REPIN ROCK CITY

REPIN ROCK CITY

TUMA TRACK YAKO

PICHA: PEMBE LA NG’OMBE…HALIFICHIKI. SIZE 8 AKIWA NA MIMBA KUBWA TU…

2:40:00 AM Add Comment

BLACK TOUCHEZ
KUNA kipindi ilikuwa kama Siri hasa pale Muimbaji wa Nyimbo za Injili Nchini Kenya, SIZE 8, alipokuwa akiulizwa kama tayari ameshapata Ujauzito wa Mumewe DJ MOE.

Lakini Kupitia account yake ya Instagram huyo, hakuna kilichofichika katika Picha zake za Birthday Yake.

Akiwa amevalia Gauni aina ya DELA, Kitumbo kilionekana Kuchomoza Mbele ya Mkali huyo wa “Mateke”, na kudhihirisha kabisa kuwa tayari Ndoa Imetia Vema…


TUNATARAJIA MAZURI kutoka kwa Size 8 na DJ MOE

#Tekno-Fashion: HII NDIYO JEANS INAYOWEZA KUKUFANYA UCHARGE SIMU YAKO IKIWA MFUKONI.

2:21:00 AM Add Comment

BLACK TOUCHEZ
Unaweza kukataa kuwa,  Wakali wa masuala ya fashion na Teknolojia, kulala kwao ni Ishu, sababu Most Of The Time wanatafakari Vitu Vipya pamoja na Mbinu Mpya.

KAMA ulikuwa hufahamu, Hivi sasa Kuna Jeanz Mpya ambayo inaitwa HELLOJEAN, inayokuwezesha Wewe Kucharge SMART PHONE yako ikiwa Mfukoni,.

Kwa Mujibu wa Designer wa Jeanz hiyo, inasemekana Jeanz hiyo, ndiyo Jeanz Pekee ambayo itakuwezesha kucharge Simu yako na Power Bank Vyote Vikiwa katika Mifuko Miwili Tofauti, ambyo inaifany Simu na Charger Kuwa salama kabisa.

Jeanz hizo zipo maalum kwa jinsia zote Mbili, na gharama ni Tofauti
Jeanz za Kike ni USD 190

Mpaka Hivi sasa, Zina Uwezo wa Kubeba Simu zenye Ukubwa wa I PHONE 5 na SAMSUNG S5.


Pia Kuna Jeanz ambazo zinapatikana na Charge yake kabisa, na zingharimu USD 238, huku zikiwa zinabana wastani.

EXCLUSIVE: MTOTO WA DIAMOND PLATNUMZ ANAITWA LATIFFAH...TAYARI INSTAGRAM ACCOUNT YAKE ISHAKUWA TAYARI

1:37:00 AM Add Comment

BLACK TOUCHEZ
Diamond Platnumz na Zari the Bosslady wamepata mtoto wa kike. Mtoto huyo ameingia duniani Alhamis hii. Haijaweza kufahamika kwa mara moja ni hospitali gani mtoto huyo amezaliwa kwa kile meneja alichosema ‘usalama wa mama na mtoto’ kwakuwa bado wapo hospitali.

Kupitia Account yake ya Instagram, Chibu amepost Picha ya mama yake Mzazi akiwa amembeba Mtoto Latiffah, huku akiandika furaha ya Mama yake, inadhihirisha namna ambavyo Chibu Mwenyewe anajiskia hivi sasa

Aliandika
 My mom's face it's enough to Express how i feell😍... Welcome to the world @princess_tiffah

TAYARI ANA ACCOUNT INSTAGRAM
Followers zaidi ya 6,000 wameshaanza kufollow account ya Latiffah (@princess_tiffah) , na tayari Picha ya kwanza imeshakuwa Posted, na wati zaidi ya 1000 kulike

Tunanukuu Post Hiyo

Welcome to the Next Most Famous Daughter in Africa... My dad and Mom decided to call me Latiffah but i wanna be called Latty or Tiffah....😋#Princesstiffa #Lattyplatnumz

MNADA BANNER