REPIN ROCK CITY

REPIN ROCK CITY

TUMA TRACK YAKO

Afanyiwa Mbaya.....

6:46:00 AM Add Comment
Ukiishi Uswahilini ...Utaona Mengi Kinomanoma.....
Niropokeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee?.....Yeah..kama kawaida
Kunako Mitaa ya Yombo Vituka Maeneo ya Bakwata kwa wale ambao mnapafahamu.!
Jama ambaye alitambulika kwa Jina la Hussein Matelephone mkazi wa Mitaa hii hii, amedakwa bin kufumaniwa na Mke wa mtu ambaye ana Watoto sita na Mume wake wa Ndoa Bw. Maulid Kijuna (56).
Akizungumza nami Mapema Leo Asubuhi, Bw. Kijuna ambaye n Mlinzi wa Kampuni ya Ulinzi ya Ultimate Security, amesema kuwa alihisi kama hana Amani kunako chemba ya Uhai wake...yaani Moyoni mwake, na Ndipo aliamua kurudi nyumbani Majira ya Saa Moja hivi asubuhi, ambapo alishangaa kukuta Mlango ukiwa Wazi huku akiwa na hamu ya kuingia ili apumzike.
"Nilipoingia Chumbani, nilimkuta Huyu Mse***** bado anamg***** Mke wangu katika Sehemu ambayo hata mimi Siwezi kumfanyia.. Kusema kweli nilishachukua Uamuzi wa Kumtwanga na Gobole langu huyo Mse*****".
Aidha Bw. Maulidi ameongeza kuwa, Mke wake Huyo Bi. Aisha Kijuna (53) baada ya Kumuona Mumewe, alimsisitiza Mshkaji huyo ambaye ni Msajili wa Line za Simu za Mkononi wa Kampuni Fulani hapa Nchini (Jina Limepigwa Black) aache mchezo huo haramu, lakini jama hakukubali kuachia mzigo jambo lililomfanya Mume Mtu kupiga Kele za Misaada, na Ndipo watu kuchukua jukumu la Kumfanyia Kweli Jamaa.
Kumradhi !!
Picha  Hazitooneshwa kwa Sababu za Kimaadili na Hadhi za Watuhumiwa. Ahsante Kwa Ushirikiano Wako.

Mtoto wa Kambo Wa Usher....Hospitalini.

4:31:00 AM Add Comment

Usher Rymond Na Mke Wake Tameka

Kyle Glover, Mtoto wa Kiume wa Tameka Foster Na Mtoto wa Kambo wa  Usher,huenda Ubongo wake Ukateketea Baada ya Madaktari wa Atlanta children's hospital kubainisha Hivyo,. Mto to huyo wa Miaka 11 ilibidi akimbizwe Hospitali baada ya Kugongwa na Kifaa aina ya   jet skikatika Ziwa  Lanier, and has not experienced any brain activity since. 

Usher arrived at the hospital late last night to join his estranged wife Tameka, who hasn't left the critical care unit since she arrived yesterday afternoon. 

No decision has been made as to whether or not to take Kyle off of life support.

Prayers go out to Kyle Glover and his family for a quick recovery.

MNADA BANNER