REPIN ROCK CITY

REPIN ROCK CITY

TUMA TRACK YAKO

NEW VIDEO: MABESTE FEAT. PETER MSECHU- NISHAURI (Directed By Lissa)- VERRY HOT

11:12:00 PM Add Comment

RIHANNA IS BACK ON INSTAGRAM

5:27:00 AM Add Comment

NEW YORK, Marekani
WEWE, ni suppa rafiki wa “Bad Girl” Robin “rihanna” Fentty?, good news kwako ni kwamba account yake ya Instagram ambayo ilikuwa imefungiwa kwa muda mrefu sasa imerejeshwa rasmi.

Mapema Mwaka huu, Account hiyo ya Instagram “@badgalriri”, ilipigwa “Kufuli “ zito kama siop kufungiwa, ikiwa ni baada ya Kushare Picha zake za Nusu utupu, ambazo zilikuwa ni maalum kwa jarida la LUI
Sasa, kwa Mzuka wa hali ya juu, mapema Leo TTM tumeweza kubaini kuwa, Rihanna amepost  picha katika Account hiyo iliyokuwa imefungiwa huku akiandika “HELLURR #BADGALBACK.

Hiyo ni Post ya kwanza kabisa Tangia Rihanna apost kitu cha Mwisho kabisa mnamo MAY 3, 2014.

·        Kwa Taarifa Yako
Kama wewe ni Mtumiaji Mzuri sana wa instagram, ama unahitaji kujiunga na mtandao wa Instagram, Rihanna alifungiwa kwa sababu ya picha za Utupu, ama Nusu utupu, na hilo ni kosa kubwa sana, ambalo Instagram na utawala wake, hawawezi kukuvumilia.


Tafadhali, kuwa makini sana na utumiaji wa Instagram, Vigezo na masharti vinazingatiwa Kudadadeki

MNADA BANNER