REPIN ROCK CITY

REPIN ROCK CITY

TUMA TRACK YAKO

TUESDAY MKWAJU: GYPSUM FT. SADIM MAVOICE- KIDANADANA

5:54:00 AM Add Comment

Na Baba Juti  
WATU WA MUNGU kutoka Rock City Mwnza, upcoming Artist anayeitwa GYPSUM ameruhusu tuishushe Track hii kwako

Track inaitwa KIDANA DANA na amemshirikisha SADIM MAVOICE, wakati Production ikiwa ni ya H-POL (Pango Records)

Isikilize hapa na Kudownload

UTAFITI : MTU ANAYEPATA "VIPELE-HISIA" WAKATI ANASIKILIZA MUZIKI, BASI NI WA PEKEE SANA

4:36:00 AM Add Comment

Na Baba Juti   
KWA Mujibu wa Uchunguzi , ni kwamba binadamu ama mtu yeyote anayesikiliza muziki mpaka kupatwa na "Vipele-Hisia" kitaalamu "goosebumps" basi wewe ni mtu "special" sana.

Awali zilitolewa taarifa hizi na Chuo cha HARVARD huko Uingereza na kusema kuwa, Binadamu yeyote ambaye anapata "Vipele-Hisia" wakati anasikiliza Muziki, basi ubongo wake uko na namna ya pekee sana

MATTHEW SACHS ambaye ni mmoja wa wahusika katika Uchunguzi huo, amedai kuwa, hatua hiyo huashiria uhai wa Hisia ambazo moja kwa moja kuna mahusaino chanya na hai baina yake na Ubongo wa Binadamu yeyote.


HII NI KUTOKA KWA ED SHERAN

3:29:00 AM Add Comment

Na Baba Juti
Waungwana bwanaaaaa!!!! ajali ya Baiskeli na Gari iliyomkuta msanii kutoka Nchini Uingereza, ED SHERAN, imemfanya asitishe baadhi ya shows alizotakiwa kuzifanya katika Tour Yake.

Kama ulikuwa hufahamu, Siku ya Jana Taarifa zilianza kuzagaa kuwa hitmaker huyo wa SHAPE OF YOU alipata ajali ya Gari alipokuwa akiendesha Baiskeli huko Jijini London

Katika ajali Hiyo, Ed Sheran alijeruhiwa katika Mkono wake wa kulia hali ambayo ilimlazimu kukiri kuwa kuna uwezekano ajali hiyo na maumivu aliyo nayo kwa hivi sasa, utamfanya asitishe baadhi ya Shows ambazo zilikuwa Mbele yake

Kupitia Instagram account yake, Ed aliandika hivi
"Nimepata ajali ya Baiskeli na hivi sasa ninasubiri ushauri wa Kimatibabu, ambao unaweza kuathiri Show zangu zitakazofuatia"

Wawakilishi wa Ed S=herani walidai kuwa

JIBU LA NANDY KWA RAY C: " HESHIMA YANGU KWAKO KIMUZIKI ITABAKI SIKU ZOTE..... !

1:01:00 AM Add Comment

Na Baba Juti  
BAADA ya Ray C kutoa Tamko lake Rasmi kwa Nandy na Wasanii wengine kuwa hapendi "unafiki" hasa wa Kuimba Nyimbo zake katika Majukwaa mbali mbali amabyo wanayatumia kufanmya Show, Hatimaye Nandy Mwenyewe kaamua kushusha yake ya Moyoni kuhus kauli ya Ray C

Kupitia Instagram account Yake, Nandy alipost Picha ya Ray C na kuandika kuwa heshima yake kwa Ray C katika Muziki bado itabaki siku zote ukilinganisha kuwa yeye ni mmoja kati ya wasanii ambao walifungua Njia kwa wasanii wengine akliwemo Nandy mwenyewe

Katika kukazia Zaidi, Nandy alidai kuwa kile ambacho anakifanya, hukifanya kwa Moyo mmoja na mapenzi ya dhati kama ambavyo Ray C mwenyewe alirudia Nyimbo za Wasanii Wengine wakongwe ambao pia walifanya kazi nzuri kipindi cha Nyuma

RAY C: "JAMANI HII TABIA SIO NZURI !!..SIJAFA BADO !!!

12:50:00 AM Add Comment

Na Baba Juti  
WAUNGWANA, Mwanamama na Mkongwe katika Muziki wa Kizazi kipya hapa Nchini Tanzania, RAY C, alionesha kuchukizwa na kitendo cha wasanii ambavyo wanatumia Nyimbo zake za kipindi cha nyuma ili hali bado yuko Hai

Hasira hizo alizionesha baada ya kuona Msanii mwenzake "NANDY" akitumia baadhi ya Nyimbo zake katika Perfomances tofauti za TIGO FIESTA 2017, na kuamua kulitolea ufafanuzi suala hilo,
kuwa kama wanaona umuhimu wake kwenye Show zao, basi wawe wanamuita maana hana Cancer ya Koo.

Tofauti na hilo, Ray C alimpa Onyo Nandy na kumuambia kuwa hiyo iwe ni mara ya Mwisho kuimba nyimbo zake akipanda jukwaani, bali atumia track zake (Nandy Mwenyewe) kuperform maana hawawatendei haki mashabiki wake

MNADA BANNER