REPIN ROCK CITY

REPIN ROCK CITY

TUMA TRACK YAKO

TOKA HAPA !!!: BABA MZAZI WA DRAKE AMTOLEA UVIVU MTANGAZAJI WENDY WILLIAMS

2:44:00 AM Add Comment

Na Rich Sam  
WATU WA MUNGU mambo yameanza kuwa mabaya katika Beef lililopo baina ya Rapper Drake pamoja na Rapper Pusha T ambao wamekuwa wakirushiana madongo makali kupitia diss songs zao, kitu ambacho kimeanza kuingia mpaka katika masuala ya kifamilia

Sasa ukiachilia mbali Uhasama unaoendelea baina ya Drake na Pusha T, Mtangazaji wa Wendy Williams ambaye anaendesha kipindi cha THE WENDY WILLIAMS huko Nchini Marekani, amejikuta akiitwa "KAHABA WA KUTUPWA na Baba mzazi wa Drake, Mzee DENNIS GRAHAM baada ya kumgusa mwanae pabaya

Kilichokwaza zaidi, ni baada ya Mtangazaji huyo kumhusisha Rihanna ambaye ni Ex wa Drake kwa madai kuwa, kwa sababu Drake amepata mtoto na Mchezo utupu, basi Rihanna amepona pona kupata majanga mengi maana Drake anaonekana kuwa mchezea mabinti na hata familia yake kiujumla (Baba Yake)

Mzee huyu ambaye anampenda mwanaye, aliingia instagramna kuandika hivi:
"Nimefuatilia Kipindi cha Wendy Willliam, na kuna kitu kimenigusa ndani yangu. Ishu iko hivi, ni Taarifa ambayo inaelimisha na kugusa sana pale atangazaji wanakuwa wameifanyia utafiti na hata kuipeleka moja kwa moja kwa watu wanaoipokea. Lakini huyu KAHABA WA KUTUPWA ambaye pia ni Malkia wa ubaguzi wa Rangi, amevuka mipaka yake. Hujui lolote kuhusu Drake au Mimi. Fanya utafiti wako kabla hujapeleka masihala kwa watazamaji wako wenye idady ya 79. Chunga mdomo wako namna unapolinadi jina lako. Nimekudharau kuanzia leo"


MIRROR: NILIPATA AJALI..SOON NITAREJEA

2:19:00 AM Add Comment

Na Rich Sam : SOURCE: MTANZANIA DIGITAL
KAMA mtakuwa mnakumbu kumbu nzuri sana, Ninaamini Ikipigwa track ya ONE AND ONLY ya msanii Mirror, haraka haraka utakumbuka kuwa track hii iliwahi kupendwa haswa na hata leo, ni kumbu kumbu nzuri kwa msanii mwenyewe katika Maktaba yake ya Muziki

Kupitia Track Hiyo, Msanii Mirror alilamba dodo la kumwaga wino katika management ya ENDLESS FAME ambayo iko chini ya Malkia wa Filamu nchini Tanzania, WEMA SEPETU, huku akipewa nafasi nyingi tu za shows na hata kuandaa tracks kadha wa kadha chini ya management hiyo

Lakini baada ya muda, ilikuja kubainika kuwa, Mirror hafanyi vizuri tena katika tracks zilizofuatia, sambamba na kufuatiwa kwa info kuwa msanii huyo hayuko vizuri na Wema Sepetu pamoja na Petit Man kimahusino, hali ambayo ilimlzimu akae kando na soko la muziki kwa muda Mrefu.

Lakini katika ufafanuzi wake juu ya ukimya ambao umetawala kwake, Mirro amedai kuwa Ajali ndiyo ilimfanya awe kimya kwa asilimia kubwa lakini hivi sasa, anatarajia kurejea soon katika game, hivyo watu wajiandae

Kuhusu mahusiano yake na Wema Sepetu pamoja na Petiti Man, Mirror alisema kuwa hakuna tatizo lolote baina yao maana wao ni kama familia moja na wanashauriana vitu mbali mbali, lakini hayuko tena ENDLESS FAME, na mambo yakiwa sawa, tutaifahamu management yake mpya

MSIKILIZE

TIN WHITE : "RICH MAVOKO HUWA NI MDOGO WANGU WA MWISHO, ILA HUWA SITAKI KUZUNGUMZIA...."

1:51:00 AM Add Comment

Na Hezron Munisi :SOURCE : GLOBAL PUBLISHERS 
KWA Kitabia cha familia nyingi sana Nchini Tanzania, pale inapobainika kuwa mmoja kati ya wanafamilia au wawili au watatu kati ya wanafamilia ni watu Maarufu katika nyanja yoyote ile, basi wengine hata kama ni ndugu wa mbali, basi hutumia nafasi hiyo kutafuta ujiko ama kutamani na wao wawe maarufu kama ndugu zao

Hata pasipo kutaja ni akina nani, wengi tumeshawaona na tayari husafiria nyota za nduu zao hao ili kutusua kimaisha na hata kiumaarufu
RICH MAVOKO

Lakini hii imekuwa tofauti kidogo kwa Familia ama ndugu hawa ambao kiujumla hata iweje, ni wengi ambao hawafahamu kabisa kama kuna vichwa viwili ambavyo vipo katika tasnia ya burudani na vina majina ila ni ngumu kuwasikia ama kuwaona sehemu wakionesha kama ni ndugu

Hapa tunamzungumzia Muigizaji na mchrekeshaji TINNY WHITE ambaye sio kawaida yake kuzungumza hadharani, kuonesha ama kuonekana na mdogo wake kabisa wa damu, RICH MAVOKO ambaye ana jina kubwa pia katika Familia ya muziki wa Bongo Flava.
MCHEKESHAJI TIN WHITE (KUSHOTO) AKIWA NA MAREHEMU GIFT AMBAYE NI DADA YAO (KULIA)

Kupitia msiba wa Dada Yao ambaye anaitwa GIFT, Tinny White na Rich Mavoko  walikuwa katika eneo la tukio kama familia, na hapo ndipo baadhi ya wengi walifahamu kuwa Wawili hao ni Mtu na Mdogo wake

Kwa Mujibu wa Tinny White ambaye ana vituko sana, Katika familia yao ambayo inajumuisha watoto WATANO akiwemo Marehemu  Dada yao, Rich Mavoko ni mtoto wa Mwisho na huwa hawapendi sana kuzungumzia undugu wao maana kuna wengine huwa haewaamini.

Msikilize

MAY 31 : WORLD NO TOBACCO DAY

1:03:00 AM Add Comment

By Baba Juti 
We see it every day, people standing outside in the rain huddled over a burning stick of foul tobacco. 

The stench gets into their clothes, stains their teeth, and permeates the air around them. Every moment of every day is spent waiting for that next nicotine break, their obsession and taste for disgusting habits only being eclipsed by those who insist that coffee is a beverage. No Tobacco Day is dedicated to those who are determined to leave this foul substance behind them, and encourage others to do so as well.

History of No Tobacco Day  

No Tobacco Day was established with the goal of raising awareness of the dangers of this habit, and the thousands of lives it costs every year. Tobacco used to be considered an innocuous little treat for the civilized man, and even went so far as to be touted as healthy by business and (doubtless) paid off doctors to help promote it for use.

 A hundred years and millions of deaths later it’s become undeniable that tobacco use is one of the primary killers of people all over the world.

So if you’re one of the millions of people who light up a cigarette, step out for a cancer stick, or have a smoke, then let No Tobacco Day be your chance for a freer, healthier future. The average smoker spends around $4000 a year on cigarettes, imagine what you could do with that kind of money! That’s enough for a nice cruise in the Caribbean, a powerful new gaming computer, or an entire wardrobe of amazing clothes! No Tobbaco Day can be your step towards economic freedom as well!

How to Celebrate No Tobacco Day   

Start off by setting aside your cigarettes, and starting the day out with a fresh new perspective that’s tobacco free. Ok, we know that isn’t realistic, so at least start No Tobacco Day by counting the number of cigarettes you smoke in a day, and setting yourself a goal for a gradual reduction in cigarettes until you’re absolutely tobacco free on the next No Tobacco Day! Over the following year you’ll start to feel healthier, have more energy, get sick less, and have more money in your pocket! Wouldn’t that be the greatest celebration ever?
Consider it a first step to kicking that nasty tobacco habit.

MNADA BANNER