REPIN ROCK CITY

REPIN ROCK CITY

TUMA TRACK YAKO

VITU ALIVYONUNUA VINAPOPIGWA MNADA, BAADA YA MANISPAA KUTUMA FEDHA BAHATI MBAYA KATIKA ACCOUNT YAKE YA BENKI.

12:24:00 PM Add Comment



MWANAMKE mmoja amejikuta akipoteza vitu vyake vya thamani baada ya Jeshi la Polisi na Manispaa kuamua kuvipiga Bei ili kurejesha Fidia ambayo Ilitumika kununulia Vifaa Hivyo

Mwanamke huyo  MICHAELA HUTCHINGS (23) ambaye pia ni mama wa Mtoto mmoja, alitumiwa kwa bahati mbaya, kiasi cha EURO 52,000 na Manispaa LICHFIELD katika account yake.


Aidha taarifa na vielelezo vinaonesha kuwa, baada ya Kupokea Mkwanja Huo, Michaela alijikuta akishauriwa na Boyfriend wake ambaye hivi sasa ni EX wake, kuwa anunue baadhi ya Vitu , na hatimaye kukubali na kununua vitu kadhaa kutoka katika makambpuni makubwa na yanayotengeneza mavazi na vitu vingine nyenye ghalama kubwa, ikiwemo GUCCI, DIOR, LOUIS VUITTON na RALPH LAUREN

Sasa, hatua ambayo imefikiwa na manispaa hiyo, ni Kupiga Mnada Vitu hivyo Vyenye thamani ya EURO 51,821 ambavyo alivipata kutokana na Pesa Hiyo






HIVI NA WEWE HUWA UNAOTA NDOTO, BASI UKO VIZURI KATIKA KUTATUA MATATIZO.

12:14:00 PM Add Comment




WANASAYANSI kutoka katika Chuo cha Lincoln Nchini Uingereza, wamekamilisha uchunguzi wao na kudai kuwa, kama mara nyingi huwa unaota Ndoto zenye Ugumu Fulani, basi Uko vizuri katika kutatua matatizo mbali mbali…

Tofauti na hilo wanasasayansi hao ambao wamekuwa wakifanya utafiti kwa muda Mrefu sasa, wamedai kuwa mwaka 2010, walfanikiwa kupata FILM INCEPTION ambayo ilikuwa ikionesha ndoto za watu kadhaa pamoja na Shughuli walizokuwa wakizifanya, hali iliyoonesha kabisa kuendana na Ndoto zao.

Aidha, wanasayansi hao wameongeza kuwa, sio kutatua matatizo tu Pekee, bali hata kuwa na Upeo wa kuona Mbali katika Shughuli zinazofanyika hasa katika maisha yao

MNADA BANNER