REPIN ROCK CITY

REPIN ROCK CITY

TUMA TRACK YAKO

PICHA: CHRIS BROWN NA WASHKAJI KABLA TUKIO LA UFYATUAJI RISASI HALIJATOKEA

6:24:00 AM Add Comment





WEEKEND ROUND UP: MKOSI MWINGINE KWA TUZO ZA MTV VIDEO MUSIC AWARDS, CHRIS BROWN ALIVYOKUTANA NA SHAMBULIZI LA RISASI, SUGE KNIGHT MAHUTUTI

6:21:00 AM Add Comment
CHRIS BROWN NDIYE ALIKUWA MLENGWA
Wakati mkosi WA Kwanza ukianza kwa Nicki Minaji, ambapo Dancer wake amengongwa na Nyoka aina ya ANACONDA mwenye Urefu wa Futi 6, wakati wakifanya mazoezi ya performance itakayofanyika katika tuzo za MTV VIDEO MUSIC AWARDS, Chris Brown naye amekutana na shambulizi la Risasi katika ukumbi wa 10 AK ulioko LOS ANGELS, Marekani, katika PRE PARTY ya MTV VIDEO MUSIC AWARDS 2014

SUGE KNIGHT HALI YAKE SIO NZURI
Kwa Mujibu wa Chanzo ambacho kimetweet Taarifa hii katika Dawati la TTM, inasemekana kuwa, Chris Brown alikuwa ni HOST katika Party Hiyo, nay eye ndiye alikuwa Mlengwa katika Tukio Hilo, lakini kwa bahati mbaya , Risasi hizo zilimpata Produycer Mkongwe katika Game la Hip Hop, SUGE KNIGHT, ambaye pia ni C.E.O wa BLACK CAPITAL RECORDS.

Aidha taarifa zinazidi kumiminika kuwa, Hali ya SUGE KNIGHT ambaye ni mmoja wa waliokuwa waanzilishi wa DEATH ROW RECODS iliyomuhusisha pia 2 PAC, Dr.DRE, na Snoop Doggy, sio Nzuri na ni mbaya Kiujumla, maana lipigwa Risasi Mbili.
Baada ya Kupigwa Risasi, Suge alionekana akitoka Nje na Kusaidiwa na Polisi kufikishwa Hospitali


Tofauti na Hilo, wasanii ambao awali walikuwa eneo la tukio kabla ya Ufyatuaji wa Risasi hizo nne, ni Pamoja na Rapper THE GAME na JUSTIN BIEBER, ambao waliondoka mapema.
JUSTIN BIEBER ALIKUWEPO KATIKA ENEO LA TUKIO, NA ALIONDOKA MAPEMA KABL:A YA VARANGATI


Mpaka hivi sasa, Taarifa kuhusu kujeruhiwa kwa Chris Brown, zinadai kuwa, yuko salama ingawa bado TTM hatujapata Uhakika

WEEKEND ROUND UP: DANCER WA NICKI MINAJ ANG'ATWA NA NYOKA AINA YA ANACONDA

6:03:00 AM Add Comment


Mmoja kati ya wachezaji wa Nicki Minaj ameng’atwa na nyoka aina ya Anaconda mwenye urefu wa futi 6 wakati wakifanya mazoezi ya kwa ajili ya show ya tuzo za video za MTV (MTV Video Music Awards).

Kwa mujibu wa TMZ, Nicki Minaj alikuwa jukwaani na dancers wake wakifanya mazoezi ya kucheza hit ya ‘Anaconda’ ambapo dancer mmoja wa kike aling’atwa na moja kati ya nyoka waliokuwa wamewekwa kwenye kontena kwa ajili ya kufanyia mazoezi.

Inaelezwa kuwa nyoka hao aina ya Anaconda hawakuwa na sumu lakini wana uwezo wa kusambaza bacteria ambao husababisha matatizo kiafya.

Msichana huyo alipelekwa hospitalini kupata matibabu.
Haijulikani kama bado Nicki Minaj atapanda na nyoka hao katika jukwaa la MTV VMAs, Jumapili .


Nicki hatakuwa mwimbaji wa kwanza kupanda na nyoka kwenye tuzo hizo, mwaka 2001 Britney Spears alipanda na joka kubwa wakati anaimba ‘I’m A Slave 4 U’.

WEEKEND ROUND UP: TIZAMA PICHA 20 ZA MWANASOKA WA ZAMANI WA BRAZIL NA REAL MADRID, RONALDO DE LIMA AKIWA NA BABA YAKE PAMOJA NA KISHTOBE CHAKE, UFUKWENI WAKILA BATA

5:57:00 AM Add Comment



















WEEKEND ROUND UP: CHRIS BROWN USO KWA USO NA RIHANNA..

5:15:00 AM Add Comment

LICHA ya Wengi kuhisi kuwa, huenda Chris Brown na Rihanna hawatokutana kwa Mara Nyingine Tena, This Time Imekuwa Tofauti..

Chris Brow amejikuta akikutana na Rihanna, ambaye alikuwa mpenzi wake kabla ya kumwagana chini, katika Shughuli maalumu inayofahamika kwa jina la ROC NATION’S SUMMER CLASSIC CHARITY BASKET BALL, iliyofanyika ndani ya Weekend Hii

Katika Ishu hiyo, Rihanna alionekana kutokubugudhiwa na Uwepo wa Chris Brown ambaye alikuwa ni mmoja wa Wachezaji katika Moja ya Timu ya Basket Ball maalum kwa ajili ya kuwachangia wasiojiweza hasa watoto, na mara Kadhaa alionekana kujifyatua Selfie na Marafiki zake hasa Breezy alipokuwa akisogea Upande wake


Ingawa kuna Muda alionekana kufurahia game hilo, lakini amini usiamini, alikuwa eneo la mbele kabisa ambalo piga ua, ilikuwa ni lazima amtizame Chris Brown  endapo ataushika Mpira



MNADA BANNER