REPIN ROCK CITY

REPIN ROCK CITY

TUMA TRACK YAKO

INSTA MCHEPUKO- WEMA SEPETU AMESHINDWA KABISA KUJIZUIA, NUH MZIWANDA NA SHILOLE...DOH

6:44:00 AM Add Comment


UJIO WA VANESA MDEE
HAWAJUI Ndio Ngoma Mpya ambayo Inatarajia Kuachiwa 13.6.2014 na The Baddest Gal Vannessa Mdee.
Mzigo Umepikwa na Producer Nahreel. Tusubiri Mbwadidi Lenyewe



NEY WA MITEGO'S HOOD
Big Up Sana Kwa Nay Wa Mitego "The True Boy Himself" kwa Kuweza kujipatia Mjengo Mtamu sana kama Huo ambao ameutupia kupitia Account yake ya Instagram.
Tofauti na Building hilo, Nay wa Mitego Pia anajivunia Kuwa na Ndinga kama Hiyooooo..Unayoiona hapo........



RICH MAVOKO AMEKUWA REFIXED
Producer Lamar amekuwa akiendelea na Project yake ya REFIXES ambapo anafanya Kuzibadilisha Mahadhi Tracks kadhaa, na kuzipeleka katika Pop Style.
Leo ilikuwa ni Siku ya RICH MAVOKO, ambapo Kwaju lake la ROHO YANGU (REFIX) imeachiwa Rasmi Leo, So Unaweza kuipata Soon hapa hapa Black Touchez




MWAAAAH ...MY NUH MZIWANDA:
Katika Safari ya Kuelekea Dodoma, SHILOLE alionekana akimbusu Mahaba Niue wake Nuh-Mziwanda, huku QUEEN DARLEEN naye akiongezea la Kwake...
Basi Braza akafumba macho Mwenyewe..E Bwana Weeeh !!!!

KUNA HARUFU YA KITU HAPA:
Hii Ni "Kombineshen" ya Picha ambazo Rapper, Muimbaji na Mwandishi wa Muziki wa Kizazi Kipya aliipost kunako Account yake ya Instagram
katika Picha hiyo, Ninahisi kuna jambo ambalo linanukia kabisaaaaa...maana Namuona Producer NAHREEL akiwa kwa Mitambo yake, The same to Mwanadada Shaa, akionekana Kuwa Booth.

SOMETHING IS COMING UP..Ngoja "Niwone"




WEMA NAYE !!!!...AKASHINDWA KUJIZUIA KABISA....
Leo Bandugu, Track ya MDOGO MDOGO ya Nasib Abdul-Diamond Platnumz, Imeachiwa Rasmi Kudaaadeki.
Unaweza Kuipata Vema kabisa, kunako Social Networks, na Soon naitupia kunako BLACK TOUCHEZ...
Sasa Bibie Wema Sepetu akaandika Hivi.....Kunako Istagram account yake

RAY C ALIVYOKUTANA NA MTOTO ANAYESADIKIKA KUWA “TEJA”

4:45:00 AM Add Comment


JANA Kupitia Account yake ya Instagram, Ray C, Ray C alipostVideo Clip ambayo ilikuwa ikimuonesha akizungumza na Mtoto Mdogo, anayesadikika kutumia Dawa za Kulevya.


Hiki Ndicho alichokiandika

BAADH YA PICHA ZA WADAU WA KIPINDI CHA PAMBAZUKO LA METRO FM, LILIVYOENDA VIZURI KATIKA VIWANJA VYA POSTA, JIJINI MWANZA

4:05:00 AM Add Comment





MTOTO WA MBWA: REST IN PEACE SHARO MILLIONEA

4:01:00 AM Add Comment

MTOTO WA MBWA leo Nimekutana na Kitu Hiki Hapa Hapa katikati ya Jiji La Mwanza, Nikamkumbuka Sana Brother  yetu SHARO MILLIONEA. MUNGU AMREHEMU

GOOD MORNING ROCK CITY MWANZA- SIKU YA PILI BAADA YA MABOMU YA MACHOZI

1:52:00 AM Add Comment









MNADA BANNER