REPIN ROCK CITY

REPIN ROCK CITY

TUMA TRACK YAKO

SIFUTI KAULI !!! : BABA YAKE BEYONCE AMESEMA ANA USHAHIDI KUWA KAMA BEYONCE ANGEKUWA NA NGOZI NYEUSI (DARK SKIN) ASINGETOBOA KWENYE GAME

1:49:00 AM Add Comment

Na Hezron Munis  
#WatuWaMungu sijui kama mnakubaliana na hili jambo lakini kama ni mfuatiliaji Mzuri wa Maisha ya Watu wote katika mataifa mbali mbali hapa  Duniani, utakuwa unafahamu vizuri hiki ambacho kinalalamikiwa na baba yake Beyonce

Mzee Mathew Knowles ambaye hivi sasa ni Proffessor wa chuo cha TEXAS SOUTHER Nchini Marekani, awali alikaririwa akisema kuwa, Kama Beyonce ambaye ni mtoto wake angekuwa na NGOZI Nyeusi yaani DARK SKIN, basi asingetoboa katika Level aliyo nayo sasa hivi

Kauli ya Mathew Knowles ilikuwa ikimaanisha kuwa, katika Platfom ya Muziki Nchini Marekani kuanzia baadhi ya Radio na Music Labels, kumekuwa na ubaguzi wa Rangi kiasi kwamba wenye Ngozi Nyeusi hawawezi kupewa Support

Katika kauli hiyo aliongeza kuwa, Radio Nyingi zinzopiga Pop, zimekuwa zikideal na kuwafanya wenye Ngzi nyeupe watoboe, na sio wengine.

Baada ya kauli hiyo kuzagaa, baadhi ya watu walianza kumkosoa Mzee huyu wakisema kuwa kauli yake inalenga kuchonganisha Wasanii Weusi na Wadau wa Muziki Nchini humo, lakini mapema siku ya jana, Mzee Mathew alidai kuwa kamwe, hatokubaliana na wadau ha

Mathew aliongeza kuwa, ana ushuhuda wa Vitu vingi sana ukizingatia kuwa ameshakuwa katika Industry kwa Muda Mrefu, hivyo watu wasijitetee

#InstaCop : "USINUNUE CD AMBAYO HAINA STICKER YA TRA"-VANESSA MDEE

12:48:00 AM Add Comment

Na INSTACOP-Lady Menah  
WATANZANIA wanaendelea kuonesha Support ya dhati kwa jitihada za "Binti Pesa" Vanessa Mdee a.k.a "Vee Money" hasa katika Ununuzi wa album yake ya MONEY MONDAYS, kitu ambacho hawezi kuacha kujivunia siku zote

Mapema Leo Hii, Vanessa amewashukuru watanzania kwa sababu ndani ya Mwezi mmoja ameuza Nakala zaidi ya 4000 kitu ambacho kibongo  bongo kwa hivi sasa, sio rahisi kufanyika sana, na bado anaendelea kuzichanga pesa zake hasa kwa kuwasogezea karibu mashabiki wake

Vanessa Mdee ambaye hivi sasa yuko Visiwani Zanzibar kwa ajili ya Biashara yake hiyo ya Album yake huku akiwa na malengo ya kuuza mpaka Nakala 10,000 kabla mezi haujaisha, amewapa angalizo mashabiki wake ambao wananunua album yake kuwa, wasinunue CD ambazo hazina STIKER ya TRA

Kwa mantiki yake, ni kwamba, usiingizwe chaka kwa kununua CD ambayo ni FEKI ama Haijahalalishwa na VANESSA MDEE kwa kushirikiana na Mamlaka ya Mapato Nchini (TRA)

Tunamnukuu   
"Namshukuru Mungu tumeshauza nakala zaidi ya elfu nne za CD ya #MoneyMondaysTheAlbum kwa sasa tupo Zanzibar kuendelea na mauzo. Asanteni Sana kwa support yenu. Let’s get to 10,000 copies in less than a month. Usinunue CD ya #moneymondays isiyokuwa na sticker ya TRA."

IMEFICHUKA !!! : LUPITA NYONG'O KAANGUKIA KWA MUIGIZAJI MWENZAKE?

12:33:00 AM Add Comment

Na Rich Sam  
#WatuWaMungu kuna fununu ambazo zinaaminika kuwa Muigizaji Kutoka Hollywood ambaye asili yake ni Nchini Kenya, LUPITA NYONG'O amekuwa akitinduana na muigizaji mwenzake wa kiume kutoka huko huko Hollywood kwa muda sasa.

Waungwana ambao wanajua kuzifukunyua wanadai kuwa, Lupita na Michael B. Jordan ambao wote wamehusika katika Movie ya BLACK PANTHER wamekuwa katika mahusiano ya kimapenzi kwa Siri sana, na kwa hivi sasa taratiibu wanaanza kuonesha dalili za uwepo wa mahaba yao

Kwa mujibu wa Watu wao wa Karibu, wamedai kuwa Michael B. Jordan amekuwa na hisia za kimapenzi juu ya Lupita Tangu zamani tu, lakini kumekuwa na Usiri wa Ukaribu wa wawili hao maana mambo yao kama hawataki yafahamike

Katika kukazia zaidi, mmoja wa marafiki wa Lupita alidai kuwa, hata kufanikiwa katika Scenes zilizowahusisha wawili hao, ni kwa sababu wapo katika Mahusiano ya kimapenzi

Tunanukuu  
"Vipande vingi vilifanikiwa kwa sababu kila mmoja ana hisia za kimahaba na mwenzake. Na pia inaonesha wanapendana kwa dhati sana, ingawa ni kweli wawili hao wameamua kufanya siri kubwa, lakini hisia zao zinaanza kuonekana hadharani taratibu"

DAKA HII FASTA: MASHABIKI WA AMBER LULU KUNA HILI KWA AJILI YENU !!!!

12:16:00 AM Add Comment

Na INSTACOP- Lady Menah 
TUNAFAHAMU vema kabisa kuwa wasanii wengi nchini Tanzania safari hii wameamua kujitanua kimataifa zaidi ili kuweza kuukuza Muziki wao na kuhakikisha unaenea maeneo yote hasa kimataifa

Ingawa awali, wengi walilkuwa hawana upeo wakufanikisha hilo, ingawa wachache tayari walikuwa wameshaanza kuonesha jitihada za kujitangaza kimataifa na kuzieneza kazi zao kimataifa

Baada ya kuona wasanii kadhaa kutoka Nchini Tanzania wakianza kuuza kazi zao kwa njia ya mtandao, mfano Diamond Platnumz, AY, Mwana Fa, Vanessa Mdee, na wengineo, hatimaye Mwingine ambaye wengi hawakutarajia kama angefanya hivyo, naye tayari amejitokeza.

AMBER LULU, wengi tulimfahamu kama Video Vixen, Socialite na hatimaye kuingia Rasmi katika Muziki wa kizazi kipya, na hivi sasa ameamua kuonesha "u-serious" katika hilo na kuamua kupeleka kazi zake katika mtandao mkubwa kimataifa-I TUNE

Bibie huyo ambaye ni hitmaker wa Mkwaju wa WATAKOMA, ametoa tamko rasmi kuwa kazi zake zote hivi sasa, zitakuwa zikipatikana "iTune" kwa hiyo wale mashabiki wake nyote, mnaweza kuhamia huko hivi sasa

 Tunamnukuu  
"Rasmi kazi zangu zote utazipata Itunes .Fans go enjoy good music"

08TH FEBRUARY 2018: LAUGH AND GET RICH DAY

12:05:00 AM 1 Comment

DAYS OF THE YEAR  
Oh good, you’re laughing already! I know you think that it is a silly excuse to have a holiday but think about it! Laughing helps in everything. It even helps in tediously dry and boring moments. Don’t tell me you haven’t had the rogue giggle attack in a moment of seriousness! Have you ever had to excuse yourself just to leave the room before that giggle attack takes over? Heaven help you if your friend is in the room. You do know that a friend in close proximity increases the potency of those giggles, right?

History of Laugh and Get Rich Day
The creation of Laugh and Get Rich Day had only your best interest at heart. The day is about encouraging laughter so that the effects can be felt across all areas of life. Science has proven that laughter actually can be medicine. Those who are in pain or suffering from chronic illness can increase the production of endorphins. When the body releases endorphins the result is a lift in mood and a decrease in pain. This is the basis for what might be accomplished on Laugh and Get Rich Day
.
How to Celebrate Laugh and Get Rich Day
Is the pace and stress of life getting you down? Feeling like there isn’t time left in the day to get all of the things on your to-do list done? You are not alone! Take a moment, you can do it, and see how to celebrate Laugh and Get Rich Day. Just a chuckle isn’t going to cut it, for this holiday we need that deep laugh to come out. What can make you laugh so hard you get tears in your eyes? Plan a date and hit your local comedy club with your friends. Strengthen your friendship and make some memories while letting laughter lift your spirits! When you are happy and full of laughter you are able to handle your life better and stresses in it. When your job, schedule or family begin to add to the demands on your time you will be able to see how to make it all work with ease. How does this relate to Laugh and Get Rich Day? Well, that is very simple.

When you are laughing, you are more creative. When you are more creative you can think of ideas and ways to help you be more productive at work. This makes you a more valuable asset to your employer and could earn you a raise! If you are especially creative, being happy and healthy might even lead you to the birth of a unique idea that you could follow all the way to the bank! Find that one idea that can start to make a name for yourself. Just by celebrating Laugh and Get Rich Day, you might be able to do exactly just that! Take your idea, your increased productivity and you’re less stressed out mind and body and Laugh and Get Rich!

MNADA BANNER