REPIN ROCK CITY

REPIN ROCK CITY

TUMA TRACK YAKO

CONGRATULATIONS MY FRIEND GIFT GIFTY R

7:59:00 AM Add Comment

Hongera Kwa Kuhitimu Elimu Yako ya Chuo Kikuu.... Welcome To the New World.

DAH...KUMBE NDIVYO ANAVYOKULA BATA NAMNA HII WAKATI MUMEWE YUKO RUMANDE?

6:02:00 AM Add Comment
 Party kama Kawaida
 Mume Wa Jack Patrick akiwa Chini ya Ulinzi
 Bata Kama Kawaida
 No Thinking about Em
Wakijiachia na................ Kama Unavyoona

HAPANA.....
Nikiwa Nimezipata kutoka Kwa MPEKUZI, Off Course Sijavutiwa na namna Amabvyo Jackline Patrick anavyokula Bata ili hali Husband wake akila Msoto bin Kunyea Ndoo huko Rumande.

Funny and amaizing thing ni kwamba, Bibi anaonekana kabisaaa akijiachia bila hata kufikiria kuwa some one Yuko Jela na tayari walishakula kiapo kupendana na Kuvumiliana katika Shida Na RAHA.

I HATE THA DAMN THING !!!!!!!!!!!!!!!!!!

MNADA BANNER