REPIN ROCK CITY

REPIN ROCK CITY

TUMA TRACK YAKO

NYONGA ! WASHA ! VUTA! NISUKUMIE !! : THE GAME NA CHRIS BROWN WALIVYOWAKWAZA WATU KATIKA NBA ALL STARS

2:17:00 AM Add Comment


Na Baba Juti 
Inaweza ikawa ni Sahihi kwa upande wa watu wengine lakini haiwezi kuwa sahihi kwa upande wa watu wengine hasa wenye familia kwa kitendo ambacho Rapper The Game na Chris |Brown ndani ya Weekend Hii

Kila mtu anafahamu kuwa kulikuwa na matukio tofauti tofauti ya Basketball ambapo  kulikuwa na tukio la NBA CELEBRITY ALL STAR GAME, ambapo watu maarufu pamoja na familia zao kwa baadhi, walikuwepo

Sasa katika Mchuano huo ambao ulihusisha team ya Snoop Dogg na Team ya 2 Chainz, The Game pamoja na Chris Brown walionekana wakipeana kipisi cha Bangi katika eneo la tukio, yaani katika uwanja wa mpira wa kikapu huku wakijificha kiaina, pasipo kujali kuwa kuna watu wana familia zao mle ndani na hasa watoto

wakiwa hawajui kabisa kuwa kuna kamera zinawatazama, wawili hao walianza kunogewa na kuendelea kuvuta huku mechi ikiendelea, kitu ambacho kilitafsiriwa tofauti na baadhi ya watu waliowaona

Katika Team ya Snoop alikuwemo Chris Brown, XXL Freshman Kamaiyah, Snap Dogg, Hitman Holla, Joe Moses, K Camp, David Banner, Daylyt, TDot IllDude na kwenye timu ya 2 Chainz, walihusika Quavo, Machine Gun Kelly, Wale, YFN Lucci, Jadakiss, Skooly, Trinidad James, Young M.A, Lil Bibby, Key Glock, Trojan , Lil Dicky, Mozzy, Short Dawg and Young Dolph.

UKISTAAJABU YA MUSA !!! : HUYU NDIYE RAPPER WA KIKE AMBAYE HUINGIA BOOTH AKIWA MTUPU

1:30:00 AM Add Comment

Na Hezron Munisi 
Wakubwa wa kazi tusichukuliane poa mjue, kila mtu anayo Style yake ya kufanya kazi na hata mood yake ya kufanya kazi, kwa hiyo hata huyu tumuache kama alivyo

Leo kama hamjawahi kufahamu, tunawakutanisha na huyu rapper wa Kike ambaye huingia Booth kurekodi Mikwaju yake akiwa Mtupu, yaani akiwa kasaula mavazi na kubaki akiwa mtupu

Bibie huyu anaitwa INDIA WESTBROOK a.k.a India Love ambaye aliupata umaarufu mkubwa kupitia kupost picha zake za Utupu kunako Mitandao ya kijamii hasa Istagram, amekuwa na utaratibu huo ambao umekuwa ukiwashtua producers mbali mbali ambao hufanya nao kazi kutokana na utaratibu wake huo.

Pia inasemekana kuwa INDIA LOVE ambaye ana miaka 21 ambaye hivi sasa anafanya kujikongoja na track yake ya LOCO ambayo kamshirikisha WILL.I.AM wa Black Eyed Peas, amekuwa akiwapa wakati mgumu sana hasa Producers ambao wako tayari kufanya naye kazi lakini hawako tayari kumuona akiingia katika mazingira yao akiwa Mtupu

Kwa upande wake, India WestBrook maarufu kama India Love amesema yeye ndiyo utaratibu wake, maana hupenda kufanya kazi akiwa huru kila sehemu na wala hana dhamira ya kuwakosea heshima Producers wake

Kama ulikuwa hufahamu pia, bibie huyu ameshawahi kuwa na mahusiano na Watu maarufu akiwemo RICK ROSS, DRAKE pamoja na THE GAME

TIZAMA VIDEO YAKE

MAKUBWA !!!: KUTANA NA "JANGA " LINGINE KWA MSANII R.KELLY UKIACHILIA MBALI YALE YA UBAKAJI

1:04:00 AM Add Comment

Na Rich Sam 
#WatuWaMungu Huenda pia huu ukawa ni mwaka mgumu kidogo kwa mkongwe mwenye heshima kubwa katika Muziki wa Taratibu yaani R&B, R Kelly kutokana na hiki kingine ambacho kimemkuta

Baada ya kuandamwa na kashfa ya kubaka, kulawiti na kuteka na kufanya mapenzi na mabinti wenye Umri mdogo, safari hii pia kuna taarifa kuwa Mjengo wa Hitmaker huyo wa Track ya STORM IS OVER unaweza kupigwa mnada muda wowote kuanzia sasa

Taarifa kamili ambazo pia ni za uhakika zinadai kuwa, Mjengo huo ambao ulikuwa ukitumika katika matukio hayo ya ki-ngono na udhalilishaji bado una deni la nyuma ambalo ni USD 23,000 sawa na Tsh 52,785,000  ambapo Kodi ya mwezi kwenye jumba hilo ni USD 11,542 sawa na Tsh 26,488,890

Kutokana na sababu za kiuchunguzi, ilimbidi R.Kelly atolewe katika Nyumba hiyo kwa muda ili kufanya taratibu zakiusalama kuthibitisha kinachotuhumiwa.

Hata hivyo, Mhusika wa Mjengo huo aliamua kutoa Notice ya kumtaka R. Kelly aondoke katika nyumba hiyo ambayo iko GEORGIA, Marekani huku kukiwa na deni hilo, na hivi sasa "Father House" anataka kufungua mashtaka ya kulipwa Mpunga wake

FEBRUARY 19TH- INTERNATIONAL TUG-WAR GAMES

12:34:00 AM Add Comment

DAYS OF THE YEAR 
One of the simplest of sports, dating back to ownership disputes over food and clothing, the history disappears into legend with the Sun and Moon wrestling over light and darkness.

Most cultures have references to competitions of strength that involve pulling in opposite directions which can be found on stone carvings, in ancient texts and legends. Vikings used animal skins stretched across a fire pit, if any more incentive to pull were required. When tall ships were common on the seas a ‘tug ‘o’ war’ was a common way for sailors to show their prowess with heavy rigging.
Dropped from the Olympic Games in 1920, Tug of War still remains a World wide sport and many nations have their own governing bodies. Aside from formal competitions ‘pulls’ feature at many fairs and festivals. Spectators are encouraged to cheer on their favourite side. Join in Tug-of-War 


Day by organising your own event, or getting involved in another!
Tug-of-war is a competitive sport that takes place around the world and has a long and ancient history. Two teams hold each end of a large rope and attempt to pull the other towards them in order to win. Contests often take place over bodies of water or muddy areas so that the losing team suffers the indignity of falling in, which is preferable to the Viking version of tug-of-war when teams competed over a pit of fire. The number of people taking part can vary from just a few to a large crowd, with the world record for a single tug-of-war standing at 1,574 participants. It is not surprising that such a popular event has its own annual day; Tug-of-War Day. Cries of ‘heave’ are heard around the world on a day when numerous matches take place, giving a chance to take part or cheer on this timeless team game.

MNADA BANNER