REPIN ROCK CITY

REPIN ROCK CITY

TUMA TRACK YAKO

#DakaHiiFasta: MWANAMKE AMPIGA MUMEWE BAADA YA KUBAINI ANA UUME MKUBWA WAKIWA HONEY MOON

9:12:00 AM Add Comment

Na David Ojuang - BIG MUTOTO
Mwanaume amemshushia "Mkito wa Kipigo" Kizito Mume Wake Baada ya Kubaini kuwa ana "Uume" Mkubwa wakiwa Honey Moon, baada ya kufunga Ndoa.

Kwa Mujibu wa Info ambazo Tumezinyaka, inasemekana Kuwa, jamaa huyo anayetambulika kwa Jina la Mnobo Madyibi Mwenye Miaka 32, alikutana na kipigo hicho baada ya kuchomoa Uume huo, ikiwa ni mara ya kwanza kabisa kukutana kimwili na Mke Wake huyo baada ya kuvumiliana mpaka watakapofunga Ndoa

Ingawa inasemekana kuwa Bibie huyo alikuwa ni Bikra, inasemekana kuwa , Baada ya Mwanamke kubaini Maumivu makali sana , aligundua kuwa, mzigo huo ni Mkubwa mithili ya "tango".

Ingawa Bibie huyo aliuona mzigo huo wakati jamaa anachojoa nguo yake ya Ndani, bado inasemekana hivi... maumivu yalimkwaza sana bibi huyo, na kuamua kumtungua na Chupa ya Wine

Tukio hilo limetokea Zanzibar, na hivi sasa wawili hao wanahitaji suluhisho hasa la kiushauri

COLONEL MUSTAPHA: KUNA UBAYA WOWOTE NIKIUZA NGUO?

8:58:00 AM Add Comment

Na BDavid Ojuang "Big Mutoto"


INAWEZEKANA kabisa kuwa, Kenyan Rapper, Colonel Mustapha, amekwazwa na kuandamwa na raia baada ya kuanza biashara ya kuuza Nguo, kitu ambacho kimeamua afungue mdomo na kuhoji kile ambacho wanamfanyia

Kwa Mujibu wa Info ambazo zipo, ni kwamba Rapper Huyu ambaye ana track aliyomshirikisha Brown Mauzo- PANGA PANGUA, hivi sasa kimkwanja amechacha balaa, na hata kimuziki amekaukiwa sana.

Lakini akijibu tuhuma hizo, Colonel Mustafa amedai kuwa, hayo yote hasa la muziki, linatokana na yeye kujikita zaidi katika Biashara ya Nguo pamoja na Vito vya thamani, ukijumuisha viatu, kofia.
Pia Colonel ameongeza kuwa, yuko katika Mpango wa Kufungua Duka lake la Nguo jingine ambalo litapatikana Nairobi

Lakini Tofauti na hilo, Mustafa amedai kuwa, wengi wamekuwa wakimuandama kuwa hana jipy, ndo maana ameanza kuuza nguo, kitu ambacho kimemfanya ahoji kama ni kosa kufanya biashara Nyingine ya Ziada akiwa amechukua Break Kidogo katika Music Industry

Lakini Pia Mustafa ambaye sasa hivi ameachia Track na Mejja - LOBOKO, kufanya shughuli za ziada , haitengenezi picha kuwa, amefulia kimuziki na kimkwanja hata kidogo.

MAMA BEYONCE: NILIANZA KUJIPENDA KWANZA KABLA SIJAINGIA KATIKA MAHUSIANO MAPYA

8:55:00 AM Add Comment


Beyonce Knowles (Kushoto ) akiwa na Mama Yake Mzazi TINA LAWSON

Na Baba Juti
KILA mtu anafahamu Vizuri kabisa kuwa Mama yake Beyonce, TINA LAWSON (Zamani Tina Knowles) aliachana na Mumewe MATHEW KNOWLES, baada ya kubain kuwa anamsaliti na wanawake wengine, na tayari ana watoto mbali mbali Nje ya ndoa.

Lakini Baada ya Muda Mfupi hivi, Bibie Huyo aliamua kuolewa na Kuanza kuitwa Tina Lawson, akiwa katika Umri Mkubwa kabisa, kiasi kwamba kila mtu alianza kutafakari kama huyu bibie atakuja kuenjoy ndoa yake.
 
Mama Yake Beyonce akiwa na Mumewe wa Sasa (Lawson)
Kwa Kinywa chake mwenyewe, mama Beyonce anadai kuwa, tofauti na wanawake wengine ambao hukata tamaa baada ya kuachika, yeye alikuwa anaamini kuwa, kuna Maisha hata baada ya talaka, na ndo kitu ambacho kilimpa nguvu

Ingawa anadai kuwa kuna muda alikuwa anatafakari kuwa, katika kipindi hicho alikuwa ana umri wa miaka 59, na alikuwa akiendesha shughuli za kampuni yake ambayo anaisimamia mpaka hivi sasa, hivyo haikuwa rahisi kuamini kuwa kuna muda atakuja kukutana na mtu hasa mwanaume ambaye atampenda kwa dhati.
 
Mama Beyonce akiwa na Mumewe wa Zamani (Mathew Knowles)
Hivyo ili kuondoa Fikra Hizo, alianza kwanza kujipenda yeye kama yeye, na ndipo akapata Mume Bora baada ya kupigana chini na pasua kichwa wake, Mathew Knowles ambaye ni baba Mzazi wa Beyonce.

JUSTIN TIMBERLAKE: ASINGEKUWA MWANANGU, PENGINE KUSINGEKUWA NA MKWAJU WA "I CANT STOP THE FEELING"

8:50:00 AM Add Comment

 Na Baba Juti
JUSTIN TIMBERLAKE, huwa ni mtu ambaye anaweza akakaa kimya katika muzic Industry kwa muda fulani, lakini akiamua kuibuka, basi anaibuka kiukweli.

Lakini Ujio wake wa Safari hii kupitia Mkwaju ambao unafanya poa sana katika Charts za aina mbali mbali , umekuwa ni mkubwa na hata kufanya watu wengi washindwe kumtabiria ujio wake hasa kila anapoachia ama anapohitajia kuachia Hit song Fulani.

Lakini kama ulikuwa haujui, Kama asingekuwa mtoto wake ambaye sasa hivi na umri wa Mwaka mmoja na Miezi kadhaa, basi pengine labda usingesikia mzigo wa I cant Stop the Feeling.


Hii ilikuwa ni kauli ya Justin Timberlake Mwenyewe ambaye alikuwa akifafanua namna ambavyo Mtoto wake wa Kiume SILAS ambaye alimpata na Mke Wake JESSICA BIEL aliyemuoa Mwaka 2012, amebadilisha kila kitu katika Muziki wake.

Justin ameongeza kuwa, anaamini kabisa kuwa, wimbo kama I CANT STOP THE FEELING, hata mtoto wake siku akiwa anausikiliza, basi atafurahia na kusema hapa kweli mshua ulifanya jambo, maana anaamini pia kuna baadhi ya Nyimbo ambazo mwanae hawezi kuzisikiliza, so amebadilika kwa kiasi fulani...

MNADA BANNER