REPIN ROCK CITY

REPIN ROCK CITY

TUMA TRACK YAKO

Mwaka Jana...

2:00:00 AM Add Comment
"Nipo hapa Swaga Zangu Ziko Full Broo...Yes Bizzness..and I run The Show..The Like..wha..what More..baada ya Kesho kutwa..Ni Mtondogoo..."
Kudaadeki...Ni moja kati ya Zile za kuitwa "Bridge" kwa Song ya Mwaka jana ya Mtu mzima Bizzness.
Obviously now days Naenjoy saaaana Track Za Izzo Bizzness coz Zinaumiza sana Kichwa na Ku-woof Spika za redio zetu kama Sio Earphones kwa wale Addicted to Mp3s na Mauchafu Hivi.
Mkwaju umepikwa kwa yule yule Mkali wa wakali, Maneck ndani ya AM Records. Kuanzia Beat yake, Mixdown yote na Mishe zote za Audio, Haaa..Video yake ndo ilivunja Pabovu. 
Track inakwenda Kwa jina la "MWAKA JANA" akiwa Amemshirikisha Jamaa wa Kuitwa "Shapsin"
Ukiisikiliza na Kuitazama, utakubaliana na mimi kuwa Mshikaji anaipeleka Mbeya City On Top..
                                             Izzo Bizness Katika Moja ya Video ya "Mwaka jana"

MNADA BANNER