REPIN ROCK CITY

REPIN ROCK CITY

TUMA TRACK YAKO

DIAMOND PRIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIII MPAKA TAARABU

6:56:00 AM Add Comment








BAADA ya kutamba kwa muda mrefu katika muziki wa kizazi kipya nchini, msanii nyota wa muziki huo, Naseeb Abdul ‘Diamond’ amesema anafikiria kujitosa katika muziki wa taarab.
 

Naseeb Abdul "Diamond Platnum"

Diamond alisema mjini Dar es Salaam wiki hii kuwa, amefikia uamuzi huo kutokana na kuvutiwa na muziki huo wa taarab.
Mshindi huyo wa tuzo mbalimbali za muziki za Kilimanjaro amesema, anajua uamuzi wake huo utawashangaza mashabiki wengi, lakini ni jambo la kawaida kwa msanii.
 

Diamond alisema hadi sasa anaamini hana mpinzani katika muziki wa kizazi kipya na hakuna msanii anayeweza kufikia kiwango chake hapa nchini.
“Najua watu watanishangaa na kuniona mtu wa ajabu, lakini nimefanya hivyo kwa sababu sina mpinzani katika muziki wa kizazi kipya,”alisema.
Diamond alisema ameamua kupiga miondoko tofauti ya muziki kutokana na kipaji alichonacho katika fani hiyo, ambayo imempatia umaarufu mkubwa.
Kutokana na kipaji chake hicho, Diamond alisema hakuna kitu anachoshindwa kukifanya katima muziki.
“Bado sijaanza rasmi kupiga muziki wa taarab, ninachokifanya kwa sasa ni kufanya tathmini ya soko lake ili kuona kama unaweza kuniletea mafanikio kama ilivyo kwa muziki wa bongo fleva,”alisema msanii huyo.
“Naweza kufanya kila aina ya muziki kwa sababu nina kipaji cha kuimba nyimbo aina zote, hivyo endapo nitafikia muafaka, naweza kufanya kitu hicho ingawa mashabiki wangu watashtuka sana,” alisema.
 

Diamond alikiri kuwa, muziki wa kizazi kipya umemfanya ajulikane sehemu nyingi duniani, ikiwa ni pamoja na kupata manufaa mbalimbali kimaisha kwa kuishi kwenye nyumba nzuri na kumiliki magari ya kifahari.
Msanii huyo mwenye haiba ya kuvutia alisema, kwake muziki ni kazi kama zilivyo kazi zingine hivyo amekuwa akifanya kazi zake kwa malengo.
Alisema siri kubwa ya muziki wake kuwateka mashabiki wengi ndani na nje ya nchi ni kufanyakazi zake kwa kujituma na pia kujiwekea malengo.
"Sifanyi muziki kwa ajili ya kujifurahisha, kutafuta pesa na kuwaacha mashabiki wangu wabaki na kiu ya burudani,”alisema Diamond.
“Ninapofanya muziki nahakikisha kuwa, nakata kiu ya mashabiki wangu kwa kuwapa burudani wanayoihitaji,”aliongeza.
Katika kufanikisha hilo, Diamond alisema amekuwa na utaratibu wa kushirikiana na watu mbali mbali kwa vile anaamini sio rahisi kuweza kufanya kila kitu peke yake.
Pia Diamond Ameongeza Kuwa miongoni mwa watu, ambao wamekuwa wakimpa ushirikiano mkubwa katika kazi zake ni wacheza shoo kwa vile wamekuwa wakibuni vionjo vipya kila kukicha.
"Siwezi kuwa na ubahili ninapofanya kazi na hili ndilo lililonifanya nizidi kusonga mbele katika kazi ya muziki. Ili upate ni lazima utoe na ili uwafurahishe mashabiki wako ni lazima uzingatie kanuni hizo,”alisema.

UBAYA UBAYA ya DJ. Nas Yafanyika...

6:49:00 AM Add Comment









DJ Maarufu mkoani Iringa Nickson Sanga ari maarufu DJ NAS  wa Iringa ameanza zoezi la kurekodi video yake inayokwenda kwa jina la Ubaya ubaya.
Mzigo huo unasimamiwa fresh na Kampuni ya Show Biz Difine inayomilikiwa na msanii Mike Mwakatundu a.k.a Mike T.
 
 
.














 
 
Dj Nasi akiwa na Video Modals wakati wa Making te Video

 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 Dj. Nasi Katika Mzigo.......

KESI YA LULU IMEAHILISHWA TENA!!!

5:29:00 AM Add Comment





Kesi yaMauaji inayomkabili Msanii wa Filamu na Maigizo Nchini Tanzania, Elizabeth Kimemeta Michael Maarufu kama "Lulu" dhidi ya Msanii Mwenzake Marehemu Steven Kanumba "Kanumba The Great", imeahirishwa tena mpaka August 25,2012.

Kwa Mujibu wa Mwandishi wa Habari wa www.joachimjunior.blogspot.com, kesi hiyo imeahirishwa kutokana na Hakimu anayesikiliza kesi hiyo, Fauz Twaibu kutokuwepo Mahakamani.
Lulu akitoka Mahakamani

Elizabeth Michael anakabiliwa na kesi ya Kusababisha kifo cha Steven Kanumba kilichotokea Miezi kadhaa iliyopita, Nyumbani kwa marehemu Sinza Vatkani.

SwaggTouchez

2:38:00 AM Add Comment




Hubert Kiwale, Assistant C.E.O wa WACKAVVU BLACKAZ INC & BLACK TOUCHEZ Ent alikamua Weekend yake na Masista.
Ameeen











NEEMA HOSTEL FELLAZ!!
Majembe yangu ya Ukweli kutoka Neema Hostel,
Kuanzia Kushoto ni Sam, Tonny Stone,Biggie na Timoth
Mule Mule Mazee












My Best Friends from St. Anne Marie Academy (O'Level) back those days, Peter Rutashobya (P Rutter, and Paul
Mic U Hommies









Ndimu Swaggalists
Twaha Lupenza R.O.M.A The Second, Aboul Mrisho "Kacci, Kaccilionaire, Kaccirymeslicious", and Rasheed "Chiddy"
Walitisha














MARIAH CAREY USO KWA USO NA RICK ROSS,MEEK MILLS.

1:57:00 AM Add Comment





AJe AjE Paleeeeeeeee?
Yeah, Leo nashuka Kimombo mwanzo Mwishoooooo 

An already hot summer for Rick Ross’s Maybach Music Group should be heating up even more.

That’s because two of MMG’s main MCs will be featured on one of the most popular artists in music history later this summer–none other than Mariah Carey.
“So I can finally announce to you that my new single is coming out early August,” Carey tweeted Saturday (July 21). “It’s called TRIUMPHANT (Get ’Em) ft. Rick Ross & Meek Mill. I wrote TRIUMPHANT when I was going through a difficult time & it helped me get through it. When u hear it, pay attention 2 the lyrics #WIN.”
Of course, MC is no stranger to hip-hop collaborations, counting the star-studded likes of Diddy, Ma$e, Jadakiss, Snoop Dogg and Cam’ron as just some of her many featured rap guests over the years as part of her illustrious career.
Mariah Carey
   
The news of Mariah Carey featuring Rozay and Meek on her comeback single should only signal a summer that keeps sizzling for the MMG camp.
Having already dropped their MMG Self Made, Vol. 2 collaborative album last month, Rozay’s highly-anticipated album, God Forgives, I Don’t is slated for a July 31 release. Then, Meek’s long-awaited Dreams and Nightmares debut LP is scheduled to be MMG’s summer closer due on August 28.
This collabo explains a picture of Ross and Mariah that surfaced on the net back in April.
Yeah...We are Waiting Mariah...especially Black Touchez Inc

Mtoto Wa Kambo wa Usher Rymond Afariki Dunia

12:53:00 AM Add Comment
Marehemu Kyle Glover na Mama yake Mzazi Tameka Foster (mke Wa Usher)
Mtoto wa Kambo wa Usher Rymond, Marehemu Kyle Glover
Kyle Glover, son of Tameka Foster and beloved stepson of Usher, passed away on Saturday morning. The 11-year-old suffered critical brain injuries following a tragic Jet Ski accident in Georgia on July 8, and had been on life support since.



  reports that the decision to remove Kyle from life support came after doctor's determined his injuries were too severe to overcome. According to sources, Foster struggled tremendously with the decision and is devastated at her son's passing. 



Glover was injured while riding in an inner tube on Lake Lanier, just outside of Atlanta, when he was hit by the Jet Ski. Another child, a female friend of Kyle's, was also on the inner tube at the time of the accident, but she managed to escape with minor injuries.

Authorities are investigating the accident, but it has been confirmed that a friend of the family was riding the Jet Ski at the time of the tragedy. No arrests have been made and it is not being treated as a criminal investigation at this time.

Usher has supported his estranged wife throughout this difficult time, and chartered a plane for Tameka to rush to her son's side as soon as she heard of the accident.

"Usher practically raised Kyle as his own. He's known him for seven years," a source said recently. "He loved Kyle. This is a terrible, awful tragedy. Usher is torn up."

Our thoughts and prayers go out to Tameka, Usher and the rest of the family at this difficult time.

Assad Achi Madaraka- JUMUIYA YA CHI ZA KIARABU.

12:27:00 AM Add Comment
Nchi za kiarabu zimemtolea wito rais wa Syria Bashar al-Assad kuachia madaraka mara moja ili kumaliza mgogoro wenye umwagaji damu ambao unaendelea nchini mwake.

 Akizungumza muda mchache uliopita baada ya mkutano wa mawaziri wa Jumuiya ya Nchi za Kiarabu mjini Doha, Qatar, waziri mkuu wa nchi hiyo Sheikh Hamad bin Khalifa al-Thani, amesema mkutano huo unamtaka Assad kuchukua kile alichokiita uamuzi wa kishujaa ili kuinusuru Syria na umwagaji damu zaidi. Sheikh Hamad amesema kwamba Jumuiya ya Nchi za Kiarabu imewataka waasi wanaojulikana kama jeshi huru la Syria kuunda serikali ya Umoja wa kitaifa, na kupendekeza kumpa mpatanishi wa kimataifa katika mgogoro wa Syria Kofi Annan, jukumu la kutunga sera ya serikali hiyo. 
Rais Wa Syiria Bashar Al Asad

Hayo yanaarifiwa wakati nchini Syria kwenyewe mapigano makali yakiendelea kati ya jeshi la serikali na waasi, ambapo watu zaidi ya 120 waliripotiwa kuuawa jana Jumapili. Mkutano wa Doha pia umeahidi msaada wa nchi za kiarabu wa dola milioni 100 kusaidia wakimbizi wa Syria.
Baadhi Ya Mauaji yanayofanyika Syria

MNADA BANNER