REPIN ROCK CITY

REPIN ROCK CITY

TUMA TRACK YAKO

YA KWELI LAKINI !!!: KUTANA NA BINTI HUYU AMBAYE NI BIKRA MREFU DUNIANI

5:10:00 AM Add Comment

Na Baba Juti  & Jembe Fm
#WatuWaMungu Team Hit Zone huwa hatuna sababu ya kukunyima Vitu vingi ambavyo hata ulikuwa huvifahamu Pengine, ila ni bora ukafahamu kupitia Sisi….

Kunako Dunia Hii, kuna Kitu kingine ambacho inabidi Kitambulike kabisa kama mlikuwa hamfahamu. Na inabidi tushtuke kidogo kwa Wale ambao hatukujua kama kuna hiki kitu
Leo tunakukutanisha na Binti mmoja anayeitwa ALICIA JAY, Binti ambaye alipewa Crown na Heshima ya Kuwa BINTI BIKRA MREFU KULIKO WOTE DUNIANI
Alicia Jay ambaye alipata Heshima Hiyo Mwaka Huu ana Urefu wa Inchi 6 akiwa na Miaka 35, ni Blogger wa Masuala ya Mitindo na pia ni GAME OPERATION MANAGER wa Timu ya Mpira wa Kikapu inayoshiriki ligi ya NBA Nchini Marekani – GOLDEN STATES WARRIORS anadai kuwa kipindi yupo katika Umri Mdogo, alikuwa akionewa sana na wanafunzio wenzake kutokana na Urefu aliokuwa nao, lakini ilikuwa ni kama Changamoto kwake
Pia Alicia Jay anadai kuwa, baada ya kujiunga na Masomo ya Chuo, alianza kukutana na Wenzake ambao ni Warefu na hata kuanza kuhisi kuwa amekutana na Kampani Mpya ambayo itamuondolea Fikra ambazo alikuwa nazo Juu Yake

Ukiachilia Mbali hayo yote, Alicia Jay anadai amepitia Mengi sana ya kukatisha Tamaa , lakini ilikuwa ni Njia yake ya mafanikio
Pia bibie huyu mwenye sauti nzuri aliongeza kuwa, Yeye Ni Mkristo Imara, sababu mama yake ni Mkristo na alimlea katika Misingi ya Kikiristo, na hata suala la Kuwa BIKRA mpaka Umri huo alio nao, ilikuwa ni Mipango na malengo yake tangu utotoni, hasa ukizingatia Misingi aliyolrelewa


MNADA BANNER