REPIN ROCK CITY

REPIN ROCK CITY

TUMA TRACK YAKO

26 JULY : AUNT AND UNCLE DAY

3:34:00 AM Add Comment

DAYS OF THE YEAR  
Aunt and Uncle Day is, as the name suggests, a day to celebrate a special set of relatives – your Aunts and Uncles.

The amount of aunts and uncles you have will vary from family to family. However, they often play a crucial role throughout your life; taking you to fun places, babysitting you when your parents are out, buying you birthday and Christmas presents and giving you important advice and support when you need it most. After all, there are some things we just don’t feel comfortable talking to our parents about. 
So if you love your aunts and uncles, why not call them, spend the day with them, or send them a card or a gift? This is your day to show them how much you appreciate all of the effort they have put in, and all of the fun and laughter they have provided over the years.

MWANZA !!!: KUNGUNI WANAVYOWATESA ABIRIA KATIKA DALADALA

5:39:00 AM Add Comment

Na Sadick  Mwenda  
#WatuWaMungu kuna taarifa ambazo Baba Juti Blog tumezipata na tukaona sio mbaya kushare na Nyie, hakuna mtu ambaye hawafahamu Kunguni

Kwa Mujibu wa Wakazi wa Mwanza wanaotumia Usafiri wa Magari madogo ya Umma maarufu kama "Dala Dala" katika Jiji la Mwanza, wamedai kuwa kuna tatizo la Kunguni katika Magari hayo, kitu ambacho kimeonekana kuwapa hofu watumiaji wengi wa Usafiri huo

Wakizungumza na babajuti.blogspot.com leo asubuhi katika Kituo cha Magari kilichopo Soko Kuu, Wakazi hao wamelalamika kukutana na adha hiyo katika daladala mbali mbali mbazo wamekuwa wakipanda

Akizungumza kwa Hizia kubwa kuhusu hilo, Mkazi wa Eneo la Bwiru amedai kuwa ameshakutana na Kunguni hao si zaidi ya Mara moja, hali ambayo imesababisha kuwahamishia nyumbani kwake.

"Yaani Mara ya kwanza nilidhani mie ndio ninao, nikaona aibu kusema maana wale wadudu sio wa kawaida. cha ajabu, leo wakati nimepanda gari ya Bwiru - Kisesa, nikaona kwenye Siti ya Mbele, kuna kunguni kama wawili wakaongozana. Ikabidi nipekue, kutizama hivi, nikaona balaa la Kunguni na Mayai yake" alisema Bi. Bhoke Mutaira


Tofauti na shuhuda huyo wa Kwanza, Mwingine alidai kuwa ameshakutana nao sio jana wala leo, ila ni muda Mrefu, kitu ambacho kinampatia umakini mkubwa sana katika Usafi
"Kunguni hawa wapo muda tu, hasa kwenye mafgari yenye Siti chafu kabisa. si unajua hawa wakiamka, wao wanajali abiria tu, na sio usafi. mie nimeshawabeba mara nyingi mno, na mpaka sasa niko makini. hasa hizi gari za Kisesa kuja Mjini au Machinjioni kuja mjini na hata Bugarika kuja Mjini, yaani ndo zimejaza hawa wadudu" alisema Boaz Marundi

Walipotafutwa Madereva na Makondakta kujibu suala hilo, nao hawakusita kuzungumza
"Kwenye Gari langu hawamo maana ninazingatia usafi, lakini nimesikia pia kwenye Magari mengine wapo. hii ni kwa sababu tunakutana na abiria mbali mbali, na huwezi kusema unamkagua kama ana kunguni au lah. ila asilimia kubwa, Abiria wenyewe Ndio wanaowaleta" alisema mmoja wa Madereva katika Stand Hiyo ya Magari yaendayo Bieru

BIRTHDAY VIBES: LEO NI BIRTHDAY YA TUNDA... CHECK OUT HOT PICKS ZAKE 5 TU

5:04:00 AM Add Comment

Na Baba Juti  
#WatuWaMungu Katika "BIRTHDAY VIBES" leo ni Birthday ya Video Vixen na Ex-Girlfriend wa Young Dee (Paka Rasta), TUNDA.... Chek utamu wake kwa Uchache tu






MUNGU OKOA JAHAZI !! : WANAWAKE WAWILI WAZICHAPA NA KUVUANA MBELE YA WANAFUNZI...KISA?....APPOINTMENT

4:38:00 AM Add Comment

Na Baba Juti  
#WatuWaMungu Kimenuka haswa, na hii bwana iwafikie wale wote ambao huwa "Mnachanganya Madesa" katika kuandaa appointment, maana itakula kwenu

WANAWAKE Wawili Nchini Kesha, wamejikuta wakitoa "Utamu" mbele ya Wamnafunzi baada ya kufumuana Vilivyo mpaka kuvuana mbele ya Wanafunzi, baada ya kujikuta wakigongana katika "appointment" waliyokuwa wamepewa jkatika Shule moja Nchini Humo.

Kwa Mujibu wa Taarifa kutoka kwa moja kati ya watu wa Usalama walioshuhudia na kukutana na Kesi hiyo, anadai kuwa, wawili hao walizichapa baada ya kukuitana katika Shule hiyo kwa madai kuwa kila mmoja kapewa appointment na Mpenzi wake ambaye ni Mwalimu Mkuu katika Shule Hiyo

Katika Ugomvi huo, wawili hao walisikika wakituhumiana kila mmoja kuharibu mahusiano yake mna mwamu huyo, huku mwalimu mwenyewe akibaki kutizama na kushindwa afanye Kitu gani

Lakini hali ilivyozidi kuwa mbaya, baada ya mwanamke mmoja kuonekana kumzidi nguvu mwenzake na kuanza kurarua nguo zake, ndipo mwalimu mkuu msaidizi ambaye pia ni mwanamke kwa kusaidiana na Mlinzi wa shule hiyo waliingilia kati na kuamua ugomvi huo.

Hata Hivyo, baadhio ya wanafunzi, na wafanyakazi katika Shule hiyo, walidai kusikitishwa na tukio hilo, ukizingatia mwalimu Mkuu huyo ana heshima kubwa sana katika Jamii yao

MAMBO YA MKWANJA !!: ETI JAY Z NA BEYONCE WAMEAJIRI WATU 18 KWA AJILI YA MAPACHA WAO

4:15:00 AM Add Comment

Na Baba Juti
#WatuWaMungu Familia ya Wasanii ambao wanamiliki "Mpunga" mrefu katika Tasnia hii, JAY Z na BEYONCE wameendelea kuonesha Jeuri yao ya Fedha, baada ya kuwaajiri watu 18 kwa ajili ya Mapacha wao

Info ambazo tuko nazo mpaka hivi sasa, ni kwamba, watu hao 18 wamepata nafasi hiyo ya kazi  baada ya Mapacha wa wanandoa hao waliopewa majina ya RUMI na SIR kuwasili Nyumbani kwa ajili ya kuanza Maisha yao katika Familia yao kawaida

Watu hao 18 wameajiliwa katika Nafasi kadha wa kadha wakiwemo MAYAYA (walezi wa Watoto) 6, Wasaidizi wa Ndani 2, na Wauguzi ambao watakuwa wakigawana majukumu ya kuwajali watoto hao masaa 24 kila siku

Mmoja kati ya watu wa Karibu katika Familia hiyo aliongeza Hivi, tunaomba tumnukuu tafadhari ili kupata utamu

"Ulinzi umeongezwa haswa, Magari ya Bullet Proof yameboreshwa zaidi, na Kubwa zaidi wameajiliwa Wasahuri wa Masuala ya Uwekezaji wa Masuala ya Fedha kwa watoto hao, kuandaa Trademarks na vitu vingine katika jina la Mapacha hao"

Na kama Haitoshi, Mvujishaji huyo kaongeza kuwa, wameshaajiriwa watu maalum ambao watahusika vilivyo katika kuendesha na kuboresha accounts za mitandao ya kijamii hasa kwenye majina na Tags ambazo zitahusika"

HAIWEZEKANI !!! : ASHUSHWA KWENYE NDEGE NA ULINZI MKALI KISA TATTOO

3:57:00 AM Add Comment

Na Baba Juti  
#WatuWaMungu mnaweza kudhani kuwa vitu kama hivi huwa ni masihala, lakini hii ndivyo ilivyotokea na inabidi tufahamishane katika hili

DAVI STRETTON-MELLOR alijikuta akishushwa katika Ndege aliyokuwa akisafiri yeye na familia yake na kukatishwa safari kwa madai kuwa Tattoo yake ilichangia yeye kufanyiwa hivyo.

Kwa Mujibu wa Maelezo yake, DAVI anadai kuwa, yeye na familia yake walikuwa wamepanda Ndege ya Kampuni ya RYANAIR kwa ajili ya kuelekea GRAN CANARIA akiwemo mke wake, Mwanae, mkwe wake na wajukuu wake kwa ajili ya matembezi na shughuli nyinginezo

Lakini wakiwa ndani ya Ndege , kuna watu ambao walikuwa Nyuma ya "Stiti" zao ambao walikuwa wakipiga Kelele na kurukia katika Sizti zao kitu ambachpo kilionekana kuwasumbua sana

Baada ya kuona Hivyo, DAVI (33) ambaye ni raia wa Uingereza, aliwaambia kuwa waache Kelele na baadaye hali kwenda sawa, lakini baadaye walipofika katika Uwanja wa Ndege wa SANTIAGO DE COMPSTELLA ulioko HISPANIA

Tunamnukuu
"Hata Sikuwajibu kwa Sauti kubwa, ilikuwa Taratibu tu, kisha nikapitiwa na Usingizi. Lakini baadaye niliona Ndege Imesimama, nikafahamu kuwa tayari tumeshafika tunakoe;lekea. Ghafla nikashtuliwa na Polisi wa Hispania wakiwa kama 13 Hivi kuwa nishuke katika Ndege. Walinikamata Kola yangu ya Shingo na kunitoa kwa nguvu sana"

Katika Hatua Nyingine, DAVI anadai kuwa alipotolewa mpaka upande wa wageni wanaowasili akiwa amesindikizwa na POLISI hao, alishangaa Mke Wake na Familia Nzima inaletwa hapo, kisha wakatolewa Nje ya Uwanja wa Ndege, na kuambiwa kuwa safari yao ndo imeishia hapo, hivyo watajijua wenyewe

Tunamnukuu
"Kuna askari mmoja aliniambia kuwa nimetolewa Nje kwa sababu ya Tattoo yangu iliyopo Usoni"

MSANII WA KUNDI LA LINKING POARK NCHINI MAREKANI AMEFARIKI KWA KUJINYONGA...

2:33:00 AM Add Comment

Na Baba Juti  
#WatuWaMungu Hivi sasa, wanafamilia wa Kundi la Muziki wa Rock Nchini Marekani, LINKING PARK, wako katika Majonzi mazito baada ya kumpoteza mwanafamilia mwenzao anayefahamika kwa jina la CHESTER BENNINGTON.

Bennington ambaye alikuwa na Umri wa Miaka 41, alikutwa amefariki Nyumbani kwake baada ya Kujinyonga juu ya Dari la Nyumba yake.

Tukio hilo limetokea katika Kumbu kumbu ya Siku ya Kuzaliwa ya Rafiki yake, Marehemu CHRIS CORNELL ambaye pia likutwa amejinyonga Katika chumba cha Hotel ya DETROIT mnamo May 18,2017

Mfanyakazi wake ndiye aliyetoa taarifa katika Kitengo cha dharura Nchini humo 911 baada ya kubaini kuwa Bosi wake amejiua.

Mpaka hivi sasa, sababu ya Kujinyonga kwake haijafahamika, na tutazidi kufuatilia ni kipi ambacho kimetokea

LINKING PARK waliwahi kufanya Kazi na BUSTA RHYMES katika Mkwaju wa WE MADE IT, halikadharika na JAY Z katika Mkwaju wa NUMB/ENCORE







TIZAMA Video ambazo CHESTER alikuwa akifanya Kazi

OKAY!!!! : MEET THE 6 NEW WORSE TRENDS

1:58:00 AM Add Comment

SOURCE : P LIVE
While fashion is all about expressing yourself, there are some trends that are somewhat confusing and people are not quite sure how to feel about them

There are a couple of men’s fashion that have been going viral of late that have left us with mixed reactions.
Here’s a list of some of them.

1.Men’s rompers 
The male rompers were another fashion statement that people could not quite wrap their heads around.

2.Men in skirts and heels
Another trend that made its rounds on social media has got to be the new fashion line by American designer Thom Browne which showcased men in skirts and heels.

3.Lace shorts
When a photo of men dressed in lace shorts matched up with lace tops made its rounds on social media, a lot of users were quite confused with the majority not really feeling the new fashion trend.

4.Male crop tops
It seems like women aren’t the only ones that want to show off their belly buttons as there are now male crop tops.

5.Men’s clip-in buns
Men have for the longest time been hating on women’s hair extensions with a majority of them being completely against them.
Well it may seem that the need for long hair is not only a woman’s problem but a man’s as well.
Men now have access to clip-in buns that they can use to give their hair that extra length that they desire.

6.Male chokers




WATU WA MUNGU HII HAPA VIDEO YA KALIGRAPH JONES- GAZA

4:29:00 AM Add Comment

Na Baba Juti  
#WatuWaMungu Kaligraph Jones Maarufu kama "Papa Jones" ameachia Rasmi Video ya GAZA...Hii Hapa Itazame


DUH !! : HATIMAYE NA NE-YO KASURUHISHA NOMA LA MKOPO WA BANK

3:03:00 AM Add Comment

Na Baba Juti  
#WatuWaMungu hatimaye NEYO naye kafanikiwa Kmamlizana na Benki ambayo ilikuwa inamdai mkwanja mrefu sana ambao ni USD Milioni 2.4

Taarifa ambazo mpaka hivi sasa tuko nazo ni kwamba, HIT MAKER huyo wa DO YOU, amemalizana na CITIBANK na hivi sasa yuko salama kabisa, maana kesi ilifungwa tayari JUNE 26

Kama utakuwa hukufahamu kuhusu hili, Bank hiyo ilifungua mashtaka mahakamani kwa Madai kuwa Neyo amegoma kulipa deni la Mkopo wa kibiashara aliouchukua Mwaka 2013


Bank hiyo iliendelea kulalamika na kudai kuwa, baada ya kumtaarifu mkali huyo wa R&B kuwa anatakiwa kufanya Marejesho yake, Alikataa kata kata kuwa hana taarifa yoyote kuhusu mkopo, hajachukua mkopo na wala hajaona fedha hizo ambazo ni USD Milioni1.4

Hata hivyo, Bank hiyo ilimshauri akatoe taarifa polisi kuhusu tukio hilo, maana taarifa zilionesha kuwa yeye na Manager wake KEVIN FOSTER ndio waliosaini kuchukua mkopo wa wa USD Milioni 1.4 , na USD 14,941.10 ndizo zilizoonekana kulipwa katika mkopo huo

Baada ya kuona kuwa Deni lao halilipwi, CITI BANK walitangaza kuuza Mali na Nyumba ambazo zilikuwa zimewekwa kama Dhamana ya mkopo huo

Lakini baada ya muda Neyo aliendelea kukataa, na kisha akamlaumu Meneja wake KEVIN FOSTER kwa kuchukua Mkopo huo bila taarifa zake sambamba na kumuibia kiasi cha USD Milion 8 kwa miaka kadhaa


SMART THURSDAY : JULY 13 IS FRENCH FRIES DAY... GO AND GET IT TODAY

2:07:00 AM Add Comment

DAYS OF THE YEAR   
Whether you call them ‘French Fries’, ‘Chips’, Finger Chips, or French-Fried Potatoes, this delicious treat is loved around the world, and French Fries day celebrates them.

Not to be confused with the American ‘Chips’, which are thinly sliced pieces of potato fried until crisp, French Fries are the delicious result of ‘batons’ of potato cut to various thicknesses and then fried in oil.The outside of this staple companion food to hamburgers and other grease-ball favorites generally have a golden texture, varying from soft to crispy, and most often served with little more than a dusting of salt.

  History of the French Fry  
French Fries are one of many foods whose name is most misleading, as the origins of this fat fried food seem to be in Belgium. The story of their creation can be found in a family manuscript dated 1781, which reveals that potatoes were originally cut into the shape of fish and served in lieu of the fish normally caught in a series of small villages in Belgium.It seems the river had frozen over and the fish they normally caught and fried were unable to be caught.

Why they’re called French is often attributed to troops coming over during World War I who got their hands on Belgian Fries.The official language of the Belgian army at that time was French, and as a result the men thought they were in France rather than Belgium.Interestingly, in that region of the world, they are still called “Flemish Fries” to further complicate matters.Now these treats are loved the world round, even becoming the ‘national snack’ of the Netherlands.

  How to Celebrate French Fries Day  

With the popularity of French Fry, it’s not surprising that the world has come up with as many different varieties of this delicious food as you could imagine.So one of the best ways to celebrate French Fries Day is to host a party dedicated to celebrating the international menu the fried potato has created.The simplest variation is simply to put chopped raw onions in some ketchup, and eat them up like they do in the Netherlands.For the more adventurous, try some of the varieties below!

INASEMEKANA !!!!! : RIHANNA NA MPENZI WAKE MPYA WAPO KATIKA MIKAKATI YA KUFUNGA NDOA, ILA SASA, SHUGHULI IKO HAPA !!!!

1:57:00 AM Add Comment

Na Baba Juti  
FUNUNU za Huku na Kule zinazidi kuutawala Ulimwengu hasa kwa wale mashabiki wa Msanii wa Muziki wa Pop Nchini Marekani, RIHANNA

#WatuWaMungu wanadai kuwa, Rihanna pamoja na Mpenzi wake Mpya Hassan Jameel hivi sasa wanazungumzia Masuala ya kufungua ndoa, lakini kuna jambo ambalo linaumiza kichwa kidogo, maana wawili hao wamekubaliana kulinda mali zao kwanza, yaani Biashara itabaki kuwa Biashara Tu

Chanzo ambacho kipo karibu na Mahusiano hayo, kimeanika taarifa kuwa, inaonekana kabisa Rihanna (29) na Hassan Jameel (29) wako katika Harakati za fasta sana ili kula Kiapo na kuruhusu Mnuso wa Nguvu utafunwe bila kinyongo

Tunamnukuu
" Kila kitu kinaenda kwa kasi sana, lakini kwa hivi sasa, nafasi kubwa imewekwa katika kufanyia kazi hasa Biashara zao binafsi na Mali zao. wako na mwanasheria wao kuhakikisha wanaandaa mkataba mzito na mkubwa ."

katika hatua Nyingine, Mbea huyo kaweka wazi kuwa wawili hao wanapendana haswa na kila mmoja anaonekana Chizi wa Mahaba kwa mwenzake

"Kila mtu ni kama mwehu wa Mahaba kwa mwenzake, lakini wote wawili wanajua kabisa makubaliano ya Mali na Fedha kwa kila mmoja kabla ya ndoa, ni muhimu sana. kwa hiyo wanashughulikia hilo, maana kila mtu anafahamu kabisa kuwa katika ndoa, tutavuna sawa, lakini kilicho chako kitabaki kuwa chako, na changu kitabaki kuwa changu"

HATIMAYE !!: MSALA WA FETTY WAP HIVI SASA UKO SHWARI... NI ULE WA KUIBA BEAT ALIYOTUMIA KWENYE "TRAP QUEEN"

1:40:00 AM Add Comment

Na Baba Juti
#WatuWaMungu Hatimaye Rapper FETTY WAP amefanikiwa kumaliza msala wake kuhusu Wizi wa Ngoma ya TRAP QUEEN

Kama Utakuwa unakumbuka Vizuri kabisa, Fetty Wap Mwaka 2016 ilifumuka taarifa kuwa Rapper huyo amefanya wizi Wa Beat ya Track Trap Queen, mzigo ambao unadaiwa kununuliwa Msanii na Mwandishi LAZAR LAKIC.

Jamaa huyo aliamua kufungua Mashtaka dhidi ya Rapper huyo pamoja na Producer wa TRAP QUEEN, Tony Fadd huku madai yake yakieleza kuwa alikuwa amenunua Beat Hiyo mwaka 2014, lakini akaja kushangaa Beat yake imetumika Kinyume na makubaliano

Sasa, kwa Mujibu wa Taarifa kutoka Mahakamani, Mnamo June 26, pande zote mbili zimekaa na kufikia makubaliano kama ambavyo walishauriwa na Mahakama. Hivyo kama ambavyo makubaliano yao yalivyo ya siri, Kesi hiyo itafungwa Rasmi Baada ya siku 30 mara baada Pande zote mbili zitakapokaa sawa

MUNGU NJOO UOKOE JAHAZI !!!!: BINTI HUYU AMEAPA KUWA HATOIVUNJA "B**K**RA " YAKE KAMA RAILA ODINGA HATOSHINDA URAIS NCHINI KENYA

2:59:00 AM Add Comment

Na Baba Juti  
#WatuWaMungu Duniani kuna Vituko, na bila Vituko kweli tunaweza tukanuka Midomo, maana hatutocheka hata Kidogo

SOPHIE KERUBO Kutoka Nchini Kenya, ameushangaza umati wa watu hasa wanaafrika mashariki kwa kuapa kuwa hatoruhusu "Bikira" yake Itoke kama Raila Odinga hatoshinda Kiti Cha Urais Nchini Kenya

Binti huyu alitoa Kiapo hicho kupitia Mtandao wa Facebook ambako alisema kuwa atakaa na "Sield" yake hiyo mpaka pale Raila Odinga ambaye anafahamika kwa jina la "Baba" atakaposhinda hata kama ni miaka 50 Ijayo.

Tunamnukuu
" Mie, Sophy Kerubo, Ninaapa Mbele ya Wakenya Wenzangu kuwa, Sintoivunja "bikira" yangu kama raila Odinga hatoshinda Urais katika Uchaguzi Huu"

NYAKIM GATWECH : HUYU NDIYE MALKIA WA NGZI NYEUSI... ALIAMBIWA AKIPEWA DOLLAR 10,000 AJICHUBUE, ATAKUBALI?, TIZAMA PICHA ZAKE 13

2:46:00 AM Add Comment

Na Baba Juti
#WatuWaMungu ukiwa na Msimamo katika maisha yako , hata iwe vipi, hakuna kitakachokusumbua hata kidogo aisee...

Tunakukutanisha na NYAKIM GATWECH, Mwanamitindo mwenye Umri wa Miaka 24, ambaye makazi yake kwa hivi sasa ni MINNEAPOLIS Marekani.

Lakini Binti huyu sifa yake sio ya kawaida, maana ukiachilia mbali na Kazi anazofanya, Ni raia wa SUDANI KUSINI na ni Mweusi kupita maelezo kiasi kwamba akapewa jina la QUEEN OF DARK, yaani "Malikia wa Giza/Weusi"

Kitu ambacho kimewagusa wengi ni story yake ya kuandamwa na kushauriwa mara kwa mara kuwa Aajichubue" kitu ambacho kilionekana kumnyima Raha maana alihisi anatukanwa kulingana na Ngozi yake

Kupitia Instagram account yake, Nyakim huzungumza na kutoa simulizi na maneno ya Motisha kwa Followers wake zaidi ya 180,000 kuhus Maisha yake, kujivunia Ngozi yake na hata kuvumilia kila ambacho anakutana nacho

Tofauti na kuchukiwa na kunyooshewa vidole vya kibaguzi mara kwa Mara, Nyakim hatosahau kitendo cha kuambiwa apewe USD 10,000 ili ajichubue na Dreva wa Gari za Kibiashara aina ya UBER Nchini Marekani

Tunamnukuu
"Niliulizwa na Dreva wa Uber siku moja hivi... usichukulie hili kama udhalilishaji, ikatokea ukapewa USD 10000, utajichubua kwa Kiasi hicho cha Pesa. Sikujibu chochote, badala yake nilianza kucheka kwa nguvu sana. Kisha akauliza kama kicheko changu kinamaanisha hapana, nikamwambia hiyo ni hapana kubwa na ishindwe. kwanini katika dunia hii nichubue Hazina yangu nzuri kama hii ambayo mungu kanibariki?"















MNADA BANNER