REPIN ROCK CITY

REPIN ROCK CITY

TUMA TRACK YAKO

MASHABIKI WA NICKI MINAJ, MANATA KUJUA ALIPO MSANII WENU?

1:51:00 AM Add Comment

Na Hezron Munis 
MASHABIKI Wengi sana wa Rapper Nicki Minaj wamekuwa wakijiuliza ni wapi ambako Mpendwa wao aliko maana ni kama wako katika sintofahamu moja ndefu sana.

Hii Pia ilitokana na kutokuonekana akipost chochote katika instagram account  yake na post yake aliyopost DECEMBER 30. Sio Hilo tu, Nicki Minaj pia hajaonekana katika matukio mbali mbali ya kiburudani kwa muda sasa, kitu ambacho kimewafanya wengi wajiulize ni kipi ambacho kinaendelea kwa bibie huyu

Ukiachilia mbali hayo yote, pia kuwepo kwa taarifa za chini chini kuwa Nicki Minaj na Boyfriend wake Nas wametemana, zilizwafanya wengi wahisi kuwa huenda Nicki Minaj kajiweka mbali maana anayeonekana mara kwa mara ni NAS tu

Sasa, kwa Mujibu wa Taarifa ambazo zimepatikana mpaka hivi sasa, ni kwamba Nicki Minaj yupo MIAMI akijishughulisha na Album yake mpya ambayo anatarajiwa kuitoa hivi karibuni, ndio maana kaamua kuweka kambi huko na kutokuonekana katika masuala ya mitandao

Pia inasemekana kuwa, Hitmaker huyu wa STAR SHIP hakutaka kabisa usumbufu wa aina yeyote, na amekuwaa akialika watu wachache sana katika maeneo yake hasa Lil Wayne na Drake ambao asilimia kubwa wako kikazi zaidi

IGGY AZALEA- KATIKA VALENTINE'S DAY TOENI ZAWADI YA KADI NA VAJAJA"

1:09:00 AM Add Comment

Na Rich Sam 
#WatuWaMungu Valentine's Day Ndo hiyooo, inakuja, na hapa tusidanganyane kabisa, wengi tayari mmeshajiandaa kwa ajili ya zawadi mbali mbali kwa wapenzi wenu ama wale ambao mna upendo nao.

Sijui kama ni Fikra zake, ama alijibu tu kwa sababu aliulizwa, lakini IGGY AZALEA yeye binafdsi alitoa ushauri kwa wale wanawake wote ambao wanajiandaa kutoa zawadi kwa wenzi wao, hasa wapenzi wao ama waume zao katika Siku ya Valentines

Rapper huyo na Hitmaker wa Track ya FANCY na nyinginezo kadha wa kadha, alipoulizwa kuhusu zawadi ya kutoa katika Siku ya Valentines hasa kwa wanawake kwenda kwa wanaume , ni CARD na VAJAJA, yaani Tendo la Ndoa

Na hiyo ilikuwa ni baada ya kuulizwa na moja kati ya Mapaparazi ambao walikuwa wakihitaji kufahamu mambo kadhaa kutoka kwake

09TH FEBRUARY 2018 : TOOTHACHE DAY

12:56:00 AM Add Comment

DAYS OF THE YEAR 
Toothaches are no fun, and so you will no doubt be surprised to learn that Toothache Day exists. Don’t be alarmed, though. This day is certainly not about celebrating the dreaded toothache. No way! Instead, Toothache Day is actually more about education and awareness and helping people learn how to prevent them happening to begin with and how best to make them go away, and quick!

It is so important that we learn how to take care of our teeth and not only get rid of nasty aches but also stop them coming back or turning into something more serious, and Toothache Day is a great opportunity to promote and celebrate health, share knowledge and fill your brain with info and facts in a fun and silly way. One thing is for sure though, there will be no sugary candy or soda involved!

MNADA BANNER