REPIN ROCK CITY

REPIN ROCK CITY

TUMA TRACK YAKO

#DakaHiiFasta : WATU WA MUNGU WANAHOJI MUONEKANO MPYA WA LAURYN HILL...ETI NI KWELI AMECHOKA SANA?

7:50:00 AM Add Comment

Na Baba Juti
#WatuWaMungu Waungwana hapa Duniani wameamua kumuandama Lauryn Hill ambaye ni Mwanamuziki Mkongwe sana Hapa Duniani baada ya kuonekana akiwa Hivi katika Uwanja wa Ndege Huko Ufaransa

Lauryn ambaye aliwahi kufanya Vizuri sana akiwa na Kundi la THE FUGEES (Wazee Wenzangu Mtakuwa mnakumbuka Enzi Zetu), alionekana katika Muonekano wa Kuchoka Kiasi kwamba kila Mtu alianza kuhoji kuwa kuna jambo gani ambalo linamtafuna Bibie huyu mwenye Heshima yake hapa Ulimwenguni

#DakaHiiFasta: BIBIE HUYU AOMBA KULIPIWA BILL YA CHAKULA INSTAGRAM BAADA YA KUKUTANA NA HILLI

7:45:00 AM Add Comment
  MAZZARATIE MONICAH   : Pia anasifika kwa Kuigiza Filamu Nyingi za Ngono

   Na Baba JUTI  

#WatuWaMungu ambao mnapenda sana kuzama kunako Instagram account Zenu na kupenda kufuatilia Wale akina dada ambao huwa hawaoni Ngenje kuanika Miili yao na kuwapagawisha wanaume Kihisia, basi huyu dada mtakuwa mnamfahamu Vizuri

Bibi MAZZARATIE MONICAH ambaye anasifika sana kwa kuuanika Mwili wake ambao ni wa Ubonge haswa na mapingili ya hapa na pale yenye kutamanisha kiasi chake kwa wanaopendelea Mizigo hiyo, alijikuta akiingia katika wakati Mgumu Usiku wa kuamkia Jumapili baada ya kushindwa kulipia Bill ya Msosi kunako Moja kati ya Mgahawa huko Madrid

Kwa Mujibu wa Taarifa ambazo team Hit Zone tumezinyaka, ni kwamba Mazzaratie aliingia katika Mgahawa huo na kuagiza msosi wa kutosha , na wahudumu kufanya Vile Bila hiyana maana walifahamu ni Mteja Mzuri Tu.

Lakini baada ya Bill Kuja, Bibie huyo alijikuta akiwa na Pesa Pungufu, kitu ambacho wahusika wa Mgahawa hawakumuelewa kwa Chochote hata Kidogo, hali ambayo ilimgharimu kuzama Instagram na kutangaza kuwa kwa Yeyote atakayemlipia Chakula Hicho, atampatia Huduma stahiki anayoitaka

Naomba nimnukuu :

"Ninarejesha Zawadi ya Huduma Bora kwa yeyote atakayenihudumia Kama malikia. Lipia Chakula Changu cha Jioni, na Ntakupa Zawadi ya kuhamasisha. Nitumie kupitia GIFT ROCKET ama Google Wallet yangu mazzaratiemonica@gmail.com"

MNADA BANNER