REPIN ROCK CITY

REPIN ROCK CITY

TUMA TRACK YAKO

WACHA BAMUTU BAKULE BATA--THIS IS HOW WE DO IN ROCK CITY-MWANZA @ CLUB ROCK BOTTOM

7:45:00 AM Add Comment






















NEW TRACK: VICTORIA KIMANI FEAT. OMMY DIMPOZ & DIAMOND PLATNUMZ

7:06:00 AM Add Comment
6:31:00 AM Add Comment

NEW YORK , Marekani.
ARNOLD SCHWARZZENEGER naye sasa anahitaji kulipwa na hataki Mchezo katika hilo, kwani Mhusika asipoangalia atagongwa za Ki-Terminator….TTM tumeshazinyaka

Kwa mujibu wa Ripoti kamili Kutoka kitengo maridadi cha Chimbua Chimbua, inasemekana kuwa, Arnold amemaind Vya kufwa Omuntu baada ya kubaini kuwa kuna kampuni inayojishughulisha na masuala ya lishe, imetumia Picha yake Bila Idhini yake hasa katika bidhaa zake.

Tofauti na kutumia Picha, Arnold amedai kuwa kampuni hiyo Pia Imetumia  na Jina katika Bidhaa hizo za Lishe bila hata makubaliano naye , jambo ambalo yeye kamwe hatolivumilia.

Pia Mkali huyo aliyevumaga na Movies ikiwemo Terminator ya Kwanza mpaka ya mwisho, na nyinginezo Kibao, amesema kuwa, kwanza hafahamu kama Bidhaa hizo ni Bora au la, maana hata hajaitwa kuzionja, hivyo watu wasiamini kuwa yeye anahusika kwa namna yoyote Ile.

Mpaka hivi sasa, tayari Arnold Swcharzenegger ameshafungua mashtaka kudai Mkwanja yaani Fidia angalau ya USD MILIONI 10, sawa na takribani Billion 15 za Kitanzania

HASTA LA VISTA ARNOLD SCHWARZENEGER

JUSTIN BIEBER AGAIN…AFUNGULIWA MASHTAKA YA UNYANG’ANYI..YAANI ROBERRY

6:27:00 AM Add Comment

LOS ANGELS, Marekani

MAJANGA ! + JUSTIN BEIBER=MAJANGAJUSTIN BIEBER..hiyo Ndo calculation ambayo TTM tumeamua kuipiga Kwa fasta.
Licha ya kuandamwa na misaka mingi mpaka kufikia kuwekwa nyuma Ya Nondo..justin Bieber bado hajaacha umajanga ambao unamuandama Kila kukicha.

This Time Kitngo Chimbua Chimbua kimeshusha Ripot kuwa, Justin Bieber amefunguliwa mashtaka ya Unyang’anyi, na Kitengo cha Upelelezi cha jiji la LOS ANGELS kinafanya Uchunguzi wa hali ya juu dhidi ya madai ya mwanamke mmoja  Mkazi wa SAN FERNANDOZ
Taarifa zinazidi kujimwaya mwaya kuwa, Siku ya Jumatatu mjira ya Usiku alikuwa katika Jengo kubwa la SHERMAN OAKS CASTLE PARK, ambamo ndani yake kuna Eneo Dogo maalum la Kucheza Golf, na Ndipo  Justin Bieber akiwa katika zoezi la kucheza Golf.

Lakini wakati wakifanya Mchezo huo, ghafla Justin Bieber alioneka kuzinguana na kundi lingine ambalo lilikuwa likicheza Golf, na Ndipo alipoamua Kumpiga Picha.

Katika hali ambayo Mwanamke huyu hakuitarajia, Ghafla justin Bieber alimfuata na kumuomba Simu yake ili afute picha Zote alizompiga, lakini Mwanamama huyo alikataa kuitoa.

Baada ya Majanga Boy kuona Bibie amekuwa Mgumu Kuitoa, ndipo alipomvaa na Kuanza Kuivuta Simu ambayo alifanikiwa kuichukua, lakin bahati mbaya Kulokuwa na LOCK inayozuia mtu mwingine kuingia Ndani ya Simu Hiyo.

Lakini baada ya kubaini hivyo, Justin Bieber aliamrudishia huyo mama Simu ili aitoe Lock, na mama Huyo kufanya Hivyo, lakini Mwisho wa Siku alibaini kuwa hakukuwa na Picha yake yoyote.


Aidha mama huyo alimueleza ukweli tu kwamba, yeye na Binti yake wa Miaka 13 walitaka kumpa Hi, lakini Bieber hakujali na kumfokea Yule mama kuwa anajidharirisha mbele ya Mwanae, hivyo wasepe tu, jambo ambalo lilimfanya motto huyo aangue kilio.

MAVAZI YA SENATOR MIKE SONKO ..YAWAVUNJA MBAVU RAIS UHURU KENYATTA NA RUTTO.

6:20:00 AM Add Comment

NAIROBI, Kenya

UKIMZUNGUMZIA Senator MIKE SONKO, hakika unapata Picha za Matukio mbali mbali ambayop jamaa huyu amewahi kuyafanya na hata bado anazidi kuyafnya…Likiwemo La Kuzagaa kwa Picha zake na Kiongozi Mwenzake Rachel Shebesh pamoja na Masuala kibao tu ya Kibishoo.

Sasa this Time Imekuwa Mpya , baada ya Mike Sonko Kujikuta akionekana Tofauti na Viongozi Wenzake walipokuwa Uwanja wa Ndege Kumpokea  kumpokea Kiongozi wa Nchi Ya China LI KEQIANG.

MIKE SONKO ali[potia Timu Uwanjani hapo, alikuwa amevaa KOTI LA KAWAIDA LA SUTI pamoja na TAI, huku chini akiwa amevaa Jeanz ambayo imechanika chanika, fashion ambayo invaliwa hivi sasa na Vijana.


Uhuru na Ruto walishindwa kujizuia na kuangua kicheko walipomuona Sonko akiwa amevaa hivyo, na hiyo tumeithibitiosha kutokana na Picha ambayo inamuonesha  Rais Uhuru alionekana kwenye picha akicheka huku akinyoosha kidole kwenye jeans ya Sonko.

PUMZIKA KWA AMANI MICHAEL JACKSON..LAKINI KUNA HILI NOMA LINGINE LINAKUKABILI

6:13:00 AM Add Comment

NEW YORK, Marekani

FAMILIA YA MICHAEL JACKSON inaweza kuingia Matatani kutokana na Mbwadidi ambalo limeletwa Hivi majuzi kuhusiana na Michael Jackson Mwenyewe.

Kwa Mujibu wa Info ambzo TTM tumezinyaka ni kwamba kuna Kesi ya Muda Mrefu ambayo ilikuwa Imefunguliwa Dhidi ya Marehemu Wack Jacko, Kuhusu ULAWITI, na hatimaye kushindwa Kurindima Baada ya Mhusika aliyefungua kudai kuwa haikuwa na Ukweli wowote.

Lakini Katika hali ya Kushtukiza na Kushangaza, Ishu hiyo imeibuliwa Upya kwa madai kuwa Mhusika JAMES SAFECHUCK anayedaiwa Kulawitiwa na marehemu Michael Jackson Miaka ya 80, ndiye aliyeifungua, na anahitaji Kesi nhiyo kuangaliwa Upya.

Info zilizidi kumiminika kuwa, madai yanayozungyumziwa katika Kesi hiyo ni kwamba, Michael Jackson amekuwa akimuingilia JAMES SAFECHUCK Kinyume na maumbile, tangia akiwa na Umri wa Miaka 10 mpaka 15.

Kama Utakuwa ni Mfuatiliaji Mzuri, katika Tangazo Moja Hivi la Kinywaji laini, ambalo hatutolitaja Kutokana na sababu za Kibiashara, ambalo Micheal Jackson alilifanya Mwaka 1987, Safechuck anaonekana akiwa na Michael Jackson, na hata Kuwa naye karibu katika matuklio mbali mbali hasa Mwaka 1988.


Hata Hivyo familia ya Michael jacson Pamoja na Mwanasheria wao, wamepinga mashtaka hayo, huku wakishindwa kuelewa kwanini Kesi Hiyo Ianze Kurindima Upya wakati Awali ilishakataliwa hasa na wahusika.

MNADA BANNER