REPIN ROCK CITY

REPIN ROCK CITY

TUMA TRACK YAKO

MJUKUU AMBAKA BIBI YAKE MWENYE UMRI WA MIAKA 85 (VIDEO)

1:08:00 AM Add Comment

Na Baba Juti/K24 Kenya
Ni Tukio la Kusikitisha ambapo hali halisi inadhihirisha kuwa, Tunakoelekea ni kubaya, na kuna unyama ambao tutaufanya zaidi ya Huu

Tizama Video Hii

KUTANA NA NG'OMBE ALIYEKUNYWA POMBE NA KUSHINDWA KUAMKA SIKU NNE (VIDEO)

1:00:00 AM Add Comment

Na Baba Juti/K24 Kenya.
UNAWEZA Ukadhani Ni Kitu Cha Kuchekesha lakini kiuhalisia ukifuatilia kisa hiki, Ng'ombe Huyu anatia Huruma.

Tizama Video Kufahamu zaidi

ARE THEY BACK?

12:47:00 AM Add Comment


Na Baba Juti.
DALILI za mahaba Kurudi kwa mara Nyingin zinaanza kuchukua Kasi yake, baina ya Drake na Rihanna.

Bad Gal Riri na Dreezy walionekana mara kadhaa katika Kumbi za Usiku wakila bata, na hata kusemekana kuwa inawezekana wakarekodi ngoma Nyingine ya pamoja.

Usiku wa Jumatano, Katika Tuzo za BRIT zilizofanyika huko LONDON Uingereza, wawili hao waliperform wimbo walioshirikiana, unaofahamika kwa jina la WORK na mambo yalikuwa kama Picha zinavyoonesha









USICHEZE NA WATOTO WA PAKA: ASAP ROCKY APOKEA KIFINYO KWENYE LIFT.

12:24:00 AM Add Comment

Na Baba Juti
USITHUBUTU kuwa Na madem , halafu ukawaletea Kibesi Watoto wa Paka, utaipata ambayo hujawahi kutarajia kuipata.

Hit Maker wa PROBLEM, Asap Rocky, alijikuta akipokea "Kifinyo-Mtindo" katika Lift, baada ya Kuwazingua Washkaji ambao walihitaji kuingia ndani ya Lifti ambayo alikuwa amepanda na baadhi ya akina Dada, huko New Zealand.

Kilichowachefua Masela hao, ni baada ya Asap Rocky kuwajibu kuwa, Yuko na Maua-Yaani watoto wa Kike wa kutosha, hivyo hakuna nafasi Nyingine kwa ajili ya Maninja hao, kitu ambacho kiliamsha Hasira kwa washkaji na kuanza kumtukana , huku wakirusha Makonde-mtindo na kuzua Taflan.

Na kama unavyofahamu, watoto wa kike walianza kuleta Nyodo za hapa na Pale, na washkaji kuamua kuwavaa wenyewe, lakini ASAP aliamua kuwakinga, kitu ambacho kilisababisha ngumi za Wana zim fikie Asap Usoni.

hata Hivyo, mmoja kati ya Washkaji hao, aliweza kukamatwa na kutupwa Jela.

MNADA BANNER