REPIN ROCK CITY

REPIN ROCK CITY

TUMA TRACK YAKO

HUDDAH ASITUDANGANYE KWAMBA AMEFANYA MAKSUDI. NI KWELI AMECHAPI NA NINAHISI HAJUI

1:53:00 AM Add Comment

THE RETURN OF YOUNG BUCK

1:01:00 AM Add Comment



We Do Believe Mtakuwa mnakumbuka Vizuri Ex- Member Huyu wa G-Unit. So Hivi sasa ameamua kuvunja Ukimya na kujipanga Kushusha Kile anachostahili kukupatia.

Kama ulikuwa hufahamu, Young Buck aliweza kutiwa hatiani na hata Kufungwa kabisa Jela Muda jkadhaa uliopita, na kumfanya ashindwe kusikika kunako tasnia ya muziki wa hip hop, na hata kutimuliwa kabisa kunako Chama la G UNIT.

Lakini baada ya kuachiwa rasmi na Kuwa huru mnamo October Mwaka Huu, YOUNG BUCK alionekana kuwa Busy hasa akijikita zaidi katika Suala la Muziki ili kuirejesha heshima yake rasmi ambayo imeonekana kufifia kewa Muda murefu sasa


Kwa mujibu wataarifa rasmi Kutoka kwake, Young buck anatarajiwa kusha Collabe kali ambayo itamshirikisha Marapa wawili, The Game, na WACKA FLOCKA FLAME

Young Buck Pia ameweza kuzungumzi kuhitimu masomo yake ya HIGH SCHOOL akiwa Gerezani, kabla hajamaliza kutumikia Kifungo Chake.
Young Buck alitimuliwaG-UNIT kwa madai ya kuwa Mzembe na hata Kuendekeza matumizi ya Dawa za Kulevya, na July 13 Mwaka 2012, alihukumiwa Kifunguo cha Miezi 18 baada ya kukutwa na kosa la Kumiliki Silaha kinyume cha Sheria

R.I.P PAUL WALKER: HUYU NDIYE ROGER ROGAN ALIYEFARIKI NA PAUL WALKER KATIKA AJALI MBAYA YA GARI

12:51:00 AM Add Comment




HARDCORE MIXTAPE: LIL KIM ATOA TRACK LIST YA HARDCORE 2K13 HIMXTAPE

12:48:00 AM Add Comment



NICK CANNON AMTOLEA UVIVU KANYE WEST

12:38:00 AM Add Comment



LADIES AND GENTZ.. Hii Inaitwa blast on Blast.

Finally Nick Cannon ameonekana Kuchoshwa na Majigambo na Misifa anayojimwagia Rapper wa  BOUND 2, Kanye West YEEZY

Katika Blah Blah Hizo ambazo zimekuwa ni almost Too Much, Kanye alionekana akijisifia kuwa yeye Ni GENIOUS na Mtu Mwenye Impact Kubwa katika Hiki Kizazi chetu.

Kauli Hiyo Ilionekana Kumkwaza sana Nick Cannon ambaye ni mume wa Mwanamama Mariah Carey, na hatimaye kumtolea Uvivu kupitia account yake ya Twitter, Katika Tweet hiyo, Nick alimwambia Kanye Kuwa MAGENIUOS wa Ukweli wala hawatakiwi Kumwambia au kujitangaza kwa Kila Mtu kuwa Wao Ni Magenious.




MASTAA KIBAO WAZUNGUMZIA KIFO CHA PAUL WALKER, ACTOR WA FAST AND FURIOUS.

12:10:00 AM Add Comment



Licha ya Kwamba bado Wengi walikuwa wanamuhitaji, lakini Kazi ya mungu haina makosa Siku zote. Yabidi kukubaliana nao.

Mastaa Kibao Nchi marekani wametumia Mitandao ya Kijamii kuwasilisha Salamu zao za Pole kwa Ndugu jamaa na hata marafiki wakubwa wa aliyekuwa Actor wa Mfululizo wa Filamu za FAST & FURIOUS, marehemu PAUL WALKER, aliyekumbwa na mauti Siku ya Jumamosi, baada ya gari alilokuwa akiendesha Yeye na rafiki ake na Mshirika Wake wa Kibiashara, ROGER ROBIN kupata Ajali Mbaya sana


Mpaka hivi sasa ambapo Tunaingia kunako BLACK TOUCHEZ, Miili ya wawili hawa Bado haijatambulika kutokana na Gari hilo Kuharibika Vibaya sana na kushika Moto, hali ambayo inasadikika kuwa Gari Hilo lilikuwa katika Kasi ya hali ya Juu.

Baada ya Kuguswa na Msiba huo, Mastaa Wengi akiwemo T.I, LUDACRIS, TYRESE, THE GAME, 50 CENTS, RIHANNA, CIARA, KELLY ROWLAND, DJ KHALEED na Wengineo wengi sana, wametoa salamu za Pole na rambi Rambi kwa Wote walioguswa na Msiba Huo Mbaya Kuwahi kutokea kwa wasnii wa Kizazi hiki.


PAUL WALKER alizaliwa September 12,1973, na ameacha Mtoto Mmoja wa Kike MEADOV WALKER. Alianza rasmi kazi yake ya Uigizaji Mwaka 1986 Mpaka Umauti unamkuta, alikuwa katika Mchakato wa kuigiza Filamu ya FAST & FURIOUS ambayo Ingewahusisha TYRESE, LUDACRIS, THE ROCK, JASSON STATHAM, VIN DIESEL, na Wengineo



PAUL WALKER alikuwa ameshacheza Jumla ya Filamu 31 na Fast and Furious 6 Ingekuwa ni Filamu yake ya 32

MNADA BANNER