST PICHA HII NA KUIONDOA HARAKA BAADA YA MUDA MFUPI

2:54:00 AM Add Comment
JUSTIN BIEBER

Kuna Uwezekano Mkubwa kabisa, Justin Bieber hawezi kufuta Penzi la Selena Gomez katika Moyo Wake..Sikia Hii..

Mnamo Hivi majuzi Tu, The majanga Boy Justin Bieber Himself, alipost Picha ya aliyekuwa Mpenzi wake wa Muda Kidogo, SELENA GOMEZ, na Kisha Kuifuta Ndani ya Muda Mfupi.
PICHA ALIYOPOST JUSTIN BIEBER NA KUIONDOA HARAKA INSTAGRAM

Bwana Mdogo Bieber hakuishia hapo tu, bali katika Picha hiyo ambayo ainamuonesha Selena akiwa amemkumbati kwa Hisia Zote, huku akiweka Maneno yaliyosomeka “OUR LOVE IS UNCONDITIONAL”.


Aidha Sio mara ya Kwanza Justin Bieber Mwenye umri wa Miaka 20 akionesha Jinsi ambavyo amezama na Kuathirika Haswa katika Penzi la Selena Gomez mwenye Miaka 21 hivi sasa kupitia account Yake ya Instagram, ambapo mwezi March alipost Picha ya Ex wake Huyo akiwa katika Usiku wa Washindi wa Tuzo za Oscar, huku akitia maneno yaliyosomeka “MOST ELEGANT PRINCESS IN THE WORLD”

VIDEO YA NITASUBIRI, NI JUNE 15

2:22:00 AM Add Comment

Thingz zinaendelea kuwa Poa hasa kwa wewe Shabiki wa Muimbaji mkali na Muandishi maridaaaadi, hapa Nchini Tanzania, JUX, coz kuna hili la kusubiri kwa hamu Zaidi kutoka Kwake..

The Boy himself toka WAKACHA, anatarajia Kuzindua Rasmi Video yake Mpya ya Hit Song-NITASUBIRI , ambayo mpaka Hivi sasa Inafanya Poa kunako Radio Stations mbali mbali huku Ikivuna Downloads za Kumwaga Kunako Music Social Networks.


Video Hiyo inatarajiwa kuzinduliwa katika Ukumbi wa BILLCANAS Jijini Dar es Salaam, JUNE 15 2014, Huku Wasanii watakaompa kampani kunako STAGE, ni pamoja MIRROR, YOUNG DEE, MR. BLUE, VANESSA MDEE, CYRILL KAMIKAZE, n.k

MNADA BANNER