REPIN ROCK CITY

REPIN ROCK CITY

TUMA TRACK YAKO

PICHA: HAWA NDIO AKINA BIBI WA KIDIGITALI...TIZAMA WALIVYOJIFYATUA TATOO KATIKA MIILI YAO

8:26:00 AM Add Comment

NA FRANK M. JOACHIM
 UKIAMBIWA “Uzee Mwisho Chalinze, Dar kila Mtu Baby”, sasa hii jaribu kuitafsiri vile uanvyojua.

Hawa ndo wanaitwa akina bibi ama “Wakongwe wa Kidigitali”, ambapo kama ambavyo unatizama Picha .
TYizama Jinsi walivyojifyatua na TATOO katika sehemu Mbali mbali za Mwili…

Hawa nilitakiwa kuwasiliana na GEORGE & BABUU WA KITAA kuhusu mchakato wa “BIBI BOMBA”





TIZAMA JINSI AKON ALIVYOUKWEPA UGONJWA WA EBOLA KATIKA TAMASHA NCHINI KONGO

7:40:00 AM Add Comment

GOMA, Kongo DRC
MKALI wa R&B ulimwenguni, AKON , amtuhumiwa kuperform akiwa ndani ya Puto kubwa, kukwepa Ugonjwa wa Ebola, TTM tuna Mtonyo kamili kama Ifuatavyo.

Siku kadhaa zilizopita, Akon alikuwa Nchini Kongo kwa ajili ya tamasha maalum la wazi, lililofanyika katika Mji wa GOMA, ambapo aliingia ndani ya Puto hilo la Plastic ikisadikika kuwa alikuwa akijikinga na Ugonjwa wa Ebola, ambao umeshaua watu 32 katika Nchi hiyo.

Dhumuni kubwa la tamasha hilo la wazi, ilikuwa ni kutangaza Kampeni ya Umoja wa Mataifa (UN) hasa katika Siku ya Amani inayosherekewa Kimataifa (INTERNATIONAL PEACE DAY).

Tamasha hilo liliweza kuhudhuriwa na watu zaidi ya 60,000 katika Mji huo, na AKON aliamua kujitosa katika Puto hilo, ambalo inasemekana kuwa lilikuwa halipitishi hewa.

Baada ya kuingia kunako Puto hilo, Akon alijirusha kwa mashabiki ambao walikuwa wakimbeba juu juu lakini akiwa ndani ya Puto hilo.
Aidha inasemekana kuwa Akon ameshafanya Tukio kama hilo hilo, huko DUBAI na AUSTRALIA





HUYU NDIYE MSHINDI WA REDDS MISS TANZANIA TALENT - 2014. TIZAMA PICHA HAPA

6:22:00 AM Add Comment
 NICOLE FRANKLYN SARAKIKYA ambaye ni mwakilishi kutoka Shinyanga 2014  usiku wa kuamkia leo alifanikiwa kuwabagwa warembo wenzake 26 kati ya 30 wanao wania taji la Miss Tanzania mwaka huu na kufanikiwa kuwa mrembo wa 3 kuingia Nusu Fainali ya Mashindano hayo baada ya kutwaa taji la miss talent. Shindano hili limefanyika New Maisha Club jijini Dar es Salaam. .











































MNADA BANNER