REPIN ROCK CITY

REPIN ROCK CITY

TUMA TRACK YAKO

NI IRENE UWOYA vs SHAMSA FORD. CHECK HALI ILIVYO KUWA

3:14:00 AM Add Comment



Na Baba Juti
IRENE UWOYA Ndiye alikuwa Mtoa Mada kuhusu wasanii kumtenga Rais Kikwete katika Suala Zima La Support hasa katika kampeni za Chama Cha mapinduzi-CCM

Katika hatua Nyingine, Uwoya alidai Kuwa, Huo utakuwa ni Ushabiki –Mandazi, hali ambayo ilimfanya Msanii Mwenzake kunako Kiwanda Cha Filamu hapa Tanzania-Bongo Muvi, Shamsa Ford, ajawe na “Povu”

UWOYA ALIANZA HIVI
Sasa narudi kwa wasaniii wasio jitambua!katika tasnia yetu ukweli usio pingika MH.KIKWETE amekuwa karibu Sana na wasaniii na ametufanya tudhaminike...lakini chaajabu kunawatu wanajifanya hawajui mchango wake...kiukweli inaumiza sana!kunawatu walikuwa wanashinda ikulu na MH . Anawasaidia sana katika kaz zao ...lakin Leo wamesahau yote na kumsapot mtu ambae ajawahi ata kuwatambua kwanafasi zao...kama sio ushabiki maandaz niniii?LOooo!!!aibu...

Hali Ilikuwa kama Ifuatavyo:
 


LAMAR BADO ANALIA NA PRODUCERS WACHANGA. ANASEMA WAKIWA NA LAPTOPS NA BEAT LOOPS, BASI WANAJIHISI WAMEMALIZA.

2:42:00 AM Add Comment


Na Baba Juti
PRODUCER Kutoka Fish Crub Cook Out- Lamar, bado anaonekana kuumizwa na baadhi ya Producers “Wachanga” ambao kiujumla hawajaiva katika Suala zima la Production.

Akizungumza na BONGO 5, Lamar amedai kuwa, hiyo imekuwa ni sehemu ya tatizo katika Ufaikaji wa Kazi hasa Kwa Producers mbali mbali ambao tayari wameshaiva katika Soko la Muziki.

Tofauti na Hilo, Lamar amedai kuwa, Wengi wakishakuwa na laptop na Program za Kutengeneza Beats, basi wanahisi kuwa Ni Producers wakali, wakati wanajikuta wanaharibu Mixings.

TIZAMA HAPA FULL INTERVIEW

DIAMOND PLATNUMZ: MUONESHE MUNGU UKAKAMAVU WAKO LEO, ILI KESHO AKUTUNUKU FURAHA YA MILELE

2:24:00 AM Add Comment


 Na Baba Juti
CHIBU Dangote a.k.a Baba Tiffah, ametoa Ushauri wa Bure kwa wale wote ambao ni wapambanaji nab ado wanakutana na Changamoto mbali mbali hasa za Kukatisha tama.

Hayo ameyatamka kupitia Instagram account yake, ikiwa ni katika Kipindi ambacho kiujumla anakutana na changamoto mbali mbali hasa ikiwa ni baada ya Kumpata Mtoto wa Kike-Latifah “Tiffah”

Katika Post Hiyo, Chibu aliandika Kuwa, siku zote unatakiwa kutambua kuwa Mwenyezi Mungu alikuchagua wewe katika tabu hizi za Muda Mfupi, hivyo inabidi kuwa Mkakamavu.

Tunamnukuu:
Sikuzote unatakiwa utambue kuwa Mwenyez Mungu alikuchagua wewe kwenye Tabu Hizi za Muda Mfupi kwakuwa aliamini wewe ndio Staring pekee Mwenye nguvu na uwezo wa Kuzikabili... Hivyo Usimuangushe, Muoneshe ukakamavu wako leo ili kesho akutunukie Furaha ya Milele...

SAY WHAT?...SOLO THANG YUKO TOFAUTI NA HOTUBA YA DR.SLAA!??

2:03:00 AM Add Comment



Na Baba Juti
SIKU ya Jana , aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo-CHADEMA, Dk Wilbroad Slaa, alitangaza Rasmi Kuachana na Suala Zima la Siasa.

Dk.Slaa aliyasema hayo wakatia akizungumza na Waandisshi wa habari huku akionesha kutokufurahishwa na hatua ya Chama Hicho kukubali Ujio wa Edward Lowassa, amabye hivi sasa Ni Mgombea Urais Kupitia CHADEMA, Chini ya UKAWA.

Katika Moja ya kauli ambazo Msanii Wa Bongo Flava - Solo Thang, ni Pamoja na Dr, Slaa Kudai kuwa alifuatwa Hotelini na kutaka kupewa Rushwa ya  Milioni 500.

Kupitia Twitter Account Yake, Solo Thang aliandika Hivi:


MADEE ANAKULETEA ZAWADI HII….KAMA UTAMJIBU HILI SWALI…..

1:39:00 AM Add Comment



Na Baba Juti
KWA Wale ambao ni suppa fans wa Madee Kutoka TIP TOP CONNECTION, na mnapenda kupokea Zawadi Kutoka Kwa Madee, basi Kuna Hili ambalo pengine linaweza kukufikia.

Katika “Instagram” account Yake, Leo asubuhi, Madee amepost Picha yake akiwa ameficha Ua Jekundu kwa Nyuma, huku akiuliza Swali, na kwa Yule atakayepatia, basi anakutana na zawadi hiyo kutoka kwa Mkali huyo wa “VUVULA”

ALIANDIKA:
MAPENZI NI NINI? Wale wasioyapenda huyaita majukumu..wale wanayoyachezea huyaita mchezo..wale wasionayo huyaita ndoto.. Nawale walioolewa huyaita mwisho wasafari..je ww unayaitaje..ukijb poa nakuletea ua

MNADA BANNER