REPIN ROCK CITY

REPIN ROCK CITY

TUMA TRACK YAKO

NIMEKULETEA TWEET AMBAZO ZIMEPATIKANA KATIKA ACCOUNT YA PETER OKOYE WA P SQUARE, KUHUSU KUMFUKUZA KAZI MENEJA WAO, AMBAYE PIA NI KAKA YAO-JUDE OKOYE

1:27:00 AM Add Comment
PETER OKOYE
Na Baba Juti
ACCOUNT ya PETER OKOYE, Moja kati ya Members wa P Square, jana Ilijaa Tweets Nyingi ambazo zinaonekana kumpinga Kaka Yao, JUDE OKOYE, kuendelea kuwa Meneja Wao.

Tweet Hizo ambazo zimeanza kupostiwa February 16, zinalenga Pia kutahadharisha watu kutokufanya Kazi hasa Maombi ya Show, kupitia kwa Meneja Wao Jude, ambaye amekuwa akiwasimamia tangia Kundi hilo linaanza kupata Umaarufu.
PETER OKOYE & PAUL OKOYE (P SQUARE)

Katika Tweet Hizo, Peter amedai, Yeye Binafsi hana Matatizo na PAUL (pacha Wake), bali ana Tatizo na Management , ambayo moja kwa moja inamgusa JUDE OKOYE.

Inagawa kumekuwa na Mashaka kuwa, anayeandika hayo Yote sio Peter, labda account Hiyo Imekuwa Hacked, bado Tweet zimezidi kumiminika na kuonya kuwa, yeyote atakayefanya Malipo na JUDE OKOYE kwa niaba ya P Square hasa Katika Malipo ya Show, basi Imekula kwake, maana hawatahusika.
JUDE ENGEES OKOYE (Meneja wa P SQUARE)

Mpaka Hivi sasa, Sip PAUL OKOYE wala Sio JUDE ENGEES OKOYE ambaye ametoa kauli Kuhusu Hili. Tutazidi kukupa Updates.
Soma Tweet Hizo

NEW VIDEO: MIRROR FEAT BARAKAH DA PRINCE- NAOGOPA

12:26:00 AM Add Comment

Na Baba Juti
UNAWEZA ukawa ni Mwaka  Mpya kwa Mirror aambaye ameachia Video yake Mpya ambayo inafahamika kwa Jina la NAOGOPA akiwa amemshirikisha Baraka Da Prince

Mirror ambaye Yuko Chini ya ENDLESS FAME, amerecord audio ya NAOGOPA katika Studio za MJ RECORDS, na Video imefanywa na KWETU STUDIO. Enjoy Mzigo !!!!

MNADA BANNER