REPIN ROCK CITY

REPIN ROCK CITY

TUMA TRACK YAKO

PICHA: CIARA KATIKA UBARA WAKE KWENYE TUZO ZA GRAMMY

10:42:00 PM Add Comment





RIHANNA ASHINDWA KUPERFORM KATIKA TUZO ZA GRAMMY

10:20:00 PM Add Comment

INASEMEKANA kuwa, Rihanna alienda Mpaka Kwenye Reheasal, lakini Dakika za Mwisho Kabisa, alitweet kuwa hatohudhuria wala kuperform katika Tuzo hizo.

Mpaka Hivi sasa, Sababu iliyomfanya Rihanna kushindwa kupanda Jukwaani, inasemekana kuwa, ni Onyo alilopewa na Daktari, kuwa anaweza akajikuta anapata tatizo la Mapafu, endapo atapanda Jukwaani na kupiga Live Perfomance.

Rihanna alilazimika kuondoka baada ya Rehealsal, na hata alipofika Ukumbini hapo, hakupita katika Upande wa Red Carpet.

Hata Hivyo, Badgal Riri aliomba Radhi kupitia account yake ya Twitter.

KANYE WEST KAMRITHISHA MTOTO WAKE?, TIZAMA ALIVYOKATAA KUPIGWA PICHA NA MAMA YAKE !

10:10:00 PM Add Comment

Na Baba Juti.
"No Picture!!!" Hiyo ilikuwa Ni kauli ya Mtoto wa Kanye West, NORTH WEST ambaye alikuwa akimzuia mama Yake asimpige Picha, na kisha akaamua kugeukia Pembeni na Hata Kuondoka.

Hii Imekuwa ni Mara Ya Pili Kwa North West Mwenye Umri wa Miaka Miwili, kugoma kupigwa Picha, ambapo tukio la Awali lilitokea mbele ya Paparazzi, kwa kuwaambia, "I said No Picture"

KANYE WEST amekuwa ni Moja kati ya Rappers ambao waliingia katika Ugomvi na Paparazi kadhaa, ambao walikuwa wakimpiga Picha, ili hali yeye hataki.

Tofauti na Familia ya Kardashian, ambao wameathirika na kupiga Picha, yaani wanapenda picha Balaa, North West amefuata kwa Baba Yake, Ingwa siku hizi , Kanye amekuwa akikubali kupigwa picha na hata Kuongea na Paparazzi.

Tizama Video Clip Hiyo !!!

MNADA BANNER