REPIN ROCK CITY

REPIN ROCK CITY

TUMA TRACK YAKO

TWEET TATU ZINAZOTHIBITISHA KUWA BEEF LA WIZ KHALIFA NA KANYE WEST LIMEKWISHA. AMBER ROSE NA KIM KARDASHIAN WAPOST PICHA YAO YA PAMOJA BAADA YA KUYAMALIZA

9:50:00 PM Add Comment


Masaa 20 Yaliyokata, Amber Rose (Mzazi Mwenzake na Wiz Khalifa) pamoja na Kima Kardashian (Mke Wa Kanye West) walidhihirisha Kwa walimwengu kuwa, Bifu la Wiz Khalifa na Kanye west Limekwisha kabisa.

Tofauti na Hilo, Kanye West Mwenyewe kupitia Account yake ya Twitter, Siku ya Jana, alithibitisha Hilo Pia, kuwa, "The Beef Is Over"



MNADA BANNER