REPIN ROCK CITY

REPIN ROCK CITY

TUMA TRACK YAKO

DEMU MPYA WA SAFAREE SAMUEL’S: SINA HOFU NA ANACHOKIFANYA NICKI MINAJ.

7:12:00 AM Add Comment

Black Touchez
BAADA ya Kupigana Chini na Rapper NICKI MINAJ, hatimaye Safaree Samuels, ameingia katika mahusiano mapya na Bibie Mwingine “Sexy Hatari”

Akifyatuka kuhusu Kile ambacho “Wakuda na wadaku” tunahitaji kufahamu kuhusu Mahusiano yake Na safaree ilihali tunaona bado Kuna Ugomvi Mkubwa baina yake na Nicki Minaj, ZASHIA SANTIAGO, ambaye ni New Girlfriend wa Ex wa Nick amesema kuwa, Kipindi wanakutana, hakufahamu kama Safaree ni Mtu wa aina gani ama alikuwa akitizamwa sana na jamii, lakini hata baada ya kufahamu hilo, hakuna chochote ambacho kiliweza kumuathihri ukizingatia, wao wamefocus kwenye Mishe na maisha yao.

    KUHUSU HOFU YA NICKI MINAJ NA MASHABIKI WAKE
 “Shemeji Mpya” aliongeza kuwa Ni Kweli kuna muda kunakuwa na Kuandamwa Kwingi na Kinachotokea, hasa ukizingatia Safaree na Nicki wamekuwa katika Mahusiano kwa Miaka 12, hivyo baada ya kuachana, na kuanza mahusiano Mapya, kuna Muda mtu anaweza kudhani kuwa, labda Nicki Mina na Mashabiki zake wamnamdharau,, na hata kutokumpa Heshima ZASHIA, lakini amesema kuwa Yeye haimsumbui kiasi Hicho.


Anachokitizama zaidi, ni maisha yake na safari, Mengineyo ameziba masikio kabisa


· 
      

KUHUSU MADAI YA KUWA NICKI MINAJ NA SAFAREE SAMUELS BADO WANAWASILIANA.
Kupitia Twitter, Nicki Minaj na safaree Samuels wamekuwa wakirushiana Pia kuwa, mmoja kati yao, bado anaendeleza kutuma Meseji za Uchokozi Fulani, na hata mazungumzo ya kawaida, kitu ambacho kila mtu anashangaa


Lakini kuhusu Hilo, “Shemeji Mpya” amedai kuwa, Ni Kweli amekuwa akikutana na malalamiko hayo, lakini mwisho wa Siku, Bado msimamo wake ni ule Ule, ameziba Masikio


MNADA BANNER