REPIN ROCK CITY

REPIN ROCK CITY

TUMA TRACK YAKO

ISABELLA: MA-DEEJAY WANATUTAKA KIMAPENZI, WANAUME WANAPENDA KUTUSHIKA SHIKA TUKIWA JUKWAANI...SCORPION GIRLS KUFANYA KAZI NA JOSE CHAMELEONE

7:50:00 AM Add Comment
Na TEAM JAM SESSION
KUPITIA WIRE MKALI  ya JAM SESSION ndani ya 99.4 MHz, METRO FM Mwanza, Isabella ameweza kuzungumza Mengi Kuhusiana na Muziki wake, Changamoto ambazo Zinawakabili, Misha yake na Luten Karama, Pamoja na Collable na Msanii JOSE CHAMELEONE

MsikilizeMwenyewe wakati Ninapiga naye Stori

BLACK CHART: DARASA NI KIKOMO..HAKAMATIKI HATA KWA KASI GANI

12:36:00 AM Add Comment



WIKI HII Katika BLACK CHAT ya BLACK TOUCHEZ, kumekuwa na Ubishi wa hali ya Juu hasa baina ya wasanii wawili DARASA na SQUEZER katika Kusikilizwa kwa Nyimbo yao katika Account ya soundcloud.com/frank7788.

Lakini Ghafla Tu, Darasa alianza Kuwakimbia Wapinzani Wake Wanne SQUEZER, VANESSA MDEE, NATTY E na SUZY “MUTESSY THE MATRON”
Wiki Ilyopita VANESSA MDEE alikuwa Kinara, huku NATTY E akiwa nafasi Ya Tano.

Lakini Wiki Hii Kumekuwa na Mabadiliko. WAKUBWA WA JIJI wameagwa BLACK CHAT, huku Msanii SUZY akiwa ni Ingizo Jipya liliamuliwa na Wasikilizaji wa Track Hizo

NATTY E amepanda mpaka nafasi ya NNE Wiki Hii huku VANESSA MDEE akishushwa Mpaka nafasi ya Tatu

NO.
MSANII
WIMBO
IDADI YA KUCHEZWA
1
DARASA Feat. MCHIZI MOX & SHILOLE
MIKONO JUU
263
2.
SQUEZER Feat. BELLE 9
MTEMI PESA
99
3.
VANESSA MDEE
COME OVER
89
4.
NATTY E Feat KALA JEREMIAH
VUTA TASWIRA
54
5.
SUZY “MUTESY THE MATRON”
I SAW YOU
16


MNADA BANNER