REPIN ROCK CITY

REPIN ROCK CITY

TUMA TRACK YAKO

CONGLATURATIONS TO THE SUPER MODEL BELINA MGENI

7:21:00 AM Add Comment



THE BONGO MOVIE ACTRESS, Aunt Ezekiel looked This Sexy

VICTOR MGENI, The Young Brother of a Bride , BELINA MGENI, also was There





How Beautifuol anda Amaizing Look they Were...Conglaturations to The Groom and The Bride

The Sexy Bride (Super Model) BELINA MGENI

The Bride's Young Brother VICTOR MGENI (Left) and The Bride BELINA MGENI, in a Great Smile






WANDAZLAB: PROJECT MPYA YA ROCK TOWN PHOTOGRAPHY (MWANZA) AMBAYO IMETUA DAR ESA SALAAM KWA AJILI YA KUDEAL NA PHOTO SHOOT YA EVENTS, WEDDINGS, ETC

7:01:00 AM Add Comment









KUDADADEKI! ALIYEKUWA SERENGET BOY WA JLO, BADO ANAISHI KATI JUMBA LAKE?..YAANI LA JLO?

6:54:00 AM Add Comment

Udaku Wacha tu uendelee na kutufikia TTM, kupitia Kitengo Chimbua Chimbua, but honestly inaweza kuwa kali ambayo hatukuitarajia.

Siku kadhaa zilizopita, TTM tulikupa mtonyo kuwa, Mwanamama Jeniffer Lopez amemwagana na Serenget Boy wake CASPER SMART, na hivi sasa Yuko Single na kila Mtu ameamua kula zake.

Sasa info ambazo zilitufanya tushtuke kidogo, ni kwamaba eti kuna fununu ambazo zinazagaa kuwa, licha ya kwamba wameachana, 

Casper Smart bado anaishi katika Nyumba ya Jeniffer Lopez.

Aidha kwa Mujibu wa Chanzo amcho kipo karibu na familia hiyo, inasemekana kuwa, Baada ya Casper Smart Kuachana na JLO, aliamua kuopndoa Vitu vyake ili akatafute mahali pa Kuishi, lakini mpaka hivi sasa bado hajapata, hivyo ameamua kuendelea kuweka makazi kwa mamito huyo, huku akitafuta mahala pa Kuishi taratibu.

Tofauti na Hilo, Wawili hao JLO pamoja na CASPER SMART kwa Nyakati Tofauti, wamekanusha Tuhuma hizo, huku CasperMwenyewe akisema kuwa ghaishi kabisa na JLO katika Jumba lake lililopo L.A

JA RULE ADAI ALIBONDA 50 CENTS MWAKA 2000

6:33:00 AM Add Comment

ULALALALAA…mabibi na Mabwana, Hii ni Mpya ambayo TTM tunahitaji kushare na wewe kuhusiana na JA RULE pamoja na 50 CENTS, way back, wakati Bifu lao ni Utamu zaidi ya Kunoga mazee..iko Hivi.

Rapper wa MURDER INC, Ja Rule, amekumbushia masuala kadhaa yaliyotokea Kipindi cha Nyuma, ikiwe la “Kumkunyuga” Rapper 50 CENTS (born JACKSON CURTIS) kwa kutumia Vifaa mbali mbali ikiwemo Spika pamoja na Moja kati ya Magongo ya kutembelea.

Aidha Ja Rule, ambaye hivi sasa yuko kunako Mchakato wa kuachia Kitabu chake alichokipa Jina la UNRULY: THE HIGHS AND LOWS OF BEING A MAN, amesema kuwa wengi hawakufahamu tukio hilo na namna ambavyo lilitokea, lakini ukweli ni kwamba, aliwahi kumfuma 50 kwa Vifaa hivyo.

Aidha Ja Rule ameongeza Kuwa, Siku ya Tukio, Ja Rule alivutana na FIF mpaka akafanikiwa kumfunika Uso wake na Shati lake (yaani shati la 50) kisha akaanza kumpa Kipondo kwa kutumia Vifaa hivyo alivyovitaja, kikiwemo kile kirungu cha kuchezea Mpira wa BASE BALL, kinachoitwa BAT.

Pia Ja Rule aliendelea kwa Kudai kuwa, Licha ya Kwamba 50 alijitahid kukwepa huku na Kule, lakini bado Ja Rule ambaye alikuwa na Kundi lake, walimdhibiti vilivyo huku Ja Rule akimnyang’anya Gongo moja Memba mwenzake aliyekuwa ameumia Mguu, na kuanza kumchapa nalo Hit maker huyo wa In Da Club.


Ja Rule na 50 walitangaza kumaliza Bifu lao la Muda Mrefu, lakini hatufahamu kama historia hii itaamsha Hasira za 50 Cents, na kumjibu.

MICHAEL JACKSON APIGA MAUZO YA RECORDS MILLION 8, TANGIA KUFARIKI KWAKE.

6:30:00 AM Add Comment

LAITI Kama  MICHAEL JACKSON angekuwa hai mpaka hivi sasa, angekuwa anaenjoy na kupata Mzuka wa kurudisha heshima yake katika Music Industry …Iko hivi.

Tukiwa Ndani ya Wiki ya Kukumbuka Siku ya kifo chake, Finally TTM tumenyaka Info kuwa, The Late Michael jackson  ameuza takriban Records 8 za muziki wake Huko Nchini Uingereza.

Aidha hali hiyo inadhihirisha kabisa kuwa, Michael Jackson ambaye alifariki JUNI 25, 2009, nazidi kuwa Msanii Bora wa Pop ambaye anauza sana Muziki wake Muda Wote.


Pia Mchanganuo unaonesha Kuwa, Michael Jackson ameuza takriban Nakala Million 3.8 za Albam zake huko huko Uingereza, huku Mashabiki wake wengine wamekuwa wakidownload Nyimbo zake zaidi ya Mara Milion 4 katika mitandao mbali mbali ya Kijamii

Albam Mbili za Michal zilizoachiwa baada ya Kifo Chake, mnamo mwaka 2010 zilizoitwa “MICHAEL” zilifika mpaka kunako Nafasi ya Nne katika Chati kali ya Muziki Nchini humo, huku Albam Mpya kabisa ya XSCAPE ikishilka nafasi ya Kwanza katika ALBAM 10 Bora Nchini uingereza

Tofauti na Hilo, Kwaju la MAN IN THE MIRROR, limetajwa kuwa ni kwaju Bora zaidi lililouzika Baada ya Kifo cha Wack Jacko, kwasababu imepata almost Downloads zaidi ya 413,000





NYIMBO KALI ZA MICHAEL JACKSON AMBAZO ZIMEPATA DOWNLAODS NYINGI NI KAMA IFUATAVYO
1.    MAN IN THE MIRROR – 1988
2.    THRILLER-1982
3.    BILLIE JEAN – 1983
4.    SMOOTH CRIMINAL- 1988
5.    BEAT IT -1983
6.    HOLD MY HAND (Feat AKON – 2010
7.    LOVE NEVER FELT SO GOOD (feat JUSTIN TIMBERLAKE) -2014
8.    DIRTY DIANA- 1988
9.    THE WAY YOU MAKE ME FEEL – 1987

10.                       BLACK OR WHITE – 1991

MNADA BANNER