REPIN ROCK CITY

REPIN ROCK CITY

TUMA TRACK YAKO

JENIPHER LOPEZ AKUTANA NA BALAA JINGINE

3:08:00 AM Add Comment

INGAWA HII SIO MARA YA KWANZA LAKINI MPAKA SASA HIVI TUNAJIULIZA, WHY JENIPHER LOPEZ KILA MARA.

This Time Jenipher Lopez kupitia Mtandao wa Twitter, amezushiwa kwa Mara Nyingine kuwa Ni marehemu.

Info zinazidi kumiminika kuwa, baada ya Mafanz wake kukutana na Tweet hiyo ya Iliyokuwa Posted Hapo jana, walianza kuhaha kuutafuta ukweli bila Mafanikio.

Aidha baada ya purukushani za hapa na pale finally taarifa zilitoka Rasmi kuwa Mrembo huyo mwenye Umri wa Miaka 44 Hivi sasa Yuko Hai, na hana tatizo lolote la Kiafya


Tofauti na Hilo, Jenipher Lopez hakuonekana kushtushwa na jamobo hilo, na hivi sasa ameachia Brand New Track inayofahamika kwa Jina la I LUH YAH PUPY

JUA CALI NI KAMA JUMA NATURE….

2:59:00 AM Add Comment

NI MARA CHACHE SANA KWA WASANII MALEGENDARY KUKUBALIKA HATA KAMA WANAPOTEA KATIKA SOKO LA MUZIKI KWA MUDA MREFU NA HATA BAADHI YA KAZI ZAO KUONEKANA KUTOSHIKA SANA KAMA ILIVYO KWA KIZAZI KIPYA.

Juma Lililopita, TTM tumebaini kuwa kumbe Rapa JUA CALI anayewakilisha Vema Style ya GENGE, bado anakubalika kwa Mashabiki zake, kama alivyo Juma Kassim Nature, licha ya nyimbo zake za hivi sasa kutokupewa nafasi kubwa kama ilivyokuwa awali, enzi zao.

Hiyo ilithibitika Nchini Kenya wakati wa Show moja (jina tunalihifadhi kwa sababu za Kibiashara), ambapo Mjamaica KONSHENS alikuwepo maalum kwa ajili ya Kushusha Mbwadidi Matata.

Aidha TTM, ilizidi kuzinyaka kuwa JUA CALI aliamusha Nyomi la watu kuliko Vile ambavyo wengi walidhani, na hata kusemekana kuwa aliwafunika Wasanii wenzake kama akina WYRE, VICTORIA KIMAN, HABIDA na Wengineo..

The same To Juma Nature Kibongo Bongo, Endapo atasikika kuwa anashusha Mbwadidi sehemu Fulan, basi tegemea Nyomi la Kutosha, na Shangwe za Heshima.

Muonekano wa JUA CALI ulikuwa Tofauti na wa Kumbukumbu katika Show Hiyo, baada ya Kuachia Afro tofauti na Tulivyokuwa Tulivyomzoea akiwa amesuka

IMETHIBITISHWA: SELENA GOMEZ HAWATAKI TENA WAZAZI WAKE

2:52:00 AM Add Comment

Wananasemaga, Mtu akiwa Huru basi ana uwezo wa kufanya maamuzi makubwa ambayo huenda yanaonesha kuwa sasa amekuwa mtu mzima, na Ndivyo ilivyotokea kwa Mamito huyu mwenye Umri Mdogo kabisa..

MAMA mzazi wa Selena Gomez amekiri kuwa hatua ya Binti ake huyo kutaka kuachana na Usimamizi wa wazazi wake katika shughuli zake, ni kweli na yuko serious kabisa.

Aidha baada ya TTM kuzinyakai zake hasa Muziki, mnamo wiki iliyopita kuwa Serena Gomez ambaye ana umri wa miaka 21 kwa hivi sasa, anataka kujitegemea na kutafuta Management kubwa zaidi katika Usimamizi wa Kazi, tulizama kazini kukuta kauli hiyo kutoka kwa Mama yake huyo.

Akizungumza Bila kuwa na hofu, mama ake Serena, MANDY TEEFEY, amesema kuwa walikaa pamoja na Binti yao huyo kujadili suala la uamuzi ambao Selena ameuchukua, na jibu liliotolewa ni kwamba yuko tayari na ni kweli anahitaji Muelekeo Mwingine.

Aidha mama huyo amesisitiza kuwa, yeye pamoja na Mumewe ambaye ni baba wa Kambo kwa Selena, wameona ni vema wakamruhusu Binti yao kufanya hivyo, ili kuweza kupiga hatua zaidi hatua zaidi katika kazi zake..na ukizingatia wanayaheshimu maamuzi ya Binti yake.


Ingawa Ni Ngumu kuamini, wazazi hao wameamua kuacha kumsimamia Selena , ingawa walianza kummanage taiga akiwa Mdogo na Kipaji chake kilipoonekana.

FLO RIDA HIVI SASA YUKO HURU..

2:46:00 AM Add Comment

WAY BACK KIDOGO, TTM TULIKUPA MTONYO KUWA, RAPA FLO RIDA ANAYEFANYA GOOD KUNAKO MUZIKI WA POP, ALIKUWA AINGIE MATATANI BAADA YA KUBAINIKA KUWA HAJALIPA KODI KWA MUDA MREFU…

Lakini Baada ya kufuatilia kwa ukaribu ni kip ambacho kingemkuta Swahiba huyu, KITENGO CHA CHIMBUA CHIMBUA ilizinyaka kuwa, Florida kwa hivi sasa hana msala tena na serikali ya nchi yake baada ya kulipa Deni lililokuwa likimkabiri.

Ripoti zilizidi kumiminika kuwa, Flo Ri alikuwa na mbwadidi la Deni ambalo ni Dollar za Kimarekani MILLION 1.2, ambalo inasemekana alilimbikiza kuanzia Mwaka jana.

Kama ulikuwa hujafahamu Pia, awali Flo Rida alikuwa ameshafunguliwa Kesi ya kukwepa kulipa Kiwango Kikubwa cha Kodi, ambacho ni Jumla ya USD 1,197,655, kuanzia mwaka 2009 mpaka 2011.

Hata hivyo, mpaka hivi sasa, bado haijawekwa wazi kama huyo ambaye ani mbaya kunako Kollables kama Vile WHERE THEM GALZ AT, amelipa kiasi chote anachodaiwa, ama amepunguza Deni

MNADA BANNER