REPIN ROCK CITY

REPIN ROCK CITY

TUMA TRACK YAKO

MIMI NI MWANAHABARI RASMI..

10:37:00 AM Add Comment
 Mdogo wangu Emannuel Busasaye "B-KISS" akinipa Hug la Pongezi hapo jana katika Mahafali yangu, baada ya kupokea Diploma ya Journalism & Broadcasting, Katika Chuo Cha Royal (RCT)

In My Smile baada ya kupokea Rasmi Heshima ya Taaluma Yangu
 
 Kaka Yet Mkubwa, Mr Allawy Mnyika (Kushoto) na Emanuel Busasaye "B-KISS" hapo jana

 Nikiwa na My Big Brother, Michael Kahamba "Kaijage" Festo, aliyefunga Safari toka Mwanza kuiwakilisha Familia yangu ya Mwanza. Nakupenda sana Bro...thanx for your Love

 Hawa jamaa wakanipiga Picha naongea...Dah

 My Twin Brother, Awadh K. Mnyika (Kulia) and My Young Sister Madam Annajoyce Severine walikhakikisha nafurahi.....

 My Yong Sisters Fortunata Gervaze (Mama) and Ashura K. Mnyika walikuwa happy For Me kinoma noma.

 Me and My Best Friend and Class Mate, Brian Thomas Mshana.....jana ilikuwa bonge moja la happy day...Braaaaaaaaaaah

 In My Smile with My Best Friend Irene Avith Kisoli....Love her alot, and may god Bless Her

 Nikiwa na Shemeji yangu, Georgina

 My Twin Brother Awadh akinipa Zawadi.....

 My Young Brother Johannes Magnus Joachim (Kushoto), Pacha Wangu Awadh, wakinipa Zawadi pia....

 Johannes & Awadh

 Baada ya Sherehe Chuo, lilifuatila Bonge Moja la Suprise ya Lunch ambayo sikuitarajia siku hiyo, iliyoandaliwa na Familia yangu pamoja na Wazazi Wetu, Mr & Mrs Mnyika, pale MULEBA PUB, Mabibo

 Hapa ndo kwanza Round ya Kwanza.........kilichofuatia usiulize zaidi.

 Hahahahahaaaaaaaaaaa....My Young Sister Ashura (Ashy) akiwa katupia Hiyo mambo...Nice.....

 My Young Brother Johannes 

 My Best Friend Irene Avith Kisoli..

 Fortunata & Ashy....

 Our Elder Brother, Mr Allawy Mnyika

 Nikiwa na Best Student in Academic na Mtangazaji wa Sports, My Class Mate Safiya Mohammed "Safmuu", katika Picha ya Pamoja. Sote tumehitimu. Pia Safiya ni Afisa Habari wa HAMECO, na Assistant C.E.O wa HATUA PAMOJA BLOG.

 Nikiwa na Mr Allawy.......

 My Brother Allawy akisimama kunipongeza, baada ya kuona Certificate ya "The Best Student in Broadcasting Activities", Heshima niliyotunukiwa na Chuo, siku ya Mahafali

 Fortunata & Madam Annajoyce

 Fortunata....

 Our Lovely Mom..Mrs. Paschasia Mnyika...

 & Madam Anajoyce

 Our lovely Father Mr Mnyika

 Hawa walikuwa wakiagiza Menyu Zima...c unajua mpango wa Msosi?

 Hayaaaaa..................................

Hapa inatafutwa Picha yangu........................

MNADANI : MWAKA UTAISHA KWA BURUDANI HIZI...SI ZA KUKOSA AISEE...

9:35:00 AM Add Comment



BINAFSI NAKUPA HONGERA JOCELYNE MARO, KUTOKA TANZANIA, KWA KUTWAA TAJI LA MISS EAST AFRICA 2012...

9:10:00 AM Add Comment
 Miss East Africa 2012,Joselyne Maro, Kutoka Tanzania (Katikati) akiwa na Washindi wenzake

 Mzungu Kichaa akitoa Burudani katika Mashindano hayo ya Kumsaka Miss East Africa, yaliyofanyika katika Ukumbi wa Mlimani City, Jijini Dar es Salaam
 Msanii Mad Ice akitoa Burudani kwa Wageni Waalikwa

 Vimwana Wakiwa Wamejipanga Jukwaani (TOP 5)

 Haya, Watazame Warembo wanavyong'ara, utandhani hawali Ugali hivi.........

 Miss East Africa 2012, Joselyne Maro akiachia Tabasamu mwanana linalohimiza Ladha madhubuti ya Urembo wake, kutoka Nchini Tanzania.

 Joselyne Maro Akipokea Pongezi kutoka Kwa washiriki wenzake baada ya Kutajwa Mshindi

 Joselyne Maro akiwa katika Mshtuko wa Furaha, baada ya Kutajwa Mshindi wa Miss East Africa 2012, Shindano lilifanyika katika Ukumbi wa Mlimani City, Jijini Dar es Salaam

 Watoto wazuri, Walaini, Nyororo, Safi na Watumu, wakipita Mbele ya Majaji wakati wa Shindano la Kumsaka Miss East Africa 2012

 Wakiweka kila ain ya Mbwembwe kutafuta Marks za Majaji

Na Mshindi wa Taji la Miss East Africa 2012.................Ni......Ni.....Ni.......JOCELYNE MARO kutoka TANZANIA !!!!!

HATUKUBALIANI NA MAONI YA KATIBA MPYA"- WAPINZANI MISRI

8:31:00 AM Add Comment

Na Frank M. Joachim & DW.
Upinzani Misri umesema leo kwamba utawasilisha rufaa ya kupinga kura ya maoni ambayo imeidhinisha katiba mpya inayoungwa mkono na viongozi wenye itikadi kali za Kiislamu, na kuapa kuendelea na mapambano ambayo yamesababisha wiki kadhaa za ghasia na kuvuruga utuluvi nchini humo. 


Chama cha National Salvation Front kimesema matokeo ya awamu ya pili na ya mwisho ya kura ya maoni iliyopigwa jana yamevurugwa na visa vya wizi na udanganyifu. 

Mwanachama mmoja ameitaka tume ya uchaguzi kuchunguza visa hivyo kabla ya kuyatangaza matokeo ya mwisho, yanayotarajiwa Jumatatu. Ujerumani imeunga mkono miito ya kufanywa uchunguzi huru kuhusu matokeo hayo. 

Waziri wa Mambo ya Kigeni Guido Westerwelle amesema katiba mpya inaweza kuwa halali tu, kama itatimiza masharti ya mchakato mzima wa kuidhinishwa bila kuwepo dosari zozote. 

Lakini Westerwelle amesema kwamba siyo kupitia nguvu za maandamano ya barabarani, bali moyo wa mapatano na kuvumiliana ambao utaamua mustakbali wa Misri. Televisheni ya taifa na chama cha Udugu wa Kiislamu cha Rais Mohamed Mursi kimesema katiba hiyo imepitishwa kwa zaidi ya theluthi mbili ya kura za wananchi.

AKILI YANGU ILIVYO FINYU : KUMBE LULU AMEKIRI?...DUH !!!

8:24:00 AM Add Comment
Elizabeth "Lulu" Michael (Wa Kwanza Kushoto), akitolewa katika Mahakama ya Kisutu



UHUSIANO wa kimapenzi baina ya msanii wa filamu nchini Elizabeth Michael maarufu kama (Lulu) ambaye anadaiwa kumuua bila kukusudia msanii mwenzake Steven Kanumba yamewekwa wazi katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu baada ya msanii huyo kukiri kuwa alikuwa na uhusiano na Kanumba.
 Mahakama Ya Kisutu, Jijini Dar es Salaam

Upande wa serikali  ulisoma maelezo ya mashahidi tisa wanaotarajia kutoa ushahidi kwenye kesi hiyo pamoja na maelezo ya onyo ya Lulu aliyoyatoa kituo cha
polisi Oysterbay ambayo ni moja ya vielelezo vitakavyowasilishwa mahakamani wakati kesi itakapoanza kusikilizwa rasmi katika Mahakama Kuu

SPORTS CLICK : HONGERA TAIFA STARS....MSIBWETEKE NA KUVIMBA VICHWA...SAFARI NI NDEFU

8:12:00 AM Add Comment
 Mshambuliaji wa Taifa Stars, Mrisho "Khalfani" Ngassa (anayebusu Mikono) akishangilia goli ambalo liliipatia Ushindi Taifa Stars dhidi ya Timu ya Zambia "Chipolopolo", iliyofanyika hapo jana katika uwanja wa taifa wa Tanzania

 Mashabiki wa Timu ya Taifa ya Tanzania "Taifa Stars" wakitoa Support kwa Timu yao ambayo ilishinda 1-0

 Kocha Wa Timu ya Zambia "Chipolopolo" Reinhard Fabisch akitoka Uwanjani baada ya Mechi Kuisha

 Hali ilikuwa kama hivi katika Upande wa Matokeo.............................................


 Kikosi cha Timu ya Taifa ya Zambia "Chipolopolo" kabla ya Mechi dhidi ya Taifa Stars

 Mchezaji wa Taifa Stars (kushoto) na Mchezaji wa Zambia "Chipolopolo (Kulia) wakiwania Mpra katika uwanja wa taifa wa Tanzania, katika Mechi ya Kirafiki iliyofanyika Jana. Stars waliilaza Chipolopolo 1-0

 Kimuhe muhe hakikuwa cha kitoto, Mchezaji wa Timu ya Taifa ya Zambia, akijaribu kuuvuta Mpira dhidi ya Mchezaji wa Timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars

Mshambuliaji wa Timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars akijaribu kuwatoka Walinzi wa Lango la Timu ya Taifa ya Zambia "CHIPOLOPOLO" hapo jana, ambapo Taifa Stars waliibuka Kidedea kwa Goli 1-0

MNADA BANNER