REPIN ROCK CITY

REPIN ROCK CITY

TUMA TRACK YAKO

LEAVE THE BOY ALONE: MZIGO MPYA AMBAO UTAPATIKANA, IWAPO UTAUHITAJI..CHEKI ULIVYO....

11:08:00 AM Add Comment


I, Nikiwa kwenye TShirt Mpya na TITLE Mpya "LEAVE THE BOY ALONE- He aint that You Think". Napenda sana Kazi za Vijana wenzangu.

Huu ni Mkono wa Jamaa angu mmoja anaitwa JAFFARY, ambaye ndiye hunitengenezea Tshrt kama Nahitaji kwa Gharama nafuu kabisa.

FUSE ODG : MKALI WA AZONTO KUTUA BONGO

10:03:00 AM Add Comment


Fuse ODG ‏@FuseODG
TANZANIA, we on our way to you! En route to Heathrow airport now! The Azonto movement's coming to your country. TZ let's go! #TINA

PREZZO : HAKUNA NDOA NA GOLDIE..HUO NI UZUSHI MTUPU

9:54:00 AM Add Comment
 NA FRANK M. JOACHIM
Haya Basi.
Zile Story ambazo zilikuwa zimezagaa haswa katika sehemu mbali mbali, eti kwamba Goldie na Prezzo watafunga Ndoa Nchini NIGERIA hatimaye ZIMEKANUSHWA RASMI na Prezzo Mwenyewe.

Akifunguka kuhusu hilo, CMB Prezident amesema kuwa, suala hilo na uvumi huo umemshtua hata yeye kiujumla, na anashangaa "Udaku" huo ulivyosambazwa.

"NINI?, Nimeshtuka sana kusikia hii kitu. Ndio kwanza ninaisikia kutoka kwako. Huu ni Uwongo na Uzushi Mkubwa. Kama ningekuwa kweli Nafunga Ndoa na Goldie, basi ningekuwa Nigeria mpaka sasa, au Goldie angekuwa Kenya Mpaka hivi sasa. Huo ni Story za Uwongo tu ambazo zimezushwa na Blogs" Alisema Prezzo



HATI HATI ZA KUFUNGIWA VIWANDA KOTUKANA NA UCHAFUZI WA MAZINGIRA, HEBU TIZAMA HIZI PICHA

9:42:00 AM Add Comment
















Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira Mh. Dkt. Terezya Huviza leo ameendelea kufanya ziara za kushtukiza katika viwanda na mahoteli mbalimbali jijini Dar es salaam kuangalia hali ya usafi wa mazingira.

Katika ziara hiyo Mh waziri na ujumbe wake wametembelea kiwanda cha Bia cha Serengeti, CI Group Marketing Solution, Coco Beach, hoteli za Golden Tulip na Sea Cliff.

Akitoa maamuzi kuhusu mazingira aliyoyakuta katika kila sehemu, Mh. Dkt. Huviza amesema Kiwanda cha Serengeti kina mfereji unaomwaga maji machafu na bahati mbaya unatitirisha katika makazi ya watu kitu ambacho ni hatari, hivyo atashauriana na NEMC na Mwanasheria waone jinsi ya kuwasaidia, lakini kama itashindikana kwa kuwa maji wanayomwaga ni mengi sana itabidi wafunge kwa muda.

Kuhusu maeneo mengine aliyoyatembelea Mh. Waziri amesema hawezi kutoa maamuzi kwa sasa kwa sababu kila aliyekutwa na makosa amepewa muda wa kuyarekebisha na ambaye atashindwa kufanya hivyo basi atafungiwa kwa mujibu wa sheria.

AKILI YANGU ILIVYO FINYU: SAWA...BARAKA ZA MAMA NI MAFANIKIO, LAKINI USTAADHI YAHYA JE?

9:04:00 AM Add Comment


CHECK THEM OUT: WHAT A CUTE COUPLE

1:12:00 AM Add Comment
 ROMANTIC SMILE : Chris Brown akiwa na Mpenzi wake Rihana katika Tuzo za Grammy Awards 55th Awards

 WATCHING : Chris Na Rihanna Macho yao yakiwa Busy kwa Stage, wakifuatilia kinachoendelea

WITH MA BABY : Chris Brown na Rihanna katika Pouz

AVRIL MWINGINE MPYA, HUYU HAPA

12:53:00 AM Add Comment
BAADA ya kumtoa vema na kumuweka sawa katika Game line AVRIL, Nakuru iko tayari kutoka Msanii mwingine mpya Sheila Felly (Pichani), na kuwa Malikia wa Muziki pande za NAXVEGAS

Felly ambaye atafuata nyayo za msanii Mtamu Avril, ameshadunga Mkwaju mpya ambo pia ni bonge la Kolabo zao lingine la Nakuru, Rapper TN.

Track hiyo ni "AM IN LOVE" ambayo tayari ishaanza kusikilizwa na Raia kibao wa Nairobee huku ikiwa downloaded zaidi kunako Social Media Mbali mbali, huku ikiwa Headache kunako Media mbali mbali pande za Nakuru.

Welcome New Avril aisee !!
 


TAARIFA: NI KWELI TONI BRAXTON AMESTAAFU MUZIKI?

12:31:00 AM Add Comment
KUPITIA HMB, taarifa zimeendelea kuenea kuwa, officially, yaani Rasmi, Mamito wa Sauti Taaam, namzungumzia Toni Braxton ameachana na Suala zima la Muziki ambao amekuwa akiutumikia kwa kuda Mrefu sasa.

Toni ambaye amewahi kuitikisa Dunia kwa Mikwaju yake kadhaa na mikali kama vile SPANISH GUITAR, UNBREAK MY HEART na BREATH, inasemekana kuwa amefikia uamuzi huo rasmi, na anatarajia muziki kama wa aina yake, yani RnB kuendelezwa vema na Vizazi vipya

MNADA BANNER