REPIN ROCK CITY

REPIN ROCK CITY

TUMA TRACK YAKO

TUMEKUATANA NA PICHA HIZI ZA H. BABA, FLORA MVUNGI NA TANZANITE, WAKIWA JIJINI MWANZA

11:43:00 AM Add Comment




HUYU NDIYE RUBBY-ANAIWAKILISHA MWANZA KATIKA SHINDANO LA TMT SEASON 2-2015. TUMPIGIE KURA

11:41:00 AM Add Comment

Na BABA JUTI
NINAMFAHAMU kwa Jina la RUBBY, ambalo Mara Nyingi analitumia kwa ajili ya Kutafutia UGALI.

Ila anaitwa ASIA HAKIM KATABAZIA

Huyu Ni Moja Kati ya washiriki Kutoka MWANZA, ambao wamesalia katika Shindano la TMT (Tanzania Movie Talent) SEASON 2-2015


Tumpigie Kura Tafadhari, Inawezekana. Ni mara Nyingi kadri Uwezavyo




WEMA SEPETU: “CCM KUTOKA MADARAKANI, NI KAMA NYOKA KUOTA MIGUU”

8:18:00 AM Add Comment

@babajuti (Blacktouchez.com)
WASANII na Siasa ndo Mchakato ambao umekuwa ukichukua nafasi kubwa sana katika “Kiwanda Cha Burudani” hapa Swahili land

Wakati , Jackline Wolper akiahidi na kuthibitisha kuwa, Kura yake inaenda kwa Edward Lowasa (Chadema), Wema Sepetu ametupia Mpya ambayo Nimeona Nisikufiche.

Kupitia Account yake ya Instagram, Mkali huyo kutoka Bongo Movie, awali alithibitisha kuwa, Yeye na CCM ni Damu Damu, na hata ukimkata, inamwagika Damu ya “Kijani Kibichi”

Tofauti na Hilo, “Madame” huyo wa ENDLESS FAME, amedai kuwa, Chama Cha Mapinduzi-CCM, Kutoka madarakani, Ni kama Nyoka Kuota Miguu.

TUNAMNUKUU

Kidumu Chama Tawala.... CCM kutoka madarakani ni kama nyoka kuota Miguu.... Sio leo wala kesho... Chukua hio... Pigia mstari.... Bila kusahau nini???

SOURCE: www.blacktouchez.com

#Tamko: HII NI EXCLUSIVE KUTOKA KWA ISABELLA NA LUTEN KARAMA

7:52:00 AM Add Comment

BABA JUTI (Blacktouchez.com)
KILA Mtu anafahamu Vizuri kabisa kuwa, Luten Karama na Memba wa Scorpion Girlz, Isabella, wako katika mahusiano, tena mahaba mazito.

Na Hivi majuzi Tu , Luten Karama (Gangwe Mobb) alimvarisha Pete ya Uchumba Isabella, kitu ambacho Bibi huyu “Msaka Pesa” amekuwa akijivunia Kupitia “Social Networks”

Sasa, Hivi majuzi, Isabella amekuwa akisema kuwa, atatoa tamko Fulani, nah ii Leo ndo amefanikisha Zoezi Hilo.

Kupitia account yake ya instagram, Isabella “Amefyatuka” kuwa, Tamko Lenyewe ni Kwamba, Iwe Bomani (Serikalini) au Msikitini, Ndoa lazima Ifungwe.

Akimaanisha, Ndoa yake pamoja na Mchumba wake Luten karama.

Isabella aliandika Hivi
TAMKO NI BOMANI AU YA KIDINI ILA ITAFUNGWA TUUUUUUUUU



Hivi Karibuni, Isabella alidai kuwa, Inspecta Horoun amekuwa akimgombanisha na Mashabiki wa Luten karama, kwa madai kuwa, anamzuia asihudhurie katika Show za GANGWE MOBB

NIMEKUCHUKULIA HIZI PICHA UTIZAME. RIHANNA NA LEWIS HAMILTON INADAIWA KUWA KATIKA "MAHABA"

7:31:00 AM Add Comment

PICHA ambazo zinazidi kuenea katika Mitandao ya Kijamii mbali mbali zinatia wasi wasi kuwa, Rihanna na Mkali wa Magari ya Formula One, wana jambo Fulani hivi la kimahaba ambalo linaendelea Baina yao.

HABARI KAMILI, Ingia www.blacktouchez.com








BIFU LA DRAKE NA MEEK MILL LIMEINGIA MPAKA KANISANI.

6:06:00 AM Add Comment




HATARI inaelekea Kuwa hatari kiasi Kwamba “Mbwadidi Bin Bifu” linalomhusu Rapper Kutoka MMG-Meek Mill na Rapper Kutoka YMCMB-Drake kuingia mpaka Sehemu takatifu.

Inawezekana kabisa wachungaji na mapadre ama Mashekhe wakatumia Bifu kama moja kati ya Mifano kwa waumini wa Madhehebu yao, ili kuwaweka katika Njia Moja ya kupendana na Kuheshimiana.

Hii imetokea Nchini marekani, ambapo Mchungaji mmoja, aliamua kutumia Mfano wa Ugomvi Mkubwa  Rappers hao ambao mpaka hivi sasa Inaoneakana kabisa kwamba hali inazidi kuwa Mbaya

Mchungaji huyo alikuwa akiwaasa Waumini wake kuepukana na majanga kama haya, il hali mungu ametuagiza Tupendane na kuheshimiana.


#Hatari: WAKAZI WA KISUMU, KENYA WANAVYOFANYIWA UNYAMA KILA KUKICHA.

5:43:00 AM Add Comment



 Blacktouchez.com
WAKAZI wa Eneo la Kisumu Nchini Kenya, Kwa Asilimia kubwa Hivi sasa Wanaishi katika Hofu ambayo kiujumla Haitabiliki.

Kama Mlikuwa Hamjafahamu, Ndugu zetu hawa ambao ni watafutaji kupita Maelezo, wamekuwa wakifanyiwa Unyama Wa hali ya Juu na Vibaka ama Majambazi ambao wanapora ka Kutumia Boda Boda.

Mpaka Hivi sasa, Asilimia kubwa ya wananchi wa Eneo hilo, tayari wameshakutana na “Mtiti Huo” huku Wengine wakizidi kupata matibabu.

Kwa wale ambao “wafukuza mapepo” tumeshawashuhudia na hata kuwaona kupitia Video Clip Mbali mbali, wamejeruhiwa sana Kijumla, huku wakiachiwa makovu na Vidonda ambavyo vinabaki kuwa gharama na maumivu Kwa.

Wananchi hawa wanapigwa Na Vitu Vyenye Ncha Kali, mapanga, katika maeneo ya Kichwani, Miguuni, Shingoni, Masikioni, n.k
Muda ambao mpaka hivi sasa unaaminika kuwa waharifu hao wanakuwa kazini, ni Saa Kumi mpaka Kumi na Moja Alfajiri, pamoja na majira ya Usiku.

Jeshi la Polisi linafanya patrol, lakini hakuna kinachosaidi
WASIKILIZE WAATHIRIKA HAPA


#OhNo!: HUYU DADA ANADAI KUHARIBIWA NA ZAWADI ZA P. DIDDY, KIPINDI CHA DIRTY MONEY.

5:19:00 AM Add Comment


Blacktouchez.com
NAAMINI wengi tunakumbuka kabisa Enzi za Diddy-Dirty Money, na Projects Kibao hasa ile COMING HOME.

Sasa kuna Jipya ambalo pia limeweza kuibuliwa na huyu bibie ambaye alikuwa ni moja kati ya wanafamilia wa DIRTY MONEY. 

KALENNA, ni Binti ambaye alikuwa anakamilisha jumla ya Memberz watatu wa Dirty Money, yaani Diddy na Yule dada Mwingine.



Kwa mujibu wa Mfyatuko wake, anadai kuwa, anajivunia kufanya kazi na Puff, na mpaka anaamua kupigana chini kundi hilo, aliondoka kiroho safi na wala hakuwa na Ugomvi naye.

Lakini Pia mamito huyo amedai kuwa, kuna Muda alikuwa akiharibiwa sana na zawadi kutoka kwa Diddy, ukizingatia alikuwa na Mtoto Mdogo wa Miezi Nane, hivyo alidhani anahitaji zawadi hizo kuliko Kitu Kingine.
INSERT: KALENNA ON DIDDY

MSIKILIZE HAPA

VIDEO: R-Cube - 'Show dem'

12:07:00 AM Add Comment

R-Cube is a group of three sisters and Nigeria's only major girl group as of present. Their music is a beautiful blend of Afro Culture, Pop Sounds and Nigerian beats. Two of the sister’s were finalists on Season 7 of MTN Project Fame finishing among the top 5.

Within a short time since the group’s creation, they have performed at a number of high profile events such as - Industry Nite alongside Cynthia Morgan, Sean Tizzle, Phyno and Lil Kesh; Freedom Hall’s Women Arise Concert alongside Ruby Gyang, Esther, Oyinkan Braithwaite; and 2014 The Information Communication & Telecommunication Expo.

R-Cube has a monthly Diary in MyStreetz Magazine, and they’ve been featured in Tush Magazine.

Listen to their debut single, download and share.


MNADA BANNER