REPIN ROCK CITY

REPIN ROCK CITY

TUMA TRACK YAKO

NEW TRACK: NESHER- NITAMUACHA VIPI

8:32:00 AM Add Comment

Na Baba Juti
Anaitwa NESHER, Msanii Mpya Kutoka Mwanza akiwa Chini ya Record Label ya BM MO TOUCHEZ

Hii Ni Track Yake ya Kwanza, inaitwa NITAMUACHA VIPI, na ameileta Kwenu ili mumsikilize kwa Mara ya Kwanza

Mzigo Huu hapa

NEW AUDIO- T NOCK MELODY- MAAMUZI

8:09:00 AM Add Comment

Na Baba Juti
#WatuWaMungu Kutoka Rock City Mwanza, Msanii T-Nock Melody amedrop Mzigo Mpya ambao anataka Uudake Fasta

Mzigo unafahamika kwa Jina la MAAMUZI, na Production ni BM MO TOUCHEZ chini Ya Producer SKILLZ MASTER


Unaweza Kuusikiliza na Kudownload Hapa

NEW TRACK : SIKILIZA MKWAJU MPYA WA ABUU MKALI-SAMBELE

7:57:00 AM Add Comment

Na Baba Juti
Kutoka Kundi la WAKUBWA WA JIJI mpaka Kuwa Solo Artist, Huyu ni Hapa ni ABOU Mkali, akikuambia Udake Track Yake Mpya Fasta !!

Mkwaju unakwenda kwa Jina la SAMBELE uliofanywa chini ya BM RECORDS iliyoko Jijini Mwanza. Producer ni JOH SKILLS (Skills Master)

Hebu Tuiskilize kwa pamoja 

#DakaHiiFasta : MWANAMKE APOTEZA MAISHA WAKATI AKIJIFUNGUA AKIWA LIVE INSTAGRAM

2:15:00 AM Add Comment
HII SIO PICHA HALISI: Kumekuwa na Matukio Mazito kupitia Live Streaming ikiwemo Vifo na Udhalilishaji

Na Baba Juti
#WatuWaMungu Ifikie Mahali sasa  tuanze kuwa watu ambao tunathamini utu Wetu na kuacha kupelkwa pelkwa Ovyo na Mitandao ya Kijamii, ingawa tunajua inatusaidia kwa Kiasi Fulani

Binti wa Miaka 28- LUCY McBERG amejikuta akifariki Dunia wakati akijifungua, na tayari alikuwa akistream Live kupitia Instagram account .

Lucy ambaye tangu awali alitoa Taarifa na ahadi kwa Followers wake Wote, alisema kuwa atakuwa LIVE Siku ya Jana akiwa anajifungua watoto wake mapacha, maana amewasubiri kwa hamu na alitaka awatengenezee Historia ya Tofauti.

Zaidi ya Watu 100 wakiwa ONLINE kumshuhudia Binti huyo akifanya Tukio Hilo, LUCY alifanikiwa kujifungua Mtoto wa Kwanza akiwa peke yake na Simu akiwa ameitegesha Mahala kuhakikisha anaonekana Vizuri, lakini bahati mbaya hakugundua kuwa alikuwa akivuja Damu Nyingi sana

Licha ya Watu kujitahidi Kucomment kuwa anatokwa Damu Nyingi, LUCY ambaye ni Raia wa Uholanzi, hakuona Kirtu hicho wala kufuatilia comment hizo sababu ya zoezi zima, na kuendelea na hatua ya Pili ya kumleta Pacha Mwingine


Wakati akifanya tukio hilo, alijikuta akiishiwa  nguvu na kukosa Hewa , hali iliyomfanya apumue kwa tabu na kushindwa kusukuma vizuri. Kabla hajamaliza zoezi hilo, alipoteza Maisha na kuendelea kubaki ONLINE kwa Masaa zaidi ya Matatu ambapo ilionekana kuna watu walikuja kusaidia kumkimbisa HOSPITAL na kuzima ile Simu

KESI YA KAKA WA NICKI MINAJ KUHUSU KUMBAKA BINTI WA MIAKA 12, IMESUKUMWA MBELE ZAIDI

1:08:00 AM Add Comment
FAMILIA: Kaka Wa Nicki Minaj -Jelani Maraj (Kushoto) akiwa na Nicki Minaj (Kulia)

Na Baba Juti
#WatuWaMungu inawezekana kabisa  Kaka wa Nicki Minaj, JELANI MARAJ , akaifaidi kipindi cha JOTO akiwa huru, maana kesi yake ya Kufanya Kitendo cha Ubakaji na Udhalilishaji kwa Binti wa Miaka 12, imegongwa Kalenda tena

Kwa Mujibu wa hukumu ya Awali, Kesi hiyo ilitakiwa kusikilizawa MAY 8 Mwaka huu, lakini Baadaye Hakimu akadai kuwa , anahitaji kupata Muda wa Miezi kadhaa ili kuhakikisha anatoa Nafasi kwa Upande wa Upelelezi Kufanya Kazi yake kwa Ufasaha Zaidi
JELANI MARAJ: Alikana Kumbaka Binti Huyo na kufanya Kesi Hiyo Kusogezwa Mpaka May 8

Kaka Huyo wa Nicki Minaj alihudhuria katika Mahakama ya JIMBO la NASSAU Siku hiyo ya Jumatatu (May 8) kwa ajili ya kusikiliza Hukumu Yake, lakini baadaye Jopo la Majaji likakubaliana kabisa kuwa wasubiri kipindi hiki cha Joto Kipite ndipo wasikilize Hukumu hiyo.

Kwa Mantiki hiyo, Maraj atarudi Tena Mahakamani Mwezi Julai kwa ajili ya kujua Kilichoendelea

KAMA ULIKUWA HUJUI:
KAKA wa Nicki Minaj alituhumiwa Kumbaka na kumfanyia Unyama Binti wa Miaka 12 aliyekuwa akiishi naye Nyumba Moja . 
JELANI MARAJ : Kesi Yake Itasikilizwa Rasmi Mwezi Julai ili kupisha Uchunguzi Zaidi

Baada ya Uchunguzi kufanyika, ilibainika Kuwa, Katika Nguo za Ndani za Binti huyo kulipatikana Mbegu za Kiume ambazo ziliwiana na Mbegu za Kiume za Kaka Huyo wa Nicki Minaj, na hata Yeye alipochunguzwa katika Nguo za Ndani alizovaa siku hiyo, zilibainika Mbegu za Kiume Pia, Ingawa hakuna Damu zilizopatikana katika Nguo zake za Ndani


#GetThisQuickly : MEET THE SMART PHONE WHICH ITS BATTERY LASTS FOR 20 HOURS

12:21:00 AM Add Comment

With the Asus ZenFone 3 Zoom, running out of juice will be the last thing on your mind.
The jaw-droppingly large 5,000mAh battery lasted almost 20 hours in our looping video drain tests (19 hours, 50 minutes average, to be precise). 

That's almost two hours longer than the premium Samsung Galaxy S8 Plus (18 hours) and more than 6 hours longer than the LG G6 (13 hours, 21 minutes). Yeah, in terms of charging cycles, it pretty much crushes every other phone out there.
We're still testing real-world usage, but let's just say it's promising at the least.

So far, that battery bliss is the best thing about the ZenFone 3, which is available online and through retailers for a very affordable $329 -- that converts to roughly £254 and AU$446.

 And that's a little ironic, because the phone's name conveys what's really supposed grab all the attention: the camera features.

 Unfortunately, the image quality we're seeing so far trails behind other phones in the ZenFone 3 Zoom's price range, including the Huawei Honor 6X and ZTE Blade V8 Pro -- but we're still testing the phone fully, so stay tuned for our final determination.
In the photo department, the ZenFone 3 Zoom has:
  • Two 12-megapixel cameras (one 25mm, one 56mm with 2.3x optical zoom)
  • A 13-megapixel front-facing selfie camera, with screen flash
  • Portrait mode to artfully blur the background in an image (yes, like the iPhone 7 Plus does, but this one isn't as good)
  • Support for 4K video
  • Raw file support -- once it updates to Android 7.0 Nougat (that comes default in the new software)
  • Full manual mode
  • A GIF-maker built into the native camera app
Camera settings are thorough and easy to find, and the phone's light, thin, curved aluminum body never made it difficult to hold, take aim and shoot. The screen reliably flashed when I took (and then immediately deleted) a selfie.


What else does this handset have? A 5.5-inch screen and a Qualcomm Snapdragon 625 processor. You can also use it as a power bank to charge other devices. Disappointingly, our review unit is still running Android 6.0.1 Marshmallow, though Asus does promise it will upgrade.

#DakaHiiFasta : BOW WOW AUMBULIWA KWA HILI

12:12:00 AM Add Comment
Rapper Bow Wow

Na Baba Juti
#WatuWaMungu Rapper Bow Wow amejikuta akiumbuka Vibaya baada ya kubainika kuwa amedanganya Nje nje, kitu ambacho kinadhihirisha kuwa wasanii wengi wana maisha ya Kuigiza

PICHA LILIANZA
Bow Woe ambaye aliwahi kuufanya Ulimwengu Mzima uchenguke na Mkwaju wa "FRESH AZMEZ", alipost Kunako instagram account yake, Picha ya PRIVATE JET, na kuandika kuwa yuko Safarini kuelekea New York, kitu ambacho kila Mtu alikipokea Kama kawaida pasipo kufahamu kuwa tunapigwa changa la Macho
Post ambayo Bow Wow aliitumia Kudanganya Watu kuwa anatumia PRIVATE JET

Lakini baada ya Muda, wajanja ambao kumbe walikuwa pamoja katika Ndege ya Abiria ya kawaida, walikuwa tayari wameshamuona BOW WOW (Zamani Lil Bow Wow), na kuona isiwe tatizo, wacha tumuumbue aisee
Walichukua Jukumu la Kumsnap kwa Nyuma bila yeye kujua na kuanza kumsambaza kunako social Networks, kitu ambacho kila mtu alishangaa
Wakuda wakafanya Kweli, hapa Bow Wow akipigwa Picha akiwa ndani ya Ndege ya Kawaida ya Abiria, baada ya Kudanganya

KAMA HAITOSHI
Wadakuzi walianza kuifuatilia Ile Private Jet ambayo Bow wow aliipost, walikuja kubaini kuwa Picha Ile ilikuwa katika Tangazo la Kampuni ya FLORIDA TRANSPORTATION (FLORIDA TRANSPORTATION COMPANY) ambayo ilitumia Picha hiyo kunadi huduma zao hasa za VIP kwa watu ambao hawataki usumbufu

MNADA BANNER