REPIN ROCK CITY

REPIN ROCK CITY

TUMA TRACK YAKO

MISHE ZA MPITA NJIA: HUYU ANAICHUKIA SANA SIASA..ILA KAMA HUIJUI KAZI YAKE MZIKILIZE

11:47:00 AM Add Comment

PIXX: KUTANA NA MTOTO WA LINEX...RICHARD SUNDAY, AMBAYE LINEX MWENYEWE ALIKUWA HAMFAHAM

11:27:00 AM Add Comment

Bila kudanganya kabisa, siku zote damu ni nzito kuliko maji, piga ua itafahamika tu One day.

Kwa Mujibu wa Linex Mwenyewe wakati akiongea na bongo5.com, amedai kuwa alikuwa hafahamu kama ana Mtoto mkubwa, RICHARD SUNDAY (Pichani) ambaye hivi sasa ana Umri wa Miaka nane

Aidha linex amesema kuwa, amekabidhiwa mtoto huyo rasmi na aliyekuwa Mpenzi wake wa zamani, ambaye anadai kuwa alifanya kumficha mtoto huyo kwa sababu za kiusalama (inaonekana ni kwa Linex) baada ya kutokuwepo kwa maelewano mazuri hasa Kifamilia

Linex amemchukua Mtoto huyo toka katika Shule aliyokuwa akisoma awali, na atamuhamisha Shule Nyingine

Be Proud to Be A Father Linex

SIZE 8- " JAMANI EEH !!!... KUNA SIZE 8 NA KUNA LINET

10:33:00 AM Add Comment

WENGI tumekuwa tukisubiri kufahamu Ndoa ya "Uwazi" hasa kwa Umma, ya Mateke Singer. SIZE 8 na DJ wa SYSTEM UNITY, DJ MO, itafungwa Lini.
lakini Hivi karibuni, Size 8 ameshusha kabisa Mzuka wa watu kwa kusema kuwa, Ndo yao ilifanyika kwa Siri, na hata Sherehe nyingine zitafanyika kwa siri Pia.


Akizungumza kwa Ujasiri Mkali, Size alisema kuwa, Kuna tofauti kubwa sana kati ya SIZE 8 na LINET (jina lake halisia), hivyo Suala lake la Sherehe litabaki kuwa Siri, na hata Kupigwa Kimya kimya.

Pia Mkali huyu wa "Moto" ameongeza kuwa tofauti na kupenda Mambo yake binafsi, anachukia sana Kutumia Pesa nyingi kwa Siku Moja, ingawa si kwamba anawakandia wanaofanya Sherehe za harusi kubwa, bali yeye alichagua kuwa Hivyo
Aidha, inaamini kuwa, kabla hajafikia Uamuzi huo, SIZE 8 alishauriana na watu kama akina WYRE,DNA na CLEMO ambao nao walifanya Ndoa ya Siri

MNADA BANNER