REPIN ROCK CITY

REPIN ROCK CITY

TUMA TRACK YAKO

RACES TO VALENTINE : DRAKE AMESHAMKAMATA MTOTO WA ALIYEKUWA BONDIA BALAAMOHAMED ALI, TATYANA WA DAY DREAMING

8:22:00 AM Add Comment


INASIKITISHA : WATU WATANO WAFARIKI DUNIA, NA 130 KUJERUHIWA KATIKA AJALI YA LORI JIJINI MBEYA

7:22:00 AM Add Comment



Majeruhi wakipatiwa Huduma ya Kwanza baada ya Ajali



 Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Mheshimiwa Abbas Kandopro akiwafariji Majeruhi wa Ajali Hiyo




 Mheshimiwa Kandoro akichukua Maelezo kutoka kwa Mmoja wa Majeruhi


 Majeruhi wakipatiwa Huduma ya Kwanza


 Mheshimiwa kandoro akizungumza na Waandishi wa habari


 Damu zilivyotapakaa katika Eneo la Ajali

 Lori lilikuwa limewabeba Majeruhi na Marehemu katika Ajali hiyo mapema hii leo


 Eneo la Ajali




Majeruhi wakiwa katika maumivu  ya Ajali hiyo

WATU watano wamepoteza maisha na wengine 130 wamejuruhiwa vibaya  huku hali zao zikiwa mbaya baada ya Lori walilokuwa wakisafiria shambani kuacha njia na kupinduka katika kijiji cha  Mapogolo kata ya Itamboleo  Wilayani Mbarali Mkoani hapa.
Ajali hiyo imetokea leo saa 1:30 asubuhi ambapo lori hilo  ambalo ni mali ya Mwekezaji
wa shamba la Kapunga Rice Project, na kwamba watu hao walikuwa wakielekea kwenye shamba la mwekezaji huyo lililkuwa limebeba vibarua hao zaidi ya 200 ambao ni wakazi kitongoji cha  Kapunga.

 Lori hilo lenye namba za uasjili T398 BSE Scania Tipa, ambalo lilikuwa likiendeshwa 
na dereva aliyejulikana kwa jina  Baraka Moreli, lilionekana likiwa katika mwendo kasi na   dereva huyo akiwa na lengo la kutaka kuipita pikipiki  iliyokuwa mbele yake. huku akishangiliwa na vibarua hao ipite ipite hiyo pikipiki haiwezi kutushinda sisi gari kubwa moja ya majeruhi alisema. ndipo walipofika kwenye kona dereva lilimshinda gari hilo na kupinduka
Akiwa Hospitalini hapo Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Abbas Kandoro ambaye aliweza kufika hospitalini hapo alisema kuwa mara baada ya kupata taarifa ya ajali hiyo kutoka kwa Mkuu wa Wilaya ya ,Mbarali Gullam Hussein Kiffuu, huku akiombwa kupatiwa msaada wa kuongezewa madaktari, kuongezewa vifaa vya mataibu sambamba na uwezekano wa kupata damu kwa ajili ya kuwaongezea majeruhi hao alifanikiwa kuwasiliana na uongozi wa hospitali ya Rufaa ya Mbeya, hospitali ya Mkoa ili kuweza kuona namna ya kwenda kuokoa maisha watanzania hao.
Kandoro, alisema kuwa  katika ajali hiyo wanaume wanne wamefariki na mwanamke mmoja. watatu wametambuliwa
Samweli Mapugilo mbena 30 mkazi wa Ilembula
Bon Mfupa 27 mkazi wa mapogolo na Edgar Mwakipesile 35 mkazi wa Nonde Mbeya
   Aidha, Kandoro alisema kuwa idadi ya majeruhi katika  ajali hiyo kuwa ni 130 ambapo wanawake ni 40 na wanaume 89 huku idadi ya watoto waliokuwa wameongozana na wazazi wao haikuweza kufahamika kwa haraka.

 NA MBEYA YETU.

PICHA : POLENI SANA

6:56:00 AM Add Comment
 Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akimfariji Abiria Juma Ali Jaku wa Jahazi ya Sun Rise iliyopata ajali na kuzama  kati ya Tanga na Mkokotoni ikiwa imebeba Abiria 32 kati ya hao 21 wameokolewa na saba hadi sasa hawajapatikana. Kushoto ya Balozi Seif ni Mkewe Mama Asha Suleiman Iddi na Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Unguja Mh. Pemba Juma Khamis.


Nahodha wa Jahazi ya Sun Rise iliyozama kati ya Tanga na Mkokotoni Bwana Abdulla Saleh akimuelezea Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi mkasa uliowapata wa kuzama baada ya chombo chao kupatwa na dhoruba kali.

PICHA KWA HISANI YA MOHAMMED DEWJI

POWER JAMS..LIKE OUR PAGE..AND GET THE CHANCE TO ENJOY THE FRIDAY WITH US LIVE ...

6:51:00 AM Add Comment


 Shabiki wa Power Jams ya East Africa Radio Lilian Joseph (Kushoto) na Msanii Peter Msechu wakiwa katika Friday Freestyle ya kipindi hicho


The Hot Female Presenter in Bongo, Anner Peter (Katikati), anayeungurumisha Package za Power Jam na Sam Misago, wakiwa Katika Poz na Mashabiki wa Show yao Leo

 Mashabiki wa Power Jams wakiwa na Wasnii wa Bongo Flava katika Pouz


Anner Peter akiwa na Wasanii wa Bongo Flava (KUTOKA KULIA) Queen Darleen, Petyer Msechu, Diamond Platnumz na Mwasiti

 Mwasiti na Barnaba

 Yusuph Salum na Lilian Joseph katika Pouz

KUTOKA KUSHOTO- Queen Darleen, Peter Msechu, Mwasiti Almas na Diamond Platnum

PICHA ZOTE NA BARNABA (EAST AFRCA RADIO)

VODACOM WAMEFANYA YAO KAMA KAWAIDA

6:11:00 AM Add Comment
 Mwakilishi miongoni mwa wa wafanyakazi wa idara ya uwezeshaji huduma ya mtandao wa Vodacom Tanzania, Precious Huggins , akizungumza kwa niaba ya wenzake wakati wa hafla ya kukabidhi michango yao ya vifaa mbalimbali kupitia kampeni ya Pamoja na Vodacom, vikiwemo vyandarua , vifaa vya ujenzi, vyakula na vinginevyo vyote vikiwa na thamani ya takribani sh milioni 4 kwenye kituo cha kulea watoto wanaoishi katika mazingira magumu cha Mwandaliwa kilichopo Bunju nje kidogo ya jiji la Dar es Salaam


SHHH: TUNAZUNGUMZA

6:03:00 AM Add Comment

Jaji Mkuu Visiwani Zanzibar Omar Othman Makungu akizungumza na Waandhishi wa Habari Visiwani Zanzibar masuala mbalimbali ya Mahakama, katika Ofisi  yake iliyokio Vuga Mjini Zanzibar.

                                      PICHA NA YUSSUF SIMAI-MAELEZO ZANZIBAR.

MNADA BANNER