REPIN ROCK CITY

REPIN ROCK CITY

TUMA TRACK YAKO

PICHA 5 ZA MAZISHI YA MAREHEMU PAUL WALKER

8:09:00 AM Add Comment


HATIMAYE DECEMBER 14, Mwili wa Marehemu PAUL WALKER, Star wa FAST & FURIOUS, amepumzishwa Kwa amani katika Nyumba yake ya Milele.

Mazishi yalifanyika Katika Eneo la FOREST LAWN MEMORIAL PARK, Huko Hollywood Hills, marekani.

Watu wachache Hasa familia na marafiki, Ndio waliopata nafasi ya Kuhudhuria mazishi hayo.

Kuna Uwezekano Mkubwa Kwamba, Mdogo Wake Paul Wallker, CODY WALKER akachukua Nafasi ya Marehemu kaka Yake (Paul) Katika Filamu Ya FAST & FURIOUS 7







GAMBA: BIG UP OUR LOVELY BROTHER NICHOLAUS (KAKA JAMBAZI) KWA KUVAA GAMBA LA MEDICINE HAPO MUHAS

7:45:00 AM Add Comment



























AFUNGIWA KATIKA CHUMBA CHA CHUMA NA WAZAZI WAKE KWA ZAIDI YA MIAKA 40

6:53:00 AM Add Comment



KIJANA Mmoja Nchini China  PENG WEIQING (48,) amefungiwa katika Kibox cha Chuma (CAGE) kwa zaidi ya Miaka 40, na mama yake Mzazi.

Kwa mujibu wa taarifa za uhakika Ni Kwamba, Mama Huyo ambaye ni Mkazi wa ZHENGZHOU, Mji Mkuu wa China, amemfungia Mwanae Huyo katika Kibox hicho cha Chuma tangia akiwa na Umri wa Miaka 6 mpaka anafikisha umri Huo Mkubwa, baada ya kugundulika kuwa anatatizo la Akili

Pia mama Huyo ambaye anafahamika kwa Jina la PENG WAIMEI, amesema kuwa alichukua hatua hiyop, ili kumlinda Mtoto wake pamoja na afya yake, huku akiwa na Hofu kuwa Huwenda akajidhuru yeyue Mwenyewe, pamoja na kudhuriwa na watu mbali mbali hasa akiwa Nje.

WAIMEI aliongeza kuwa, baba Mzazi wa Mtotop huyo, Ndiye aliyejenga Kibanda Hicho, baada ya kubaini kuwa motto wao hawezi kujihimili yeye kama yeye na hata Kutulia, hivyo walihisi huenda akajidhuru hata Kwa Kisu wakati hawapo, ama wako mbali naye

Mama Huyo alimalizioa kwa kusema kuwa, inaweza kuwa Ngumu kwa Mtoto wake huyo kuelewa dhumuni la wao kufanya hivyo, na Hivi sasa ana Umri wa Miaka 80, na mumewe tayari alishafariki. Ila wasi wasi wake ni kuhusu maisha ya Baadye ya Mwanae huyo, hasa pale nay eye atakapofariki, lakini anaamini atapatikana mtu wa Kumjali

TIZAMA PICHA ZAKE







 

MARRY XMAS : UMEUONA HUU MTI WA CHRISTMAS?..UPO KATIKA JENGO LA THIKA ROAD MALL, NCHINI KENYA. UNASADIKIKA KUWA NDIO MTI MKUBWA KULIKO YOTE AFRIKA MASHARIKI

5:18:00 AM Add Comment






MNADA BANNER