REPIN ROCK CITY

REPIN ROCK CITY

TUMA TRACK YAKO

TAARIFA NYINGINE MPYA KUHUSU LI KIM NA UJAUZITO WAKE

1:46:00 AM Add Comment



RAPA  wa Kike Nchini Marekani, LIL KIM, anatarajia kupata Mtoto wa Kike.

TTM tumelibaini hilo kupitia account yake ya Instagram hapo Usku wa Jana, baada ya upost Maneno yafuatayo

“Happy Easter everyone !!!! What a perfect day to share this wonderful news with U. The fab @davidtutera is throwing my royal baby shower for my lil’ princess 5/10/14!!!”


Kwa Maelezo hayo, nadhan imani ya TTM ni kwamba, Bibie huyu anaweza kujifungua mnamo MAY 10 Mwaka Huu.

TAARIFA za KIMMY BLANCO “Lil Kim” kuonekana na Ujauzito, zilibainika baada ya kuonesha “Kitumbo” chake katika Tamasha la Maonesho ya Mitindo linalofahamika kwa jina la The Blonds New York Fashion Week Show

MCHEKI RIHANNA AKISHEREHEKEA SIKU YA KUVUTA BANGI DUNIANI

12:38:00 AM Add Comment



Jana Rihanna amepost Picha kupitia account yake ya Instagram,akiwa na Shosti wake wa Ukweli, MELISA, wakisherehekea Siku maalum iliyopewa namba 420.

Namba hizo zinaashiria siku ya UVUTAJI-BANGI duniani. Check Picha..






HII NDIYO NDINGA MPYA YA DAVIDO....

12:18:00 AM Add Comment





MONEY IS EVERYTHING
MKALI WA SKELEWU NA AYE…Davido, Finally ameshusha ndinga mpya aina ya MERCEDES BENZ G-WAGON ambayo gharama yake kwa nchi za Nigeria ni almost N30 MILLIONS



MNADA BANNER