REPIN ROCK CITY

REPIN ROCK CITY

TUMA TRACK YAKO

PREZZO AMEONGEZA MWANAFAMILIA MWINGINE?

2:49:00 AM Add Comment



RAPCELENCY CMB PREZZO-Jackson Makini, amekuwa kimya sana katika Burudani na Soko zima la Muziki wa Kizazi Kipya.

Ingawa “Wafukuza mapepo” tulikuwa tukikutana na baadhi ya Shughuli mbambali ambazo amekuwa akizifanya katika “Daily Life Hustling” zake.

Leo Kupitia Instagram account yake, tumebaini kuwa, tayari Rapper huyu kutoka Nchini Kenya, ameamua kuongeza Familia kwa Kuongeza Prezzo Mwingine.

Kupitia Picha Mbili ambazo tumezinyaka, Prezzo alionekana akiwa karibu na watoto ambao wanalelewa na Kituo cha Grace Community Childrens Home kilichopo huko Huko Nchini Kenya.


Kwa mantiki Hiyo , inawezekana kabisa kuwa, Prezzo ameamua kumuasili Mtoto Yule, ama kumsimamia Mtoto huyo katika Malezi, jambo ambalo linamfanya ahesabu kuwa ameongeza Memba Mwingine kunako CMB FAMILY…

Prezzo aliweka Caption kuwa, Mtoto huyo wa Kiume anaitwa GABRIEL PREZZO.

Tunamnukuu:
I feel L.O.V E #GraceCommunityChildrensHome The youngen I am carrying is now the newest member of CMB. Ladies & Gentlemen meet Gabriel Prezzo #Rapcellency #TrulyUnruly # جاكسون مكيني

FYATUKA NA FRIDAY: KUTANA NA SHIGIDI YA FLASHA

2:31:00 AM Add Comment


LEO Katika “Fyatuka na Friday” ya BLACK TOUCHEZ, tunashisha Video kali ya Flasha, Timmy Dat na Gaza-SHIGIDI.

Mzigo huu uko Youtube na Mpaka Hivi sasa Una viewers zaidi ya 10,000.

KANYE WEST NA URAIS: MGOMBEA MWINGINE AMUUNGA MKONO.

2:16:00 AM Add Comment




IKIWA ni siku Chache tu baada ya kutangaza kuwa, Mwaka 2020 anatarajia kugombea nafasi ya Urais, hatimaye Mgombea Mwingine wa Urais, amempongeza Kanye West kwa hatua aliyofikia.

Donard Trump ambaye anafukuzia nafasi ya kuwania Urais kupitia Chama cha REPUBLICAN, katika Uchaguzi Mkuu wa Nchini marekani, 2016, amempongeza na hata kumsifia Rapper Kanye West hasa kwa mawazo yake na Ujasiri wake aliopupata hasa katika kufikia hatua Hiyo.

Katika Kufafanua, Donald alidai kuwa, alikuwa akimtizama kanye West akitoa Tamko rasmi kuwa, Mwaka 2020 anataraji kuwania Urais, kitu ambacho kilimfanya ajisemee kuwa, hilo ni jambo zuri sana. Tofauti na Hilo, Donald anajiuliza alipata Wapi wazoo hilo la kuwania Urais, lakini Yeezy ni Mtu Mzuri tu, yuko tofauti sana na namna ambavyo watu wanamtafsiri.

Katika Kukazia zaid, Donald ambaye zamani alikuwa ni Mtangazaji wa Luninga, amedai kuwa anaamini Atakutana naye katika harakati za Uchaguzi mwaka 2020

JUSTIN BIEBER ANAPOTAKA KUMPA MSALA LULU…ACHIMBWA MKWARA NA TCRA…

2:09:00 AM Add Comment




KAMA Ulikuwa unadhani TCRA wanazingua kuhusu Sheria zake na hasa kupitia Mitandao ya Kijamii, Basi Muulize Elizabeth Michael-Maarufu kama Lulu.

KUPITIA instagram account yake, Lulu alijikuta akipokea Onyo kutoka katika account ya Instagram ya TCRA, ikiwa ni baada ya Kupost Picha yake iliyotengenezwa, na kuonekana kama yuko na JUSTIN BIEBER.


Katika Onyo Hilo, TCRA walimwambia Lulu kuwa, ni makosa kutumia Picha ya Mtu bila Idhini yake, jambo ambalo lilimfanya Lulu ajibu tofauti.

Lulu alifafanua kuwa, Bieber ni baby wake, huku akimuita Bieber aje kutizama Onyo hilo Kutoka katika account ya TCRA.
                                                                                                

MNADA BANNER